Sasa wanamjua vema

Sasa wanamjua vema

Uturn ilikua rahaa. Mashauzi mwanzo mwisho. Serikali imetuharibia Mange wetu.
Hahaha kwa upande mwingine imesaidia maana amefanya bonge la u turn sasa ni mwanaharakati rasmi kupitia insta. Angefanikiwa kuacha matusi ingekuwa poa sana
 
Ameshaset standards waache wanawake wagombane ukiingilia utaaibika. Hivi mtu akikusingizia wewe shoga unajiteteaje [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikiwaza hivyo tu maneno na mademu sipendi kabisa
Au mbele za watu anakuambia sikupendi sababu una 'Kibamia',je utavua ngua kuuthibitishia umma kuwa anadanganya.

Binafsi nipo kama wewe mkuu,nikiona tu demu kawa pissed off nakuwa mpole maana lolote linaweza mtoka.
 
Huyu Dada anaogopwa kwani hawezi kukaa na asichokipenda moyoni mwake.

Mkuu Mshana Jr huu Uzi wangu hujautendea haki " Kilichonitokea Jana wakati wa chakula msibani kimenifikirisha ila nimeshindwa kupata jawabu" Tafuta Uzi huu utoe maoni yako.
 
Kwenye u-turn blog nakumbuka alimtukana mama wa watu enzi ndo instagram inapamba moto hadi akajiua,funny enough akawa anaendelea kumchamba marehemu!huyu ni wakuepukwa kama ukoma yaani nashangaa sana wanaojitoaga ufaham kupambana naye.
mambo ni moto , moto, lakini si anasema kweli ?
 
kutokana na haya yanayo wakumba watu kutoka kwa huyu Dada ,nimejfunza kuwa katka dunia hii usimwamini mtu maana IPO siku atamwambia MANGE mambo yako yote
 
Wale wasiomani kila anachopost Mange nadhani wao wana matatizo makubwa. Ni watu ambao labda wanakua na tabia ambazo dada Mange anasema au kukosoa au na wao ni wahanga kwa namna moja au nyingine. Haiingii akilini mtu anapost kero mbalimbali na ushahidi juu bado mtu anasema hamuamini thats insane. Inamaana kila anachopost ni uongo??
 
Hapana sio mbabe anachofanya ni kukupakazia habari za uongo na kumchafua tu mtu,hebu kumbuka yule alieambiwa na ananuka papuchi,ina maana yule anaemuoa saiv anavumilia tu? Me siamin habari zake zozote zile najua ni uzushi tu
Kamuulize jamaa , unabisha mi nikadhani uliwahi kumgegeda huyo Mnuka nuka
 
Halafu na wewe unajiunga kuufatilia... Mxiuuuuu... Hivi aliyekwambia kila mtu anaenda kazini asubuhi ni nani? Usiishi kwa kukariri
Achana nao yani kuna mi watu minafiki ajabu yani huyo huyo kila siku anakazi ya kuuliza eti Mange amepost nini au muda mwingine anajisemea kimoyo moyo bora mange katusemea. Be realistic kama kuna sehemu mtu anafanya vzr unampa credits zake. Mbona kuna watu wanasoma vitu vyake na kusmhauri aache matusi na sio kuona kila kitu anafanya vibaya.
 
kutokana na haya yanayo wakumba watu kutoka kwa huyu Dada ,nimejfunza kuwa katka dunia hii usimwamini mtu maana IPO siku atamwambia MANGE mambo yako yote

Wale wasiomani kila anachopost Mange nadhani wao wana matatizo makubwa. Ni watu ambao labda wanakua na tabia ambazo dada Mange anasema au kukosoa au na wao ni wahanga kwa namna moja au nyingine. Haiingii akilini mtu anapost kero mbalimbali na ushahidi juu bado mtu anasema hamuamini thats insane. Inamaana kila anachopost ni uongo??
 
Achana nao yani kuna mi watu minafiki ajabu yani huyo huyo kila siku anakazi ya kuuliza eti Mange amepost nini au muda mwingine anajisemea kimoyo moyo bora mange katusemea. Be realistic kama kuna sehemu mtu anafanya vzr unampa credits zake. Mbona kuna watu wanasoma vitu vyake na kusmhauri aache matusi na sio kuona kila kitu anafanya vibaya.
Wee mwache tu kuna siku tampelekea moto bila dawa ya jicho.... Maamiti..!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom