Numbisa hiyo tweet sio yangu mimi nimeweka tu kama chagizo la mada kuleta uhalisia wa kile nilichoandikaMshana kuna saa unajishusha sababu ya ushabiki wa upinzani. Mtatiro ana uongozi gani?
Karma karma huu huwa ni wimbo mnaoutaja kwa viongozi na wafuasi wa chama tawala but huwa inawapiga hata wa vyama pinzani.
Na usikute kuna kitengo kabisa kimeundwa na bajeti ya kutosha kupitia page za Mange 24/7, kufanya uchambuzi na documentation. Mange ni nomaWanachonifurahisha ni pale wanapojifanya hawamfuatilii kumbe macho kodo muda wote!
Huyu dada ni jeshi aseee tena la mtu mmojaHii combination ya Mpare na Mmakonde ni namba mbaya sana
Hii combination inabidi nami niifanfe ili nihakiki..Hii combination ya Mpare na Mmakonde ni namba mbaya sana