Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,828
- 868,336
Hiki alichokifanya kww yule kiongozi wa dini kitakumbukwa kwa muda mrefu sana, japo yeye kazi yake kubwa ilikuwa ni kurusha tu hewani taarifa anazopokea toka kwa followers wake...
Nimeshangazwa mno na kitendo cha CCM kukaa kimya kabisa bila kujaribu hata kumtetea mhanga japo kwa maneno ya faraja
Inawezekana kwa sasa Mange Kimange ndiye whistle blower anayeogopeka na maarufu zaidi Tanzania... Na kuna baadhi ya viongozi wanaanza kumkubali habari zake kiaina... She has guts