Sasa wanamjua vema

Sasa wanamjua vema

Huwa nakuamini sana Mzeeeee ila leo umeyumba et viongozi mtatilo ni nan kwa nafas ipi na wapi
 
Huwa nakuamini sana Mzeeeee ila leo umeyumba et viongozi mtatilo ni nan kwa nafas ipi na wapi
Sijui kwanini neno viongozi limekuwa referred kwa Mtatiro... Lakini hata hivyo alishawahi kuwa kiongozi mkubwa tu ndani ya CUF... Labda kwa tafsiri nyingine mniambie ukiwa kwenye nafasi ya uongozi nje ya ccm na serikali basi huhesabiki kuwa kiongozi
 
that's my sweet Mange. Dada wa Taifa, national treasure, masters Holder, the notorious ass's kicker, potential Times person of the year and notably the potential Nobel Peace award contender.

Nilishakusamehe Da Mange kwa matusi kwa kipenzi Cha wote rais lowasa. Please muombe msamaha kwenye ukurasa wako wa Instagram.

ISIS
She's just a kickAss, [emoji23] [emoji23] [emoji23] a real kick-Butt mgawa ubuyu n all hana lolote
 
Uko sahihi kaka mkubwa,wengi tungebaki gizani..lakini kupitia yule Dada tumeyajua mengi ya uvunguni.
Trust me, mtu anayekaa na wewe huku akikwambia habari za mtu au watu wengine ni huyohuyo akikaa na hao watu au mtu mwingine hukuongelea wewe.
Mange kimambi hafunguki kwa lolote lisilompa faida, leo hii atakuwa upande wa fulanu wanaongea vizuri tu, soon wakitibuana anaenda kumvua nguo mtu husika.

Bora hata whistle blowers kuliko huyo mange
 
Kinachomsaidia anaongea akiwa uhamishoni sasa aongee haya akiwa Tz cha moto atakiona.Tusishabikie lugha ya matusi jamani.
Tusishabikie lugha ya matusi wala tusiwaseme wafanya matusi na uchawi kwa mgongo wa dini
 
bango kubwa point haionekani.


dada hayuko sawa kisaikolojia,huwezi tukana watu wazima umri wa baba yako.kama una akili timamu.
Ni aibu kiamua kukataa kutooana kinachooneka,
Tena ni aibu kubwa kutaka mkubwa fidhuri kuitwa mwema na kioo cha jamii,tabia za hivi wanazo waliolelewa kuwa watumwa,
 
She's just a kickAss, [emoji23] [emoji23] [emoji23] a real kick-Butt mgawa ubuyu n all hana lolote
IMG-20180209-WA0057.jpg
 
Mm hua najiuliza huyu Dada anapataje siri za serikali hasa zile za ndani zaidi maana ana ushadi hadi unaogopa lkn anasaidia mengi binafsi namuombea sana
 
Mm hua najiuliza huyu Dada anapataje siri za serikali hasa zile za ndani zaidi maana ana ushadi hadi unaogopa lkn anasaidia mengi binafsi namuombea sana
Anapelekewa na hao hao walioko huko ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom