Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,587
- 15,450
Hawatoi WHO,lakini si zipo Public hizo taarifa?Au zimefichwa?Marekani imejitoa WHO haipeleki takwimu kule imekaa nazo yenyewe kama ni lazima wao mbona hawapeleki na wamejitoa WHO shirika la afya linalosimamia afya duniani
Mbona huwa unajitoa ufahamu kabisa na kujifanya zumbukuku kisa kushabikia CCM??