Jamani... Kuna mambo hayahitaji siasa kabisa.... Hasa khs afya za watu.. Mda utasema ukweli cku moja...
Mkuu kuna mambo mbona yanatia kichefuchefu?
Jamani... Kuna mambo hayahitaji siasa kabisa.... Hasa khs afya za watu.. Mda utasema ukweli cku moja...
Kabisa kabisa, US of A anadhani anajuwa kila kitu, aje afundishwe kupiga nyungu na kunywa dawa zetu za asilia...Marekani huwa ni taifa linalojiona ni dume linaweza kila kitu kuliko taifa lolote duniani
Sasa imekuja Corona nchi za Africa tumeiwezea kuliko marekani
Sasa baada ya marekani kuona ohhh vinanipita hata vi nchi vidogo kuishinda corona akaona atafute sababu za kujikosha kuwa ohhh mimi bado niko vizuri mno kwenye hii vita kuliko nchi zote za Africa
Sababu ya marekani kupiga yowe kuwa nchi za Africa zinaficha takwimu za corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na corona!!! Na Trump anaogopa kubwagwa chini uchaguzi ujao
Ndio maana anarusha propaganda aonekane yuko fit tu wasiangalie Africa yuko kwenye right track kumbe muongo waafrika kwenye Corona tumemzidi
Akubali tu marekani kuwa yeye sio mjua yote ,mjua yote ni Mungu tu .Kuhitaji msaada africa wa majani ya kujifukizia na dawa za corona asiogope kuomba.Africa tuna huruma sana hasa kwa wagonjwa tunaweza ku donate bure na kama maombi ya wamarekani yamekwama hewani mungu hasikii maombi yao aje aombe waafrika tuiombee marekani sababu kwetu tumeomba katusikia sababu tulimwambia sisiwaafrika unatujua hatuna wataalamu wala maabara nzuri wala miundo mbinu mizuri ya tiba turehemu viumbe wako wanyonge kuanzia uchumi hadi uwezo wa kupambana na corona.Tukafunga na kuomba Mungu akatusikia.Tunadunda maisha yanaendelea
Hakuna sababu yoyote mwananchi wa kawaida asiye na maslahi binafsi kwenye hili kutaka taarifa zisitangazwe. Kwa mwananchi aidha hajali kuhusu hizi namba, au mwenye uelewa kidogo na mambo, atake kuzijua kuelewa tatizo.Mkuu sijui ni tatizo la Taifa au kizazi kilichopo. Kuna ombwe la kufikiri na kutafuta ufahamu.
Takwimu za medical si sawa na takwimu za miti au malimao.
Takwimu za medical zipo katika Bio statistic na hutafsiriwa katika epidemiology.
Maeneo hayo mawili yanafanya kazi kwa pamoja kila moja liki suppliment jingine.
Huwezi kujua uwepo wa tatizo kama huna takwimu. Huwezi kujua trend ya ugonjwa kama huna takwimu.
Huwezi kujua 'factor' za tatizo kama huna takwimu.Huwezi kulikabili tatizo kama huna takwimu.
Mimi sioni kwanini tatizo la dunia Tanzania ilikatae kwa aibu. Leo tunasema hatuna Corona, je, ni kweli hatuna?
At the end of the day waathirika ni sisi na watakaolia au kubaki na tatizo ni sisi.
Nimesoma hoja ya ''takwimu' zinasaidia nini kila siku hapa jamvini. Nilichobaini ni kuwa ima wanaosema hivyo hawajui wanasema nini, au wanajua lakini wanapotosha tu .
Tanzania ni masikini kwasababu ya kizazi kama hiki kisichojua takwimu na bado tunategemea kuingia uchumi wa kati na mentality ya watu hao ambao wengine ni 'senior' katika vyombo mbali mbali tunavyotegemea!
Sijakuelewa!!!Hakuna sababu yoyote mwananchi wa kawaida asiye na maslahi binafsi kwenye hili kutaka taarifa zisitangazwe. Kwa mwananchi aidha hajali kuhusu hizi namba, au mwenye uelewa kidogo na mambo, atake kuzijua kuelewa tatizo.
Vinginevyo ni propaganda machinery tu iko kazini
Unatia huruma kweli! Hivi suala la kutokutoa taarifa limelalamikiwa Afrika nzima au sisi tuu?
Na unajua kuwa masuala ya Pandemic utoaji taarifa sio sharti la hiari bali lazima kwa dunia nzima ili kulinda na kuchukua hatua kwa wengine?
Madhara tuwezayo kupata kwa hili la kutotoa taarifa za kweli ni kutengwa na huo muziki unakuja kwa kuendekeza akili za kijinga.
Magonjwa yanadhibitiwa kwa kufuata kanuni sio maombi ya siku tatu msimchoshe Mungu kwa uzembe wenu.
Kuna kauli za sijui wivu, yaani US anayekupa ARV na vyandalua bure akuonee wivu masikini kama wewe?
Mbona mnakuwa masikini jeuri hivi?
Jifunzeni kuwa na adabu. Na fuateni masharti ya tiba acheni kudanganywa na Vibwetere wa kizazi hiki.
Malekani ndio wapi?Tunatengwa na nani? Yaani mtu una akili bado zma hizi unawaza kutengwa, kwa ugonjwa ambao hauna mjanja,
Wavulana siku hizi hamtumii akiri,
Nawaangalia tu,
Eti tutatengwa ? Na nani huyo atutenge sasa,
Hivi unaweza mtenga mtu anayetembea wakati wewe ndo kilema?
Hao malekani mpaka siku ugongwa unaisha kwao sisi tutakuwa tulishasahau kama upo.
Unatia huruma kweli! Hivi suala la kutokutoa taarifa limelalamikiwa Afrika nzima au sisi tuu?
Na unajua kuwa masuala ya Pandemic utoaji taarifa sio sharti la hiari bali lazima kwa dunia nzima ili kulinda na kuchukua hatua kwa wengine?
Madhara tuwezayo kupata kwa hili la kutotoa taarifa za kweli ni kutengwa na huo muziki unakuja kwa kuendekeza akili za kijinga.
Magonjwa yanadhibitiwa kwa kufuata kanuni sio maombi ya siku tatu msimchoshe Mungu kwa uzembe wenu.
Kuna kauli za sijui wivu, yaani US anayekupa ARV na vyandalua bure akuonee wivu masikini kama wewe?
Mbona mnakuwa masikini jeuri hivi?
Jifunzeni kuwa na adabu. Na fuateni masharti ya tiba acheni kudanganywa na Vibwetere wa kizazi hiki.
Ndio Covid 19 ipo. Kwa rate yako ya kusikia mtu mmoja kwa wiki si nzuri lakini sio kiama kama wengi wanavyotaka tuamini. Tuendelee kuchukua tahadhari.Hivi ninavyoongea kuna dada anazikwa Moshi. Haipiti wiki bila kusikia msiba wa Covid-19.
Watu wengine wanajifunga macho na masikio kwa cognitive dissonance tu.
Korona ni uhuni wa mabeberu kupitia WHO ilikutugandamiza nchi za Africa,ugonjwa huu upo na tunaishi nao hata kabla ya kupewa promo.Serikali ya Tanzania inaficha data au haifichi?
Hilo ni suala la msingi na la awali kabisa, la muhimu kwa Mtanzania, bila kujali Mmarekani anafuatilia au hafuatilii.
Trump akipita uchaguzi huu, nitajitolea kudeki vyoo vyovyote vya stendi nchini.Trump amekamatwa mwaka huu
Marekani huwa ni taifa linalojiona ni dume linaweza kila kitu kuliko taifa lolote duniani
Sasa imekuja Corona nchi za Africa tumeiwezea kuliko marekani
Sasa baada ya marekani kuona ohhh vinanipita hata vi nchi vidogo kuishinda corona akaona atafute sababu za kujikosha kuwa ohhh mimi bado niko vizuri mno kwenye hii vita kuliko nchi zote za Africa
Sababu ya marekani kupiga yowe kuwa nchi za Africa zinaficha takwimu za corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na corona!!! Na Trump anaogopa kubwagwa chini uchaguzi ujao
Ndio maana anarusha propaganda aonekane yuko fit tu wasiangalie Africa yuko kwenye right track kumbe muongo waafrika kwenye Corona tumemzidi
Akubali tu marekani kuwa yeye sio mjua yote ,mjua yote ni Mungu tu .Kuhitaji msaada africa wa majani ya kujifukizia na dawa za corona asiogope kuomba.Africa tuna huruma sana hasa kwa wagonjwa tunaweza ku donate bure na kama maombi ya wamarekani yamekwama hewani mungu hasikii maombi yao aje aombe waafrika tuiombee marekani sababu kwetu tumeomba katusikia sababu tulimwambia sisiwaafrika unatujua hatuna wataalamu wala maabara nzuri wala miundo mbinu mizuri ya tiba turehemu viumbe wako wanyonge kuanzia uchumi hadi uwezo wa kupambana na corona.Tukafunga na kuomba Mungu akatusikia.Tunadunda maisha yanaendelea
Mabeberu gani? Hao wanaoikamilishia nchi yako bajeti?Korona ni uhuni wa mabeberu kupitia WHO ilikutugandamiza nchi za Africa,ugonjwa huu upo na tunaishi nao hata kabla ya kupewa promo.
Sasa hata kama anakufa mtu mmoja kwa wiki (kitu ambacho si ukweli, wanakufa watu wengi zaidi). Kwa nini serikali haitangazi namba za wagonjwa kuongezeka?Ndio Covid 19 ipo. Kwa rate yako ya kusikia mtu mmoja kwa wiki si nzuri lakini sio kiama kama wengi wanavyotaka tuamini. Tuendelee kuchukua tahadhari.