Nchi zilizoendekea moja ya sababu kubwa ni kuwa nchi za kidini sana ndio maana ziko juu kiuchumi

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,909
51,904
Nchi zilizoendekea moja ya sababu kubwa ni kuwa nchi za kidini sana ndio maana ziko juu

Israel mfano iko juu sababu baba yao Ibrahim.aliwaahidi kuwa atamfanya taifa kubwa na kulibariki sana liko juu
Nchi za kiarabu ziko juu nazo sababu Ishmael baba wa waarabu mtoto wa nyumba ndogo ya Ibrahim naye Mungu alimwambiwa atakuwa taifa kubwa

Ulaya imeendelea sababu ndiko ukristo ulikoshikwa sana na kuenezwa dunia nzima Mungu akawabariki kwa hilo

Marekani ndiko inaongoza duniani kwa kuwa na walokole wengi na waenda kanisani wengi kuliko taifa lolote duniani
Marekani ndio walioeneza ulokole dunia nzima.Pia pesa yao ya dola ndio pesa pekee duniani yenye maneno ya Mungu kila noti ya dola imeandikwa IN GOD WE TRUST

Kwa Afrika mashariki Kenya ndio inaongoza kwa watu kushika dini kiuthabiti na kudhamiria kuliko nchi yeyote ya Afrika Mashariki kiuchumi wametuzidi

Kwa Tanzania wachaga ndio wanaongoza Tanzania kwa kushika dini kiudgabiti sana na kujali na kujitolea sana sadaka makanisani na ndio asilimia kubwa ndilo kabila lenye maendeleo na mafanikio kimaisha
Makabila mengine mjitathmini wenyewe
 
Jalibu ku balance shobo ,nawe katoe sadaka alafu kalale usubili kujibiwa.kama mchaga harakati zake ziko wazi mbona.
mchaga anasali na juhudi ,mnyaki kamzidi mchaga kusali sema wengi wanafiki uchawi mwingi nyuma yao.
Mungu anakupa lakini na jitihada zionekane,vilevile kuwa na maneno ya Mungu kwenye pesa sio kubalikiwa ila ni kujitambua na kuwajibika.wimbo wa taifa umejaa maneno mengi ya kiuungu kuwaombea Africa na tz ,ila viongozi wenyewe ndo kina mseven ,wanatawala bila willing za watu baraka zitoke wapi?
 
Nchi zilizoendekea moja ya sababu kubwa ni kuwa nchi za kidini sana ndio maana ziko juu

Israel mfano iko juu sababu baba yao Ibrahim.aliwaahidi kuwa atamfanya taifa kubwa na kulibariki sana liko juu
Nchi za kiarabu ziko juu nazo sababu Ishmael baba wa waarabu mtoto wa nyumba ndogo ya Ibrahim naye Mungu alimwambiwa atakuwa taifa kubwa

Ulaya imeendelea sababu ndiko ukristo ulikoshikwa sana na kuenezwa dunia nzima Mungu akawabariki kwa hilo

Marekani ndiko inaongoza duniani kwa kuwa na walokole wengi na waenda kanisani wengi kuliko taifa lolote duniani
Marekani ndio walioeneza ulokole dunia nzima.Pia pesa yao ya dola ndio pesa pekee duniani yenye maneno ya Mungu kila noti ya dola imeandikwa IN GOD WE TRUST

Kwa Afrika mashariki Kenya ndio inaongoza kwa watu kushika dini kiuthabiti na kudhamiria kuliko nchi yeyote ya Afrika Mashariki kiuchumi wametuzidi

Kwa Tanzania wachaga ndio wanaongoza Tanzania kwa kushika dini kiudgabiti sana na kujali na kujitolea sana sadaka makanisani na ndio asilimia kubwa ndilo kabila lenye maendeleo na mafanikio kimaisha
Makabila mengine mjitathmini wenyewe
Viongozi wa Tanzania wakiendelea KUMDHIHAKI Mungu maendeleo mtayasikia Kwa jirani tu. Watu laghai kama Gwajima askofu mzima unakubali kupokea cheo cha dhuluma na kushiriki wizi wa Kura halafu Mungu awe juu yake?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
China, Japan , Malaysia hawana dini kama zetu Ila wapo far away, Marekani na ulaya wameendelea Kwa dhuluma za ukoloni , na still wanapora Mali za watu ...sijajua kama kumtumaini Mungu ndo kukupa nguvu ya kufanya hvyo , sku zote watu wenye sarakasi nyingi kwenye utafutaji ndo hutoa sadaka kubwa kujisafisha, Mungu yupo Ila sio Kwa mtazamo unaotaka kutuaminisha
 
Wachaga wann mbona Moshi iko ovyo wale wachawi tu kama wakinga Wacha kudanganywa unatolea mifano haipo mbona husemi Russia, china ,japan ,Korea usiforce

Unayajua makabila yote Tz au unajua watu wa kick matapeli na wafanya biashara haramu ndo hao unaotaja

Sasa sikia mpare ni ngumu sana kumkuta hana hofu ya mungu either muislamu au mkristo utamkuta yupo kamili na anajua imani yake

Siri ya wachaga ni kutokuwa na utu mbele ya pesa, kufanya kila kitu Ili mradi wapate pesa kwa halali au haram
Uliona wapi watu wa dini wakawa walevi
 
sishabikii ukabila ila mimi kama MCHAGA sijapenda ulichoandika... Hapa ndipo udumavu wa akili kwa makabila mengi huanza. KWAMBA WACHAGA TUNATAFUTA HELA KWA HALALI AU HARAMU.... Kwamba ni walevi, ni wezi,,, HUKO NI KUJITETEA KUSIKO NA MAANA NA KUTUSHUTUMU WACHAGA BILA SABABU.
 
Na ndo ukweli unauma sana 🤣🤣🤣🤣
 
Nchi zilizoendekea moja ya sababu kubwa ni kuwa nchi za kidini sana ndio maana ziko juu

Israel mfano iko juu sababu baba yao Ibrahim.aliwaahidi kuwa atamfanya taifa kubwa na kulibariki sana liko juu
Nchi za kiarabu ziko juu nazo sababu Ishmael baba wa waarabu mtoto wa nyumba ndogo ya Ibrahim naye Mungu alimwambiwa atakuwa taifa kubwa

Ulaya imeendelea sababu ndiko ukristo ulikoshikwa sana na kuenezwa dunia nzima Mungu akawabariki kwa hilo

Marekani ndiko inaongoza duniani kwa kuwa na walokole wengi na waenda kanisani wengi kuliko taifa lolote duniani
Marekani ndio walioeneza ulokole dunia nzima.Pia pesa yao ya dola ndio pesa pekee duniani yenye maneno ya Mungu kila noti ya dola imeandikwa IN GOD WE TRUST

Kwa Afrika mashariki Kenya ndio inaongoza kwa watu kushika dini kiuthabiti na kudhamiria kuliko nchi yeyote ya Afrika Mashariki kiuchumi wametuzidi

Kwa Tanzania wachaga ndio wanaongoza Tanzania kwa kushika dini kiudgabiti sana na kujali na kujitolea sana sadaka makanisani na ndio asilimia kubwa ndilo kabila lenye maendeleo na mafanikio kimaisha
Makabila mengine mjitathmini wenyewe
Eti Mchaga ana maendeleo sababu ya Dini!
Kwa taarifa yako hao mabwana hao ndio wapiga dili kubwa zooote serikalini yaaani Grand Corruption.
Akina Mramba, Makundi, Mallya, Mushi wooote wamewahi kupiga mapesa ya kutosha Serikalini wakaenda kuwekeza huko kwao hadi leo mfumo unaendelea.
Usichokijua ni kwamba kilichowabeba cha kwanza ni Wingi wa Shule za Sekondari walizojengewa toka Ukoloni na hivyo Wengi wao walipata Elimu kwa wingi sana mapema na kupata fursa za ajira nyeti serikalini.
Tatu ni Ubinafsi wao enzi hizo kabla nyinyi makabila mengine hamjaaamka wao ile sysytem ya Chato waliitumia mapema mnooo. Walipeleka umeme hadi vijijini, barabara za lami hadi mashambani nk kwa kutumia pesa zetu. Huko BOT akiwepo Mzee Mtei.
Nne kupendana na kupeana fursa za Kibiashara na ajira za uoendeleo.
Kwa mantiki hiyo sioni utafiti wako unaingia wapi
 
siamini
 
Mada fikirishi imeishia na ghadhabu za kikabila. Kweli mwafrika ukikwanyua ngozi ya juu tu unakutana na ukabila. Hebu tujibu hoja hii ya kifalsafa.
 
True weupe wanaendelea sababu wanafata mafundisho ya dini kuhusu kutoa, kutoa kuna fungua milango ya mafanikio yako. Ukijiona wewe ni masikini jifunze anza kutoa, umasikini utaondoka.
Jiulize kwann wazungu wanaisaidia sana Afrika sababu wanajua siri ya nguvu iliyopo kwenye utoaji.
 
Viongozi wa Tanzania wakiendelea KUMDHIHAKI Mungu maendeleo mtayasikia Kwa jirani tu. Watu laghai kama Gwajima askofu mzima unakubali kupokea cheo cha dhuluma na kushiriki wizi wa Kura halafu Mungu awe juu yake?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
Sasa kama wanasaka teuzi kwa waganga kwa kutoa kafara kwa shetani maendeleo yatoke wapi?
 
China, Japan , Malaysia hawana dini kama zetu Ila wapo far away, Marekani na ulaya wameendelea Kwa dhuluma za ukoloni , na still wanapora Mali za watu ...sijajua kama kumtumaini Mungu ndo kukupa nguvu ya kufanya hvyo , sku zote watu wenye sarakasi nyingi kwenye utafutaji ndo hutoa sadaka kubwa kujisafisha, Mungu yupo Ila sio Kwa mtazamo unaotaka kutuaminisha
Hakuna nchi isiyo na dini,china wanaamini ktk dragon,japan Wana shinto, Malasyia uislamu.
Ukristo ndio chanzo cha ustaarabu na maendeleo ya ulaya
 
Waafrika ni masikini sababu wamejishikamanisha na mamizimu. Mizimu haitaki watu wawe na maendeleo, maendeleo yanazuia ibada za mizimu na matambiko. Mtu akifanikiwa ataachana na mambo ya kuabudu mizimu. Atawapeleka watoto shule bora watapata elimu bora, mizimu haipatani na elimu.Mtu mwenye elimu ataacha kuabudu mizimu. Mizimu ndo imewashikilia waafrika wawe masikini Ili isikimbiwe.
 
Tanzania kuna mahali kuna makanisa mengi kama Mbeya? Wazungu hata kanisani hawaendi, Saudi Arabia dini haishikwi kama Somalia.
 
True weupe wanaendelea sababu wanafata mafundisho ya dini kuhusu kutoa, kutoa kuna fungua milango ya mafanikio yako. Ukijiona wewe ni masikini jifunze anza kutoa, umasikini utaondoka.
Jiulize kwann wazungu wanaisaidia sana Afrika sababu wanajua siri ya nguvu iliyopo kwenye utoaji.

Unatoa kwa Mwamposa?
 
Correlation does not imply causation

images - 2022-04-16T091536.548.jpeg
 
Back
Top Bottom