YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
Marekani huwa ni taifa linalojiona ni dume linaweza kila kitu kuliko taifa lolote duniani
Sasa imekuja Corona nchi za Africa tumeiwezea kuliko marekani
Sasa baada ya marekani kuona ohhh vinanipita hata vi nchi vidogo kuishinda corona akaona atafute sababu za kujikosha kuwa ohhh mimi bado niko vizuri mno kwenye hii vita kuliko nchi zote za Africa
Sababu ya marekani kupiga yowe kuwa nchi za Africa zinaficha takwimu za corona ni kuficha aibu kuwa wao taifa kubwa limeshindwa kupambana na corona!!! Na Trump anaogopa kubwagwa chini uchaguzi ujao
Ndio maana anarusha propaganda aonekane yuko fit tu wasiangalie Africa yuko kwenye right track kumbe muongo waafrika kwenye Corona tumemzidi
Akubali tu marekani kuwa yeye sio mjua yote ,mjua yote ni Mungu tu .Kuhitaji msaada africa wa majani ya kujifukizia na dawa za corona asiogope kuomba.Africa tuna huruma sana hasa kwa wagonjwa tunaweza ku donate bure na kama maombi ya wamarekani yamekwama hewani mungu hasikii maombi yao aje aombe waafrika tuiombee marekani sababu kwetu tumeomba katusikia sababu tulimwambia sisiwaafrika unatujua hatuna wataalamu wala maabara nzuri wala miundo mbinu mizuri ya tiba turehemu viumbe wako wanyonge kuanzia uchumi hadi uwezo wa kupambana na corona.Tukafunga na kuomba Mungu akatusikia.Tunadunda maisha yanaendelea