Wewe upo nchi gani? Kwa walioko TANZANIA wanaelewa kuwa kuna kamati iliundwa na aliyekuwa waziri wa habari Ndg.
Nape Nnauye kuchunguza tukio la uvamizi wa Makonda kwenye ofisi za Clouds Media. Upande wa CLOUDS walihojiwa na ile kamati, chakushangaza siku wanakwenda kuhoji upande wa pili haikuwezekana kwani Ndg. Makonda alitoroka kwa kupitia mlango wa nyuma..
NYONGEZA: Baada ya ripoti ile ilivyotoka tu, ilisababisha aliyekuwa waziri wa habari kufukuzwa kazi na nafasi yake kuchukuliwa na mtu mwingine..
MAKONDA ALIVAMIA CLOUDS MEDIA.