Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Status
Not open for further replies.
Baada ya kumsikiliza Makonda kuna uwazi juu ya kwamba mambo mengi aliyokuwa akiyafanya kama mkuu wa mkoa mawazo alikuwa akiyapata clouds. Sababu cloouds ilikuwa kama sebuleni kwake akitoka kazini anaenda pale mjengoni, Dhahiri hata wale waliotajwa waiza madawa ni story alizozisikia clouds wakati akikaa na kina soudybrown.
It is very possible idea nyingi alikuwa anapewa na Ruge (call it Clouds)...
 
Ruge tayari kasema hawezi kumjibu kwani yeye ni mtu mzima hawezi kujibishana na watoto. Hekima na busara zake hazimshawishi kuingia katika malumbano.
 
Ukibishana na mpumbav.u watu hawawezi kuwatofautisha kati yako na mpumbavu. Nimejaribu kutafsiri ule msemo wa kingereza
 
Ruge amesoma alama za nyakati ndio maana amesema hataki malumbano.
Kumbuka Makonda amesema anayajua mengi sana ya clouds,akiamua kutumia kofia yake ya hiyo stesheni inaweza kufutika,hicho ndicho kilichomfanya Rugemalira anywee,lakini ukweli ni kuwa kilifanyika kikao jana usiku,na Ruge alipangwa kutoa counter statement baada ya Makonda kuongea na ndio maana Ruge alicheleweshwa kuongea ila mkwara wa Makonda umemfanya Rugemalira ajitafakari na ugali wake.
Heko Ruge naamini ipo siku vijana mtapatana tu ni shetani aliamua kuingia kati yenu kwa maslahi ya wauza ngada
Kwa hiyo bashite anaficha maovu! Nonsense, msitufanye wajinga.

Sent from my GT-I9195I using JamiiForums mobile app
 
Dont argue with a fool, if you argue with a fool it will be difficult to spot the difference....silence is the best weapon always.
 
Ruge kaongea nini? Tulikuwa busy kumsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Tanzania Daudi Bashite!
Aliongea baada ya Boss wake kumaliza kuongea Star Tv.
Nilicho kiona mimi ni kuchanganyikiwa kwa Baby na Hassan baada ya kuona hawapati majibu ya kueleweka.
Ruge alikosa ujasiri kabisa alikuwa mpole kuliko kawaida kama vile alibanwa kwenye kona.
Na hisi Ruge alikosa ujasiri kwa kuwa mzee wa tume hayupo madarakani so hana wa kumtetea.
Masud lazima kuna anacho kijua zaidi ya Baby na Hassan maana alionekana kama vile anauwa soo kwenye maswali ya Baby na Hassan.
 
mwanzo wa kuanguka clouds! Leo hata huyo ruge alikuwa anaangalia star TV. star tv wako vizuri
 
Nimependa sana Makonda aliposema,,,,Ruge katumia vyombo vyake,je naye angetumia vyombo vyake!,,,,,,kudos mbabe wa vita Makonda.
 
Makonda kadhalilika sana leo..
Yupo mtupu kabisa.

Mimi simpendi Makonda lakini kwenye mjadaka wa leo ameonyesha kweli vyeti vyake vina utata. Lakini kwenye maelezo mengine aliyoyatoa kama kuvamia kituo cha clouds kwa kweli amejenga hoja vizuri. Na kwa kuwa alijua eneo hilo lina maadui wake wengi amelifafanua vizuri tena kwa upana. Kwa hapa tumtendee haki hata kama hatumpendi. Kwa ujumla ameonyesha uwezo mkubwa wa kujitetea tena kwa hoja hata kama simpendi.
 
Ruge amesoma alama za nyakati ndio maana amesema hataki malumbano.
Kumbuka Makonda amesema anayajua mengi sana ya clouds,akiamua kutumia kofia yake ya hiyo stesheni inaweza kufutika,hicho ndicho kilichomfanya Rugemalira anywee,lakini ukweli ni kuwa kilifanyika kikao jana usiku,na Ruge alipangwa kutoa counter statement baada ya Makonda kuongea na ndio maana Ruge alicheleweshwa kuongea ila mkwara wa Makonda umemfanya Rugemalira ajitafakari na ugali wake.
Heko Ruge naamini ipo siku vijana mtapatana tu ni shetani aliamua kuingia kati yenu kwa maslahi ya wauza ngada
Sasa naelewa nilikuuliza swali gumu mno!Umesoma ulichandika?Pumba tupu!
Kama mtu muhalifu ashughulikiwe,sio kutishana kwamba ukinijibu natoa uovu wako!Hajamjibu,inamaana kama Ruge ni mhalifu kapeta!Ndio fikra hizi za mtu timamu?Shame
 
dfe2909e81ea73c5a51a18387ecf89a6.jpg

__________________
Mkurugenzi na mzalishaji wa vipindi waClouds Media Group, Ruge Mutahaba, ameijibu kauli iliyotolewa na Mkuu wa mkoa wa Dar Dar es salaam, Paul Makonda ya kuwa yeye ni muongo, na anafaa tu kuwa muandishi wa mashairi na nyimbo za mapenzi na ngonjera.

Ruge ametoa kauli hiyo leo katika kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na kituo hicho, ambapo walikuwa na kipindi cha ‘SHUKRANI’ kwa wasikilizaji wao na watu waliowahi kuwasaidia kupata misaada.

“Kila mtu ana mtazamo wake, na huwezi kulazimisha mtazamo wa mtu ubadilike. Inasikitisha sana kuona mtu anayesambaza haya mambo ni bosi wangu, Bosi wa mkoa wetu. Yeye akipiga mhuri kitu ndio imekaa hiyo, Yeye ana nguvu zote,” amesema Ruge.

“Sasa akisema hivyo mimi ni tapeli anataka kila mtu Dar es Salaam anione hivyo. Mimi sina nguvu kwa hiyo nachagua kubaki kwenye ninacho kiamini. Tangu mwanzo nilisema mimi nataka haya mambo yaishe, cha kusikitisha huyu mtu ni kiongozi lakini anashindwa kumaliza jambo hili kwa busara na anataka kuliendeleza.

“Kuna mambo hapa yanajaribu kutengenezwa. Watu wanajaribu kutusukuma turudi kwenye mjadala ambao tulishaumaliza. Mimi ni mtu mzima , na busara inaniambia watu wazima hatuna haja ya kurudi kwenye majibizano ambayo kwangu yaliisha siku nyingi “alieleza Ruge.
=============

Credit : mpekuz blog

Kalenga kidamali
 
  • Thanks
Reactions: SDG

Back
Top Bottom