Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Status
Not open for further replies.
Ruge kumjibu makonda itakuwa kumpa heshima watu kama kina Makonda ni wa kupuuzwa tu.. Ruge ameweza kuipaisha clouds TV mpaka imeweza kuwekeza DSM mjengo wa maana ameweza kuendesha THT kwa mafanikio makubwa wasanii kibao wametokea hapo sasa wanaingiza fedha za maana kupitia kodi,while yeye makonda akitoa matamko tu yasiyo tekelezeka.
haswaaaaaaaa amkaushie apige kazi huyu mtu akili zake zinamtosha mwenyewe nikajua anakuja na bonge la project haha hana tofauti na mzee wa upako alilewa akatukana majirani halafu akaanza kusema watu watakufa sijui nitauza gongo akijua anamkomoa mtu kumbe anajipalia makaa mwenyewe sasa kimyaaa
 
Hilo kalijibu makonda naona wewe ni mmoja wa Wale waliojifungia chooni wakati akiongea kasema waziri yeyote hana mamlaka kisheria kuunda kamati ya kumchunguza mkuu wa mkoa yeyote. Kamati ilitakiwa iundwe Na raisi sio waziri. Ile kamati ya Nape ilikuwa hewa asingeweza kukutana nayo.Nape aliingilia madaraka ya raisi
pumba fu
 
Ligi haina maana kabisa Bora Kukaa kimya fanya kazi zako Ruge atachoka mwenyewe
 
Makonda amefanikiwa kuonesha upande wa pili wa kilichoitwa uvamizi.
Kilichobakia ni sonono tu na ubishi wa kutotaka kushindwa wa baadhi ya Tanapa
 
Bashite ameshapuuzwa, big up Ruge. Mwisho wa ubaya ni aibu, hakuna wakati bashite ameongea kitoto kama leo. Unapewa nafasi ya kujisafisha unaongea ujinga!
 
1495449405501.jpg
 
Hilo kalijibu makonda naona wewe ni mmoja wa Wale waliojifungia chooni wakati akiongea kasema waziri yeyote hana mamlaka kisheria kuunda kamati ya kumchunguza mkuu wa mkoa yeyote. Kamati ilitakiwa iundwe Na raisi sio waziri. Ile kamati ya Nape ilikuwa hewa asingeweza kukutana nayo.Nape aliingilia madaraka ya raisi
So Rais kaamua kumsamehe?Nawaza tu ingekuwa Lema ndio kavamia kituo cha habari,maweeeeeeeee,angekiona cha moto!
JPM an double standards
 
Mkuu wa mkoa wa dsm katoa maneno ya dharau juu ya akili ya Ruge mkurugenzi wa vipindi clouds media kwamba uwezo wake ni kutunga nyimbo na ngonjera hawezi kuongoza dsm.

Mkuu wa mkoa amesahau sifa alizotaja mheshimiwa Rais za kuwa mkuu wa mkoa ni kujua kusoma na kuandika. Sifa hizo ruge anazo sasa kumwambia hana akili ya kuongza dsm maana yake hajui kusoma na kuandika.

Brother ruge usiwe mnyonge iga mfano wa baba askofu Gwajma tumia media yako mchane hakushindi kwa lolote hata uwezo wake wa kujibu maswali una walakini wakati wewe unajibu kiufasaha. Mbona Sugu uliwahi kumjibu alipo kusema vibaya bungeni, makonda ni nani mpk useme hutaki majibizano??? Atakuzoe huyo mchane kaka sisi tupo nyuma yako. DSM BILA UNAFIKI INAWEZEKANA
Ruge amesoma alama za nyakati ndio maana amesema hataki malumbano.
Kumbuka Makonda amesema anayajua mengi sana ya clouds,akiamua kutumia kofia yake ya hiyo stesheni inaweza kufutika,hicho ndicho kilichomfanya Rugemalira anywee,lakini ukweli ni kuwa kilifanyika kikao jana usiku,na Ruge alipangwa kutoa counter statement baada ya Makonda kuongea na ndio maana Ruge alicheleweshwa kuongea ila mkwara wa Makonda umemfanya Rugemalira ajitafakari na ugali wake.
Heko Ruge naamini ipo siku vijana mtapatana tu ni shetani aliamua kuingia kati yenu kwa maslahi ya wauza ngada
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Hakuna Ruge anachoweza kuzungumza kwa jinsi Makonda alivyosema akiamua kuoongea baadhi ya mambo haoni nani atasimama hapo clouds!! Kwa ujumla kuna mambo mengi wanajuana ambayo ni machafu hivyo hakuna anayethubutu kuyaongea. Na kwa hali ilivyo Makonda ndio kashika mpini kwani ana upendeleo wa dola nyuma yake. Haya ndio madhara ya urafiki wenye uhalifu ndani, siku mkikosana ndio hugeuka kuwa fimbo ya kukuchapia.
 
Madhara ya kuanika kila kitu kwa rafiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom