middle east
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 1,309
- 1,695
.
Wasukuma vs Wahaya wananyukana...
Majibizano ni nini?
kwahiyo hapo hajibizani?
Aoneshe vyeti kwanza huyo Mr zero
Hivi Kanisa la Gwajima liko umbali gani kutoka kwenye kingo za njia ya magari ?Kwa nilivyoangalia Maelezo ya BST, kuna mkakati umeishaandaliwa wa kupambana na akina Ruge, Gwajima n.k endapo wataleta fyokofyoko katika jambo hilo. Ndio maana ya confidence ya kiongozi huyo na maelezo yake feki. Nasisitiza umakini kwa atakayetaka kuendeleza mjadala.
Usituaibishe bhana wasukuma siku hizi twashomire ni baadhi yetu tu ndio tunaozungusha.Wasukuma vs Wahaya wananyukana...