Mkuu upo wapi?, hebu tupe chanzo cha habari yakoYAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
Awe na nakala halisi za vyeti vyake,vinginevyo ni hana tofauti na kihiyo.YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
Kumbe wewe team bashite?, wewe ulifoji cheti cha la saba au kidato cha nne?YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
Wewe tazama hayo mashudu yako ya star tv waache wengine watazame clouds tv.YAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
Kwani kila mtu si yuko huru kufanya anachofanya??Tafsiri rahisi Ruge anamuogopa Utingo.Tv ni yake na hana kazi nyingine kwa nini kesho? Ungefanya hata keshokutwa tu.