Rogart Ngaillo
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 931
- 1,960
Naambiwa STAR TV walipokwenda OFF bado radio zao zilikuwa LIVE....ndipo ikasikika sauti moja ikisema "leo tunamkomesha Ruge"
Kwahiyo interview ya leo ilikuwa na lengo la kumkomoa mtu! Lakini mbona kama Bashite kaenda kujivua nguo mwenyewe!?
Kwahiyo interview ya leo ilikuwa na lengo la kumkomoa mtu! Lakini mbona kama Bashite kaenda kujivua nguo mwenyewe!?