Polisi wachunguze nini wakati ripoti yao ilitoa majibu yake ule ulikua ni uzumbukuku wa akina Balile na wenzake,wangetaka uhalali wangeomba wataalamu wa polisi wahusiswe kwenye uchunguzi,unalalamika kuvamiwa alafu unaunda kamati bila kuhusisha vyombo vya uchunguzi tangulini TEF wakawa wachunguzi wa uvamizi tena wakutumia silaha SMG, AK-47 ???????Akupe CCTV yote wewe ni nani?! Moja ya maazimio ya Jukwaa la Wahariri ilikuwa ni kuwaambia polisi wachunguze kiundani tukio lile!! Sasa kwanini usiwaulize hao polisi ikiwa walichunguza au hapana?!
Katika haya yanayoendelea na kwa kumsikiliza Bwana Makonda ni vema Ruge na Clouds media waseme ukweli..kuna mambo yana ukakasi kidogo, inaweza ikawa kweli Makonda alivamia na inaweza ikawa ni katika kile ambacho Clouds wanakifanya kila siku katika kutaka maslahi...Ruge sema ukweli tupe CCTV yote tuone ukweli...
Nimalizie tu kuwa CLOUDS TUNAOMBA CCTV YOTE NA MAELEZO YALIYOKAMILIKA..Bila hivyo mtakuwa mnatugombanisha hadhira...waiting for next episode
My conc; Tuweke unafiki pembeni kila kitu kiwekwe peupe mimi sina side katika hili natamani kujua ukweli sio rahisi kuamini hivi vitu anavyoongea Makonda na sio rahisi kumuelewa Ruge na Clouds Media...Twendeni sawa tuache matusi.
RC MAKONDA anasema anayajua mabaya mengi ya Ruge je...hakuna cha kuongea hapo as a clouds?
mbona muda ni tofauti kiongoziYAANI YOTE HII NI KUPOTEZA MALENGO TUSITAZAME STAR TV ASUBUHI MAKONDA AKIHOJIWA.KWA HILI HATUDANGANYIKI. KILA MTU ANAINGOJEA HIYO KESHO KWA HAMU KUMUONA MAKONDA LIVE.
UtulieKwa hiyo
We ni mtu wa ajabu kama Bashite mwenyewe!Polisi wachunguze nini wakati ripoti yao ilitoa majibu yake ule ulikua ni uzumbukuku wa akina Balile na wenzake,wangetaka uhalali wangeomba wataalamu wa polisi wahusiswe kwenye uchunguzi,unalalamika kuvamiwa alafu unaunda kamati bila kuhusisha vyombo vya uchunguzi tangulini TEF wakawa wachunguzi wa uvamizi tena wakutumia silaha SMG, AK-47 ???????
Si wangeileta kama ni story ya uchocheziStori ya uwongo na uchochezi, haitakuwa balanced hadi kiama kwa kuwa imetungwa.
Watu wengine bhana!!! Kuna mtu aliyekuambia kuna kesi ilifunguliwa?! Au polisi kuchunguza shauri ni hadi mtu akafungue kesi?!Hakuna kesi iliyofunguliwa na wahariri wala ruge mwenyewe.Watachunguza nini walalamikaji ni hewa:
Nikome wee! Hilo group lenu wewe, James Delicious na Masogange linahusiana nini na mimi?Na wewe ndiyo