Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Status
Not open for further replies.
sioni haja ya daudi bashite kujibiwa na yeyote yule huyu bwana kashapotea katika ramani anatumia uhuni kujirudisha kwenye vyombo vya habari si gwajima wala mutahaba wa kumjibu .................................... hapo ndo atakapolia zaidI
Huyu mbwa hatakiwi kujibiwa, shida yake akamate media za Tz zote zimzungumzie yeye ila Mimi anawaambia wasimjibu chochote, jibu liwe kimyaaa hahahahaa lazima arudi kanisani I see safari hii atatambaa
 
Ruge kakosa cha kujibu naona anambwelambwela
Mjinga hajibiwi, ukimjibu mjinga unapa nafasi ya kujitanua zaidi sasa hakuna nafasi ya Bashite kujitanua Tanzania hii, shwaini akashinde huko huko Madeni Tv na tbccm
 
Yaani yote hii ni kupoteza malengo tusitazame star tv asubuhi Makonda akihojiwa.Kwa hili hatudanganyiki. Kila mtu anaingojea hiyo kesho kwa hamu kumuona Makonda live.


Njia za kuona/kusikia chochote zipo nyingi sio lazima uangalie papo hapo ndio maana pamoja na kuzuia bunge mubashara bado tunafuatilia kila kilichoendelea bungeni. Hakuna mwenye haja ya kukudanganya
 
Naona baada ya lile la Msiba kule Arusha sasa hivi limeibuka jipya
Makonda Vs Ruhe
 
Ruge hatacheza na Makonda kwa taarifa yako, subiri utaona tamalizwa kwa ustaarabu kabisa kabla hata ya 2018 December
hahahaha vibaraka wa 0 utawaona wengene mnadiriki hata kuvua nguo kumzsifia ndege wafananao huruka pamoja .....0 000000000

na wauza unga wengi wale wakuu ndo marafiki zake haswaa wanaomfagilia huku mitandaoni ambao wanatoa magari na rushwa mbalimbali ili awasafishie njia
 
KWA MARA YA KWANZA
CLOUD 360 WALIKUWA LIVE FACEBOOK, YOUTUBE.

WANANCHI WANAKIU NA MAKONDA ; VIEWER WA MAKONDA ILIKUWA 5 MIL ONLINE.

WATU MKIWAMINYA ; NDO WANAKOMOA .
Labda nikuulize...huyo Bashite amejibu maswali muhimu?
Ukweli ni kwamba amefoji vyeti,na Paul sio jina lake.
 
Screenshot_2017-05-22-11-35-14-1.png

Screenshot_2017-05-22-11-42-33-1.png
 
Natamani wote aliowashutumu na kuwataja wanyamaze kimya wasiongee chochote maana tushaona lengo la ile interview ilikuwa ni kick tu naona kaona ukimya wake afanyikitu bora aanze kuchokonoa
Now aende.kwa harmorapper akampe kick .
 
Nyumbu punguza hasira wewe kilaza hujui tofauti ya kazi za Mkuu wa mkoa na kazi za Meya, halafu siku nyingine usiandike kwa herufi kubwa wakati unaandika pumba
HAHAHAHA UTAJUTRA SINA HASIRA MIE NABOFYA TU HAPA KWA RAHA ZANGU NIWE NA HASIIRA NA KILAZA AAAH WAPI KAZI YAKE NI KUSIMAMIA MKOA HUU PERIOD
 
Ruge hatacheza na Makonda kwa taarifa yako, subiri utaona tamalizwa kwa ustaarabu kabisa kabla hata ya 2018 December
Ha haaaa haaaa unachekesha kweli! Yaan hata ukiwasikiliza tu unagundua yupo mmoja huyo unayemtetea uwezo wake mdogo sana
 
Y
Natamani wote aliowashutumu na kuwataja wanyamaze kimya wasiongee chochote maana tushaona lengo la ule interview ilikuwa ni kick tu naona kaona ukimya wake afanyikitu bora aanze kuchokonoa
Now aende.kwa harmorapper akampe kick .
yeah inshort huyu jamaa kwisha habari yake sasa anawachokoa hawa jamaa ili wamtaje kwenye vyombo vyao vya habari Ruge usijibu huu ujinga kabisa please please achaneni na 'kirundu'
 
tatizo elimu yake inaakisi ayatendayo, busara ni kumuacha maana kichaa akikuibia nguo mtoni ukifukuzana nae wotw mtaonekana vichaa barabarani
 
KWASABABU AKILI HANA NI KAMA VILE ANAVYOWAAMBIA MACHOKORAA WAJISELFIE NAYE HALAFU ANAWAULIZA VIDEO IMEENDA HIYO YA KWANZA HAHAHAH KWELI HUYU BWANA NI MUHARIBIFU WA KODI ZETU


SAMAHANI HII PRESS YAKE YA LEO INATIJA YOYOTE KWETU?\ WANADAR AMA TAIFA KWA UJUMLA AMA ALIKUWA AMEENDA KUONGELEA MAMBO YA SIYOLIHUSU TAIFA WALA HAYAHUSIANI NA KODI ZETU KUPOTEZWA?
KULIPIA AIRTIME===KODI ZETU
MAFUTA=========KODI ZETU
ASKARI WANAOMLINDA =KODI ZETU
MUDA WA KAZI YEYE ANAFANYA MAJUNGU


ANGEENDA KUONGELEA MAMBO YANAYOHUSU MSTAKABALI WA MATAKATAKA YALIYOJAA KILA KONA DAR
ANGEONGELEA MIUNDOMBINU HASA MIFEREJI TUNAIFANYAJE ILI MVUA ZIKINYESHA KUSIFURIKE............
Nimemtoa akili hata zile nilizomwachia abaki nazo.
 
kila kitu kina majibu yake,mmekula hela za dar mpya rudisheni!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom