Katika haya yanayoendelea na kwa kumsikiliza Bwana Makonda ni vema Ruge na Clouds media waseme ukweli..kuna mambo yana ukakasi kidogo, inaweza ikawa kweli Makonda alivamia na inaweza ikawa ni katika kile ambacho Clouds wanakifanya kila siku katika kutaka maslahi...Ruge sema ukweli tupe CCTV yote tuone ukweli...
Nimalizie tu kuwa CLOUDS TUNAOMBA CCTV YOTE NA MAELEZO YALIYOKAMILIKA..Bila hivyo mtakuwa mnatugombanisha hadhira...waiting for next episode
My conc; Tuweke unafiki pembeni kila kitu kiwekwe peupe mimi sina side katika hili natamani kujua ukweli sio rahisi kuamini hivi vitu anavyoongea Makonda na sio rahisi kumuelewa Ruge na Clouds Media...Twendeni sawa tuache matusi.
RC MAKONDA anasema anayajua mabaya mengi ya Ruge je...hakuna cha kuongea hapo as a clouds?