Ruge Mutahaba live Jumatatu tarehe 22.05.2017 CLOUDS 360

Status
Not open for further replies.
Bernard unapenda ligi wewe, labda Gwaji...atajibu
Mkuu wa mkoa wa dsm katoa maneno ya dharau juu ya akili ya Ruge mkurugenzi wa vipindi clouds media kwamba uwezo wake ni kutunga nyimbo na ngonjera hawezi kuongoza dsm.

Mkuu wa mkoa amesahau sifa alizotaja mheshimiwa Rais za kuwa mkuu wa mkoa ni kujua kusoma na kuandika. Sifa hizo ruge anazo sasa kumwambia hana akili ya kuongoza dsm maana yake hajui kusoma na kuandika.

Brother ruge usiwe mnyonge iga mfano wa baba askofu Gwajma tumia media yako mchane hakushindi kwa lolote hata uwezo wake wa kujibu maswali una walakini wakati wewe unajibu kiufasaha. Mbona Sugu uliwahi kumjibu alipo kusema vibaya bungeni, makonda ni nani mpk useme hutaki majibizano??? Atakuzoe huyo mchane kaka sisi tupo nyuma yako. DSM BILA UNAFIKI INAWEZEKANA
 
Licha uongozi wa jamiiforums kuondoa Uzi wa Live Updates za Makonda Kumbe wanachama na Wananchi kwa ujumla wameufuatilia huu mjadala mpaka Mwisho. Na wakiongozwa na wanafiki wa ukawa na vyombo vyao vya habari
 
Ruge asimjibu makonda!
Atakua anajidhalilisha.......kumanage taasisi kubwa kama clouds sio masihara ujue!
Lazima akili iwe unafanya kazi haswa!
 
Unaanzaje kumjibu mtu aliye pata ziro kwenye vimitihani vya kidato cha nne?!!! Chizi akichukua nguo zako wakati unaoga muache akimbie nazo.
 
Mipasho Mipasho Mipasho......
Elimu......Elimu.......Elimu..........
 
Ruge asimjibu makonda!
Atakua anajidhalilisha.......kumanage taasisi kubwa kama clouds sio masihara ujue!
Lazima akili iwe unafanya kazi haswa!
Kusimamia Mkoa je?
 
Ukishamjua mtu usimpe nafasi ya kumwongelea kwani atajifananisha na mtu husika. Ruge usibishane na mtu uwezo wako kimaadili unajulika.
 
Mkuu wa mkoa wa dsm katoa maneno ya dharau juu ya akili ya Ruge mkurugenzi wa vipindi clouds media kwamba uwezo wake ni kutunga nyimbo na ngonjera hawezi kuongoza dsm.

Mkuu wa mkoa amesahau sifa alizotaja mheshimiwa Rais za kuwa mkuu wa mkoa ni kujua kusoma na kuandika. Sifa hizo ruge anazo sasa kumwambia hana akili ya kuongoza dsm maana yake hajui kusoma na kuandika.

Brother ruge usiwe mnyonge iga mfano wa baba askofu Gwajma tumia media yako mchane hakushindi kwa lolote hata uwezo wake wa kujibu maswali una walakini wakati wewe unajibu kiufasaha. Mbona Sugu uliwahi kumjibu alipo kusema vibaya bungeni, makonda ni nani mpk useme hutaki majibizano??? Atakuzoe huyo mchane kaka sisi tupo nyuma yako. DSM BILA UNAFIKI INAWEZEKANA
I think Ruge akianza kumuongelea mtu kama mjua kusoma na kuandika atakuwa anajidharirisha yote haya anayafanya kwa maudhui ya kumchokoza Ruge ili mkurugenzi alijibie afu mjua kusoma na kuandika apewe head lines fent font hapo ni mother kafa tumebaki na mama wa kambo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom