wewe unauhakika gani kama hajatubu chumbani kwake na hizo mali ameamua kugawia masikini?
Niliwapa USHAURI WA KUTUBU MBELE ZA WATANZANIA NA WALA SI MAKANISANI NA MISIKITINI!
Huko kuna WANANCHI WANAOTESEKA KWA UFISADI WAO WA KUIUZA NCHI NA WAWAACHE WAKAE HADI KESI ITAKAPOFIKISHWA BUNGENI NA MAHAKAMANI.
Wawaache wananchi kwani hawajawapa ELIMU BALI NI DINI TU!
Na sasa wanataka kuitumia kwa MANIPULATION PURPOSES KUDAI KUWA ONLY GOD CAN JUDGE THEM FISADIS!
Na hapo tunarudi kwenye historia ya hao wazungu waliowaletea DINI!
Kwamba hata wao waliwahukumu wale waliokuwa wanawatawala ki MABAVU NA KUWANYANYASA NA WAO WAKAPIGANIA UHURU WAO KWA KUTUMIA NENO HILO HILO LA MUNGU...Kuanzia wana wa ISRAELI DHIDI YA FARAO...NA PIA WAYAHUDI HAO HAO DHIDI YA ROMAN EMPIRE,NA WAMAREKANI HAO HAO WAKIONGOZWA NA WASHINGTON NA ABARAHAM LINCOLN WAKIWA NA BIBLIA MIKONONI WALIPIGANIA UHURU NA DAMU ILIMWAGIKA!
Hivyo basi...Tusi MISTRANSLATE KAMA ILIVYOKUWA WAKATI WA UKOLONI AMBAPO WAZUNGU WALIUTUMIA ULE USEMI WA BIBILIA KWAMBA AKUPIGAYE KOFI SHAVU LA KUSHOTO BASI UMPE NA LA KULIA!
WATUMWA NA SISI TULIOKUWA CHINI YA MKOLONI HASA HASA BAADHI YA MABABU ZETU WALIKUWA WAKITUMIKISHWA NA WALIPODAI HAKI ZAO WAKAPIGWA VIBAO NA WAO WAKAGEUZA SHAVU LA PILI KWASABABU BIBLIA INASEMA HIVYO!
Mistranslation of the WORD OF GOD!
THEREFORE MAONI YANGU NA MSIMAMO WANGU NI HUU HAPA......
DINI BILA ELIMU NI "TOTAL MANIPULATION!"