Rostam aibukia kanisani!

Rostam aibukia kanisani!

Sir, Pundit.
Tatizo sio sadaka mkuu ni pale unapotoa sadaka kwa mategemeo nje ya sadaka hiyo!.. Yesu aliwapokea watu waliokuwa mafisadi lakini baada ya kuwaona wanatafuta mwanga!... Yesu asingeweza kupokea fedha za tajiri ambaye anataka Yesu abadilsihe mwelekeo wa mafundisho yake! ati ajaribu kuwaunganisha wasioamini na wanaoamini wawe kitu kanisa moja..
Tena basi anayezungumza ndiye Pilato mwandamizi wa kuvunja imani inayofunsdinshwa!
 
Lowassa amelitumia sana kanisa kujijenga kisiasa mkoani Arusha na nchini kwa ujumla. Kila mara kwenye minuso ya waLutheran inayohitaji michango amekuwa mbelembele, tafuta rekodi utaona.

Kwa hiyo hili nakubaliana kabisa na Mkuu FMES kuwa Lowassa ndiye aliyekuwa nyuma ya huku kujiingiza kwa Rostam kwenye siasa za makanisa. Swali kuu ni kuwa; Nia yao ni ipi katika kufanya hilo? Is it kujiosha, kufunika wanayoendelea kufanya hivi sasa au kuna zaidi ya hayo??
 
Sir, Pundit.
Tatizo sio sadaka mkuu ni pale unapotoa sadaka kwa mategemeo nje ya sadaka hiyo!.. Yesu aliwapokea watu waliokuwa mafisadi lakini baada ya kuwaona wanatafuta mwanga!... Yesu asingeweza kupokea fedha za tajiri ambaye anataka Yesu abadilsihe mwelekeo wa mafundisho yake! ati ajaribu kuwaunganisha wasioamini na wanaoamini wawe kitu kanisa moja..
Tena basi anayezungumza ndiye Pilato mwandamizi wa kuvunja imani inayofunsdinshwa!

Sasa kama mtu hata kutoa sadaka hawezi tunafika mbali, tunajuaje kama Rostam anajisikia guilt na anatafuta uzima wa milele?

Mi nasema tumbane kisheria tu, haya mambo ya witchhunt za makanisani huko hizo rules zenyewe ziko undefined.

Kanisa lenyewe deal tupu siku hizi, halafu nyie mnataka kuwaletea standards ambazo hata Yesu hakuwa nazo. Wao si wanasiasa watakwambia, wanamkubali kila mtu, utasemaje?

Rostam naye atakwambia Tanzania kuna uhuru wa kuabudu, na yeye anapata hela halali na analipa dola milioni mia moja kodi hivyo haoni hatari kutoa sadaka shilingi milioni saba.

Utamwambiaje?

Kama unataka kumbana mbane mtaani, magazetini na mahakamani, siyo kanisani.
 
Wale wana kwaya hawarudishi hizo pesa ng'ooo!!!!!

Sio makanisa tu, taasisi nyingi za kidini zinakula fadhila ya mafisadi!!!!

Muulizeni mtikila anajua tamu ya pesa za mafisadi! jengo lake pale mikocheni B, lilipigwa mnada. Kipindi hicho ndio anapiga kelele MAGABACHO! MAGABACHOLI!!! wahindi wakalinunua lile jengo. haikupita muda tukasikia lile jengo ni la mtikila tena baada ya hapo hatukusikia GABACHOLI wala WALA KACHOLI!!!!.
kUDADADEKI MAFISADI!!!!
 
Magazeti ya kesho yatatuhabarisha zaidi kuhusu huu mkutano wa leo, lakini inasikitisha sana kwamba sasa hawa viongozi wawili Rostam na Lowassa, wamekuwa tu sio mzigo kwetu wananchi na taifa, bali sasa wanageuka kuwa Cancer, wakati umefika as a nation tuanze kujiuliza swali moja gumu nalo ni what to do na hawa watu wawili?

I mean the dataz ni kwamba wameenda kule kanisani kwa Spika, bila ridhaa yake, kwa hiyo ina maana Six naye anaweza kuwa behind huu mkutano wa leo, juzi wabunge wameachiwa kwa sababu ya hilo nalo lilipikwa na huyu huyu mamvi, jambazi la kutupwa Nyari, liliachiwa pia kwa mkono wa huyu huyu Lowassa, kikao cha NEC vurugu kisa huyu huyu mkulu, sasa hili taifa tunaenda wapi na huyu Lowassa?

Something lazima kifanyike and I do not know what it is, lakini haiwezekani hawa watu wawili tu wakatuchezea taifa kiasi hiki, kwenda kutoa hela kanisani sio tatizo, lakini tatizo hapa ni WHY? kanisa la Spika? Kwa nini wasingeenda kwenye makanisa mengine kwa nini kanisa la Spika?
 
Jamani Madhehebu Yetu Mnatupeleka Wapi? Mnapokea Pesa Ambazo Ni Za Wizi Na Mkiwa Mnatambua Hilo Tusubiri Tuone Tunakoelekea,
 
Bwana asema Hakuna mtu ajae kwangu bila ya mimi kumwita Na wala hakuna pepo mbaya awezaye kuomba kwa jina langu yani lake Bwana.
 
Muulizeni mtikila anajua tamu ya pesa za mafisadi!

Mkuu the dataz ni kwamba Mtikila naye alikuwepo kwenye huu mkutano kama mmoja wa viongozi wa dini pia.

Sasa kama mtu hata kutoa sadaka hawezi tunafika mbali, tunajuaje kama Rostam anajisikia guilt na anatafuta uzima wa milele?

Kitendo cha kwenda kutoa sadaka kwenye kanisa la Spika, ni matusi mazito kwetu wananchi na taifa kwa ujumla, the ishu hapa sio Rostam kutoa sadaka kanisani, hapana hiyo ni haki yake kama mwananchi na bin-adam,

Tatizo hapa ni Rostam fisadi, kwenda kutoa sadaka kanisa ambalo spika wetu ni mzee wa kanisa lile, that is the ishu hapa kwa sababu huyu Rostam anatutukana wananchi na taifa zima na huu mchezo wake ambao sasa anaucheza mchana, akishirikiana na Lowassa,

wamenunua Ze-Comedy ili kuiondoa makali, sasa tena wanataka kununua na makanisa tena mchana kweupee namna hii? Hapana sasa wamefika mbali sana!
 
Mkuu the dataz ni kwamba Mtikila naye alikuwepo kwenye huu mkutano kama mmoja wa viongozi wa dini pia.

Kitendo cha kwenda kutoa sadaka kwenye kanisa la Spika, ni matusi mazito kwetu wananchi na taifa kwa ujumla, the ishu hapa sio Rostam kutoa sadaka kanisani, hapana hiyo ni haki yake kama mwananchi na bin-adam,

Tatizo hapa ni Rostam fisadi, kwenda kutoa sadaka kanisa ambalo spika wetu ni mzee wa kanisa lile, that is the ishu hapa kwa sababu huyu Rostam anatutukana wananchi na taifa zima na huu mchezo wake ambao sasa anaucheza mchana, akishirikiana na Lowassa,

wamenunua Ze-Comedy ili kuiondoa makali, sasa tena wanataka kununua na makanisa tena mchana kweupee namna hii? Hapana sasa wamefika mbali sana!
y

Hapa utagundua tatizo ni la watanzania

Inawezekana je haya yote kutendeka bila kumfikisha kwenye vyombo vya sheria??
Yawezekana Taifa hili tumemhasi Mungu ndio maana hata sheria za kaizar zenyewe ni butu.yani hatuwezi hata kumkamata mwivi tukamfikisha kwa pilato sisi tumekalia mayowe tu.
 
Mkuu the dataz ni kwamba Mtikila naye alikuwepo kwenye huu mkutano kama mmoja wa viongozi wa dini pia.

Kitendo cha kwenda kutoa sadaka kwenye kanisa la Spika, ni matusi mazito kwetu wananchi na taifa kwa ujumla, the ishu hapa sio Rostam kutoa sadaka kanisani, hapana hiyo ni haki yake kama mwananchi na bin-adam,

Tatizo hapa ni Rostam fisadi, kwenda kutoa sadaka kanisa ambalo spika wetu ni mzee wa kanisa lile, that is the ishu hapa kwa sababu huyu Rostam anatutukana wananchi na taifa zima na huu mchezo wake ambao sasa anaucheza mchana, akishirikiana na Lowassa,

wamenunua Ze-Comedy ili kuiondoa makali, sasa tena wanataka kununua na makanisa tena mchana kweupee namna hii? Hapana sasa wamefika mbali sana!

This is pure holier than thou attitudes, nani anayetoa sadaka kanisani ambaye ni safi?

Rostam mnaweza kumkamanat kwingine, katika kutoa sadaka ana excuse nzuri tu, the operative word is excuse.
 
Magazeti ya kesho yatatuhabarisha zaidi kuhusu huu mkutano wa leo, lakini inasikitisha sana kwamba sasa hawa viongozi wawili Rostam na Lowassa, wamekuwa tu sio mzigo kwetu wananchi na taifa, bali sasa wanageuka kuwa Cancer, wakati umefika as a nation tuanze kujiuliza swali moja gumu nalo ni what to do na hawa watu wawili?

I mean the dataz ni kwamba wameenda kule kanisani kwa Spika, bila ridhaa yake, kwa hiyo ina maana Six naye anaweza kuwa behind huu mkutano wa leo, juzi wabunge wameachiwa kwa sababu ya hilo nalo lilipikwa na huyu huyu mamvi, jambazi la kutupwa Nyari, liliachiwa pia kwa mkono wa huyu huyu Lowassa, kikao cha NEC vurugu kisa huyu huyu mkulu, sasa hili taifa tunaenda wapi na huyu Lowassa?

Something lazima kifanyike and I do not know what it is, lakini haiwezekani hawa watu wawili tu wakatuchezea taifa kiasi hiki, kwenda kutoa hela kanisani sio tatizo, lakini tatizo hapa ni WHY? kanisa la Spika? Kwa nini wasingeenda kwenye makanisa mengine kwa nini kanisa la Spika?

FMES,
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa hawa wawili wameiingiza nchi kwenye mabalaa mengi yakiongozwa na lile la Richimonduli.

Uzuri mmoja ni kuwa wao wanafikiri kuwa wana akili kuliko waTZ wengine kwa hiyo wanajifanyia tu mambo bila kufikiria, kitu ambacho kinasaidia sana kuwavua nguo zaidi. Nafikiri hii ilitakiwa iwe hongo ya kumuingia Spika, just thinking aloud.

Cha kuwafanya hawa ni kutumia tu rungu la sheria, maana mambo yao yote yana ushahidi wa kutosha. Tatizo ni nani wa kuwapelekesha ikiwa brotherman bado ndio mkuu wa nnji hii??
 
Nafikir biblia iko clear kwamba ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni. ukiangalia hapa, ni kuwa mtu anayezungumziwa ni ambaye aidha amepata utajiri wake kwa njia ya dhuluma au isiyo halali. Pia Mungu hawezi kuhongwa kwa kitu chochote, kama mtu anafikiria basi kwa kutoa pesa au michango mikubwa kanisani basi anaweza akawa anatengeneza mambo yake yawe ok na Mungu basi anajidanganya. Ukweli ni kwamba we are all saved by the Grace and not by what we do!!
 
Kitendo cha kwenda kutoa sadaka kwenye kanisa la Spika, ni matusi mazito kwetu wananchi na taifa kwa ujumla, the ishu hapa sio Rostam kutoa sadaka kanisani, hapana hiyo ni haki yake kama mwananchi na bin-adam,

Tatizo hapa ni Rostam fisadi, kwenda kutoa sadaka kanisa ambalo spika wetu ni mzee wa kanisa lile, that is the ishu hapa kwa sababu huyu Rostam anatutukana wananchi na taifa zima na huu mchezo wake ambao sasa anaucheza mchana, akishirikiana na Lowassa,

Hii inaweza ikawa ilikuwa na nia ya kumlainisha spika au kwa maana nyingine in-directly kumhonga spika.
 
Nafikir biblia iko clear kwamba ni rahisi kwa ngamia kupita katika tundu la sindano kuliko tajiri kuuona ufalme wa mbinguni. ukiangalia hapa, ni kuwa mtu anayezungumziwa ni ambaye aidha amepata utajiri wake kwa njia ya dhuluma au isiyo halali. Pia Mungu hawezi kuhongwa kwa kitu chochote, kama mtu anafikiria basi kwa kutoa pesa au michango mikubwa kanisani basi anaweza akawa anatengeneza mambo yake yawe ok na Mungu basi anajidanganya. Ukweli ni kwamba we are all saved by the Grace and not by what we do!!

Umasikini nadhani unaoongelewa ni wa roho na utajiri wa roho

Mtu anayejisikia ni mkosefu ktk roho yake na kutubu huyo ndio masikini.

Mtu anayetoka kifua mbele kwa kusema tazama mimi sitendi mabaya kama RA,tazama mimi si mrafi kama RA,tazama mimi napata kipato kwa haki na si ka RA mwivi ,tazama nakutolea zaka kihalali huyu anayejinadi kwa staili hii ndiye anayezungumizwa kama tajiri.

Na kuna sehemu inasema kheri aliye masikini wa roho maana ufalme wa mbingu ni wao

Ndio akasema yoyote atakaye jinyenyekeza kama mtoto mdogo huyo ndiye wangu yani mtoto awe ametanda sawa ama lah lakini akitofautiana na mkubwa siku zote mtoto anakosa.
 
1. Rostam kwenda kanisa la Spika kutoa hela kwa kwaya ya kanisa hilo, hiyo ni politics tena chafu sana, ni lazima ikemewe kwa nguvu zote na jamii.

2. Rostam kutoa hela kwa kwaya ya kanisa, now this is God's call kwa sababu hata shetani ana-operate kwa kuruhusiwa na Mungu tu, na shetani hawezi gusa sehemu yoyote bila ya kuruhusiwa na Mungu, lets say Rostam ni agent wa shetani then kuna mawili hapa either ametumwa na shetani kuisadia kwaya ambayo inaweza kuwa inaonekana kuwa ni ya Mungu lakini ni ya shetani, au Mungu ameamua kumtumia shetani kuisadia kwaya yake, kama kweli ni yake,

Tukumbuke kuwa shetani hawezi kutuuibia wananchi bila ya kuruhusiwa na Mungu, na haya hutokea taifa linapokuwa limemuasi Mungu, hapo anaweza kuruhusu kina Rostam kuliibia taifa, na pia kumsukuma apeleke hela zile kanisani, yule bwana aliyemsaidia mwana wa Mungu wakati alipokuwa amekufa, aliyetoa hela za sanda na the rest of mazishi alikuwa ni fisadi aliyetumiwa na Mungu, sasa we should not get excited mpaka kushindwa kuuona ukweli ambao sisi JF tunahitaji ku-deal nao hasa to the next level nao ni kwa nini Rostam amekwenda kutoa hela kanisa la Spika?

Halafu huyu majuzi nilisema kuwa alikwenda kwa mmoja wa wabunge wa kundi la Mwakyembe in private na kujaribu kumlaghai kwa maneno mengi kuwa yuko innocent na Richimonduli, sasa sisi tulisema siku nyingi kuwa hawa mafisadi wameshikwa pabaya, tena sana na hizi ni dalili za wazi kabisa kuwa it is working na tunahitaji kuendelea kusukuma the envelope na mafisadi mpaka kieleweke!

A Luta Continua!

Mkuu ES,
Naomba nikuulize kaswli kadogo tu. Assume wewe ni mwalimu na upo darasani unawafundisha wanafunzi namna ya kusolve swali moja la hesabu, then anatokea mmojawapo wa wanafunzi anasimama na kusema mwalimu unavyofanya sio sahihi? Je utampa nafasi huyo mwanafunzi aonyeshe njia yake ilivyosahihi au utamfukuza darasani?
 
wamenunua Ze-Comedy ili kuiondoa makali, sasa tena wanataka kununua na makanisa tena mchana kweupee namna hii? Hapana sasa wamefika mbali sana!

FMES,
Right on the point. The idea behind all, is to buy every outlet of public opinion.

They started with Rai & Mwananchi, then some MPs, halafu Ze-Comedy and now the Church/ Spika. Soon they will even attempt to take over JF.

Wadanganyika needs to rise and stop these stupid couple before it is too late or too dangerous to do so.
 
Mkuu ES,
Naomba nikuulize kaswli kadogo tu. Assume wewe ni mwalimu na upo darasani unawafundisha wanafunzi namna ya kusolve swali moja la hesabu, then anatokea mmojawapo wa wanafunzi anasimama na kusema mwalimu unavyofanya sio sahihi? Je utampa nafasi huyo mwanafunzi aonyeshe njia yake ilivyosahihi au utamfukuza darasani?

Nyangumi,
What is the point? Can you expand for others to relate to your example?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom