Ridhiwani kaenda Ukerewe?

Ridhiwani kaenda Ukerewe?

duh ndugu kuna kaharufu kama na wewe unataka geuka treasure hunter.Ukitaka jua kuna kitu waangalie wajerumani wanaokuja, wape escort, anyalyse maswali yao, na jinsi gani wana jiweka mbali na historia yao huku wakijifanya kuwa wanataka juwa african something, angalia vitabu wanavyoungua bila kuwashtua,kwani wakiona kuwa ni mjana san anao watakuwa wakificha reference zao wanapopajua, jaribu wauliza kam wana interest ya kuwekeza maeneo fulani ya sehemu walizo too curious.Then ujue kuna sehemu wameficha mzigo.Ila ukiona tofauti ujue kuwa ni historia tuu.Hawa jamaa wana documentation zote kule kwao, ila kwa sasa wanpata shida kidogo wanapojitahidi update info kwa GPS.Kwa vile maeneo mengi wabongo wameyavuruga sana.

Ukienda kichwkichwa utajikuta unafumua mahandaki ya mabomu, waliyoficha wajerumani kabla ya kuchapwa na muingereza.Dogo aombe mUngu asijikute ktk handaki lililotoswa.
Ha ha ha..ni kutaka kujua tu ndugu yangu, halafu kwenye hayo mapango unaweza kukurupushwa na chatu huko, nasikia kuna chatu wakubwa kishenzi huko!.
 
Nilichosikia ama kinachosemwa ni kuwa Riz alienda Ukerewe katika kisiwa Kidogo cha Ukara, huko alikuwa na lengo la kupelekwa katika jengo la Zamani la Mjerumani.

Inadaiwa ili kufanikisha lengo alienda na gear ya kutaka Uganga (kwa mtu huyo) na akaingiza na hiyo ya kutaka apelekwe hapo mahali kwenye hiyo nyumba waliyokuwa wanakaa wajerumani akidai kuna mali nyingi zimefichwa hapo, lakini aliyemtaka kumpeleka alimgomea akidai hajui lolote na kwamba naye ndio kwanza anayasikia toka kwake.

Labda walioko huko watujuze zaidi....

Mwana wa mfalme ni billionea lakini still hana hata mda wa kupumzika anasaka madili ya wizi kweli nakubaliana na DJ CHOKA "PESA HAZITOSHI"
 
Hawa jamaa si walikuwa na mkutano
attachment.php

Aisee nilikuwa mahali wakati wa mchana, nikaona picha hizi, pamoja na seriousness iliyokuwepo ambayo nami ilikuwa lazima kuifuata, nilichek sana. This JF bhana.
 
Ni hii biashara ya key za piano? Ndicho sicho huwa ndicho. Otherwise hii ni zile za Shigongo na mashimo ya mfalme Suleiman.
 
Watanzania wanajua kinachoendelea; usidhani hawajui. Nimedokeza kidogo tu na watu wameanza kufunguka so the bottom line ni kuwa inawezekana kweli kuna hazina ilifichwa wakati wa Mjerumani?
 
Mwanakijiji tiririkaaaaaaaaa mbona unatoa taarifa nusunusu?
 
Watanzania wanajua kinachoendelea; usidhani hawajui. Nimedokeza kidogo tu na watu wameanza kufunguka so the bottom line ni kuwa inawezekana kweli kuna hazina ilifichwa wakati wa Mjerumani?

wajerumani walipata mashinikizo mengi sana, baada ya vita za dunia na wao kupoteza makoloni yao.wameficha documents, na tresures nyingine nyingi tuu ambazo si lazima ziwe vito vya thamani.Waliweka mahandani yenye silaha, waliweka plans zao, na walimap vizuri kiasi cha kuwafanya wajerumani waliopo Ujerumani kuweza track hizo sites.Wenzetu walijuwa kubeba hivyo vitu kwa kipindi kifupi kilichokuwepo haikuwa salama njiani, na isingewasaidia kurudi baadaye, pia hawakuw ana hakika wangefikisha kwako vitu vyote kam serikali yao iliyokuwa chini ya HItler ingeweza vitumia vyema.

Kuna tetesi kuwa wazee waliowasindikiza walipochimba mashimo walifukiwa na kufia hukohuko ili siri zife nao.Wabongo wamekuwa wakiogopa sana hizo sehemu kw akuhusisha na mizimu.Kuna majaribio nchi nzima ya kutumia uganga na mambo mengine kw aiamni kuwa wajerumani walitambika watu iliw alinde hayo maendeo.Hii imechnagia sana mauaji ya wazee na watoto na albino ili kupata chambo ya kutambika.Ukweli ni kwamba wajerumani wali encode traces na instructions zao.Ndio maana wenztu wanatumia muda mrefu kuja huku kujitolea na kuweza test kama wamezielewa na usahihi wake.

Mwana mfalme anaweza umbuka akikuta madini, mabomu , na mengine.Pengine serikali ilipasw alinda hayo maeneo na ili wabongo wasivuruge mpangilio, ili wataalamuw etu wa mambo ya kale na tamaduni za dunia waje decode.Tunaweza pata elimu kubwa sana kwa taifa pamoja utajiri.kama Spain walipokuja juu baad ya mataifa kugundua meli zilizozama na dhahabu ambao wafanyabiashara wa kihispania walipozama nazo.Ingawa debate inaweza kuwepo km kweli wan auhalali au walipora.

Kwa ujinga wa magamba watakwenda haibu vitu bure tu kama kenge aingiapo ktk kiota cha ndege huwa naavuruga kila kitu kabla ya kul amayai na makinda kama yapo.Mbaya wajerumani wanakuja kwa fujo kutufadhili ktk kila nyanja.Haswa maji kwani maji huanzia milimani, penye mapango na mahandaki, na afya ili wafike vijiji vilivyochoka na vyenye historia .

Wasomi wa UDSM wapo busy kufanya tafiti za mamabo yanayorudia kwani hayo ndio wanayoweza jiaminisha hata jinsi ya kuandaa tafiti.hakuna mwenye ni aya ku unlock the mysteries behaind german practices in Tanzania.
 
Mengine sio mapango, mengine ni chamber kama za choo, nyingine ni katik amajengo yao chini ya msingi, mengine ni bondeni ktk shamba panaweka alama umbalia fulani.Kwa ujumla kunahitajika decoding, na kuwasikiliza vyema wazee na historia zao zilizopotoka ila ila uchague zile ambazo hazilet logic.kama kukatazwa, saa za mjerumani kufanya kazi na zakupumzika, mahali walikuwa wanapenda kwend adhibu watu, walipokuwa wakificha uchawi wao(off course panaposemwa kuwa ni uchawi ndipo wabongo walikuwa wanapahofia), etc.

katika hostile lands wajerumani hawakuwa na uwezo wa kwenda mbali na boma zao au makao au ngome yao.Clue inaweza kuwa pale wajerumani wanapotaka wekeza ktk hayo majengo, kw akufungua restaurant, duka hospital, hotel etc .
 
wajerumani walipata mashinikizo mengi sana, baada ya vita za dunia na wao kupoteza makoloni yao.wameficha documents, na tresures nyingine nyingi tuu ambazo si lazima ziwe vito vya thamani.Waliweka mahandani yenye silaha, waliweka plans zao, na walimap vizuri kiasi cha kuwafanya wajerumani waliopo Ujerumani kuweza track hizo sites.Wenzetu walijuwa kubeba hivyo vitu kwa kipindi kifupi kilichokuwepo haikuwa salama njiani, na isingewasaidia kurudi baadaye, pia hawakuw ana hakika wangefikisha kwako vitu vyote kam serikali yao iliyokuwa chini ya HItler ingeweza vitumia vyema.

Kuna tetesi kuwa wazee waliowasindikiza walipochimba mashimo walifukiwa na kufia hukohuko ili siri zife nao.Wabongo wamekuwa wakiogopa sana hizo sehemu kw akuhusisha na mizimu.Kuna majaribio nchi nzima ya kutumia uganga na mambo mengine kw aiamni kuwa wajerumani walitambika watu iliw alinde hayo maendeo.Hii imechnagia sana mauaji ya wazee na watoto na albino ili kupata chambo ya kutambika.Ukweli ni kwamba wajerumani wali encode traces na instructions zao.Ndio maana wenztu wanatumia muda mrefu kuja huku kujitolea na kuweza test kama wamezielewa na usahihi wake.

Mwana mfalme anaweza umbuka akikuta madini, mabomu , na mengine.Pengine serikali ilipasw alinda hayo maeneo na ili wabongo wasivuruge mpangilio, ili wataalamuw etu wa mambo ya kale na tamaduni za dunia waje decode.Tunaweza pata elimu kubwa sana kwa taifa pamoja utajiri.kama Spain walipokuja juu baad ya mataifa kugundua meli zilizozama na dhahabu ambao wafanyabiashara wa kihispania walipozama nazo.Ingawa debate inaweza kuwepo km kweli wan auhalali au walipora.

Kwa ujinga wa magamba watakwenda haibu vitu bure tu kama kenge aingiapo ktk kiota cha ndege huwa naavuruga kila kitu kabla ya kul amayai na makinda kama yapo.Mbaya wajerumani wanakuja kwa fujo kutufadhili ktk kila nyanja.Haswa maji kwani maji huanzia milimani, penye mapango na mahandaki, na afya ili wafike vijiji vilivyochoka na vyenye historia .

Wasomi wa UDSM wapo busy kufanya tafiti za mamabo yanayorudia kwani hayo ndio wanayoweza jiaminisha hata jinsi ya kuandaa tafiti.hakuna mwenye ni aya ku unlock the mysteries behaind german practices in Tanzania.

Nicholas umenifungua macho kwa kweli kwa elimu yako hii. Kwa nini tusiigawe hii elimu kwa watanzania wote ili waelewe kwamba wazungu wanapokuja kwetu siyo kutalii tu, yawezekana kuna mengine wanafuatilia.
Kuhusu Wajerumani, naweza kukubaliana na wewe kuhusu kuficha mali kwani hata kule kwao waliharibu mpaka miundo mbinu yao. Lakini kwa sasa nasikia wajerumani wapo bega kwa bega na CDM. CDM mumewachunguza hawa watu wanatafuta nini Tanzania?
 
kuna mengi sana wenzetu wameyaweka ktk mpango madhubuti.NI wasomi wetu waache mambo ya zima moto na yanayoanzishwa na wageni.kwanini wasijaribu unganisha nguvu na kuanza fuatilia masalia ya ujerumani na mbivu zao za kuficha na kutafuta vitu.

Kuhusu mahusiano CDM si kweli sana kama watuw anavyodhani, wazungu wamewekeza kwa vyama vyote, hadi CUF, ila Performance ya CDM inawafanya wakae mkao wa kujihami ili kama CCM ikitemwa basi wasiwe na kipindi kigumu cha kujenga mahusiano.Wenzetu si akina Membe na JK hawakuwa makini wakati Ghaddafi akiwa madarakani, na hata muda mfupi kabla ya kuanza vuguvugu.Walimuogopa kupindukia na hivyo kutoamini kama kweli ataondoka.sasa hatuna mahusiano mazuri na walibya.Wenzetu wanajua wanatakiwa kuwa na malengo marefu kwa Tanzania, na wanahitajia kuishape nchi yetu kwa nyanja zote ili wapate nafasi ktk mashindano na nchi nyingine kam uchina, nchi za kiarabu, na nyingine za ulaya zinapigana vikumbo kuchukua mali zetu.

NI kwmaba tuu mahusiano na CDM yapo wazi ila CCM wanafaidiaka sana na hizi hel bila kujua kam awatarudishaje au lah.MIradi ya maji, afya, elimu inayoendeshwa nchini ni mikubwa sana, na CCM ndio wanatembea pembeni ili wapate Hizo sifa.NI uazi tuu haupo ktk CCM, kam ailivyokuwa kwa Sabodo hadi alipowaumbua kuwa wao wanapokea zaidi ya mara nyingi sana kuliko CDM.USitegemee Magufuli kuwa mkweli kwa hilo ,wakati akijipendekeza kwa JK, mwenyewe hapo tuu wachina wakistop ujenzi kw akukosa hela za awamu iliyofuyofuatia,bai serikali hukimbia kutafuta pa kulipia, kesho yake magufuli anakuja na gia y akuwaamuru kuwa wasipofanya wanasimamisha na kuwapa wengine,kwa vile anajua hao wakandarasi hawana access ya media kihivyo na hata hivyo watanyama kwa vile wanajua ccm inafight for political survival.Kwao ni uhakika wa ulaji mbeleni wakikausha CCM itafute sifa.
 
Mwanakijiji amepoteza dira kabisa sasa kama amefuata Mkuyati au kumvuta aliye mbali sisi inatuhusu nini?
 
kweli kwenye watu wengi kuna mawazo mengi...inawezekana dogo akawa amefuata hiyo mambo.Hapo issue itageuka kuwa kichekesho tuu.
 
wajerumani walipata mashinikizo mengi sana, baada ya vita za dunia na wao kupoteza makoloni yao.wameficha documents, na tresures nyingine nyingi tuu ambazo si lazima ziwe vito vya thamani.Waliweka mahandani yenye silaha, waliweka plans zao, na walimap vizuri kiasi cha kuwafanya wajerumani waliopo Ujerumani kuweza track hizo sites.Wenzetu walijuwa kubeba hivyo vitu kwa kipindi kifupi kilichokuwepo haikuwa salama njiani, na isingewasaidia kurudi baadaye, pia hawakuw ana hakika wangefikisha kwako vitu vyote kam serikali yao iliyokuwa chini ya HItler ingeweza vitumia vyema.

Kuna tetesi kuwa wazee waliowasindikiza walipochimba mashimo walifukiwa na kufia hukohuko ili siri zife nao.Wabongo wamekuwa wakiogopa sana hizo sehemu kw akuhusisha na mizimu.Kuna majaribio nchi nzima ya kutumia uganga na mambo mengine kw aiamni kuwa wajerumani walitambika watu iliw alinde hayo maendeo.Hii imechnagia sana mauaji ya wazee na watoto na albino ili kupata chambo ya kutambika.Ukweli ni kwamba wajerumani wali encode traces na instructions zao.Ndio maana wenztu wanatumia muda mrefu kuja huku kujitolea na kuweza test kama wamezielewa na usahihi wake.

Mwana mfalme anaweza umbuka akikuta madini, mabomu , na mengine.Pengine serikali ilipasw alinda hayo maeneo na ili wabongo wasivuruge mpangilio, ili wataalamuw etu wa mambo ya kale na tamaduni za dunia waje decode.Tunaweza pata elimu kubwa sana kwa taifa pamoja utajiri.kama Spain walipokuja juu baad ya mataifa kugundua meli zilizozama na dhahabu ambao wafanyabiashara wa kihispania walipozama nazo.Ingawa debate inaweza kuwepo km kweli wan auhalali au walipora.

Kwa ujinga wa magamba watakwenda haibu vitu bure tu kama kenge aingiapo ktk kiota cha ndege huwa naavuruga kila kitu kabla ya kul amayai na makinda kama yapo.Mbaya wajerumani wanakuja kwa fujo kutufadhili ktk kila nyanja.Haswa maji kwani maji huanzia milimani, penye mapango na mahandaki, na afya ili wafike vijiji vilivyochoka na vyenye historia .

Wasomi wa UDSM wapo busy kufanya tafiti za mamabo yanayorudia kwani hayo ndio wanayoweza jiaminisha hata jinsi ya kuandaa tafiti.hakuna mwenye ni aya ku unlock the mysteries behaind german practices in Tanzania.

Kumbukumbu zangu zinaonyesha kua, Hitler aliingia madarakani wakati wajerumani wameshatoka Tanganyika. Kama ni kweli yalifanyika, basi yalifanyika kabla yake.
 
Kumbukumbu zako zitakuwa zinakudanganya sana. Utawala wa Hitler ndo aliopelekea vita kuu ya pili ya dunia ambayo ilimalizaika mwaka 1945 na Ujerumani kupoteza makoloni yake yote ikiwemo Tanganyika ambayo ilikaliwa na Mwingereza.
 
wajerumani walipata mashinikizo mengi sana, baada ya vita za dunia na wao kupoteza makoloni yao.wameficha documents, na tresures nyingine nyingi tuu ambazo si lazima ziwe vito vya thamani.Waliweka mahandani yenye silaha, waliweka plans zao, na walimap vizuri kiasi cha kuwafanya wajerumani waliopo Ujerumani kuweza track hizo sites.Wenzetu walijuwa kubeba hivyo vitu kwa kipindi kifupi kilichokuwepo haikuwa salama njiani, na isingewasaidia kurudi baadaye, pia hawakuw ana hakika wangefikisha kwako vitu vyote kam serikali yao iliyokuwa chini ya HItler ingeweza vitumia vyema.

Kuna tetesi kuwa wazee waliowasindikiza walipochimba mashimo walifukiwa na kufia hukohuko ili siri zife nao.Wabongo wamekuwa wakiogopa sana hizo sehemu kw akuhusisha na mizimu.Kuna majaribio nchi nzima ya kutumia uganga na mambo mengine kw aiamni kuwa wajerumani walitambika watu iliw alinde hayo maendeo.Hii imechnagia sana mauaji ya wazee na watoto na albino ili kupata chambo ya kutambika.Ukweli ni kwamba wajerumani wali encode traces na instructions zao.Ndio maana wenztu wanatumia muda mrefu kuja huku kujitolea na kuweza test kama wamezielewa na usahihi wake.

Mwana mfalme anaweza umbuka akikuta madini, mabomu , na mengine.Pengine serikali ilipasw alinda hayo maeneo na ili wabongo wasivuruge mpangilio, ili wataalamuw etu wa mambo ya kale na tamaduni za dunia waje decode.Tunaweza pata elimu kubwa sana kwa taifa pamoja utajiri.kama Spain walipokuja juu baad ya mataifa kugundua meli zilizozama na dhahabu ambao wafanyabiashara wa kihispania walipozama nazo.Ingawa debate inaweza kuwepo km kweli wan auhalali au walipora.

Kwa ujinga wa magamba watakwenda haibu vitu bure tu kama kenge aingiapo ktk kiota cha ndege huwa naavuruga kila kitu kabla ya kul amayai na makinda kama yapo.Mbaya wajerumani wanakuja kwa fujo kutufadhili ktk kila nyanja.Haswa maji kwani maji huanzia milimani, penye mapango na mahandaki, na afya ili wafike vijiji vilivyochoka na vyenye historia .

Wasomi wa UDSM wapo busy kufanya tafiti za mamabo yanayorudia kwani hayo ndio wanayoweza jiaminisha hata jinsi ya kuandaa tafiti.hakuna mwenye ni aya ku unlock the mysteries behaind german practices in Tanzania.

Kwa kuwa nimesoma historia ya vita mbili maarufu za dunia, nakubaliana kwa kiasi kikubwa na maelezo hayo hapo juu. Baada ya kumalizika vita ya pili ya dunia mnamo mwaka 1918, mkutano mkubwa wa upatanishi ulifanyika kule Versailles Ufaransa. Katika kutafuta chanzo cha vita, ikaonekana Ujerumani walikuwa ni chanzo cha vita. Hata hivyo Wajerumani, kwa wakati huo walikuwa na nguvu na utajiri mkubwa sana, na uwezo wa silaha pia. Sasa basi, ili kuwapunguza nguvu, wakapokonywa makoloni yao Afrika, ambayo yalikuwa chanzo cha nguvu zao za kiuchumi. Wakalazimika pia kulipa faini kubwa ya pauni milioni tano za Uingereza. Makoloni hayo waliyopokonywa ni Tanganyika (German East Afrika Co. - zikiwemo Rwanda na Burundi), Togo na Namibia (kwenye madini mengi). Kwa kuwa Wajerumani hawakuweza kunusa kwamba wangepokonywa makoloni baada ya usuluhishi kule Ufaransa, hawakubeba chochote cha thamani toka kwenye makoloni yao, kwa kujua kwamba wangerudi tena kuendelea na shughuli za maendeleo baada ya vita.
Kwa mantiki hii, uvumi wa kwamba waliacha mali nyingi inawezekana ikawa na ukweli mkubwa kwa kuwa waliwekeza sana katika makoloni yao (ikiwemo reli ya Mwakyembe) na majengo maarufu kama Ikulu. Kwa hiyo inawezekana ni kweli kwamba kuna mahali pamechimbiwa dhababu na vito vingine, na himzi habari zipo almost mikoa yota ya Tanzania. Kule kwa akina Bujibuji na PakaJimmy, Njowepo, masopakyindi wanaamini kwamba yule Mmisionari Lehner amekuja kuchukua utajiri wa mababu zake ulioachwa miaka hiyo. Imani hii ipo mapaka leo.
Nawasilisha
 
Last edited by a moderator:
Nakumbuka Lowassa akiwa PM alikwenda Ukerewe na kuuliza kwanini nyinyi Wakerewe mnazaana sana (Ukerewe is one of the district where fertility rate is very high). Akajibiwa kwamba "KWASABABU YA SUPU YA VICHWA VYA SAMAKI MZEE".

Je hilo ndilo pia amefuata Ridhwani Ukerewe?!

Siyo kuzaa tu, VICHWA kwa maana ya BONGO ni ukerewe tu, wanawake wenye shepu ni ukerewe, majasusi wote nchini ni ukerewe tu. Hawa watu ni hatari hata nami nataka niende huko nkajionee
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Jiendee tu waego, Ridhwani mwaya, achana na maneno ya watu. Riz ni raia huru na Ukerewe ni Tanzania huzuiwi na yeyote

hata kama ni uganga, mbona watu wakienda Bagamoyo au Sumbawanga huwasemi?
 
......Riz mtafutaji bana, kama inavyosemekana yupo chimbo za kule Iramba sijui Sekenke, Ukerewe ni uelekeo uleule inawezekana kabisa alienda kucheki mali, kumbukeni lakini asiyefanya kazi na asile, dogo yuko sahihi.
 
Back
Top Bottom