CAMARADERIE
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 4,419
- 1,929
Asije kuwa kaenda kulichukua hili jiwe....kule Ukara...its a legacy for us
Ana maana yake....huyu jamaa huwa hakurupuki.
Hawa jamaa si walikuwa na mkutano
![]()
Hawa jamaa si walikuwa na mkutano
![]()
Ana maana yake....huyu jamaa huwa hakurupuki.
Poleni sana watanzania wenzangu, mwanakijiji upo sahihi kabisa, mi nilipata habari hizi miezi michache iliyopita nikambishia alieniletea hizi habari.Poor thread from Mzee Mwanakijiji.
Nilichosikia ama kinachosemwa ni kuwa Riz alienda Ukerewe katika kisiwa Kidogo cha Ukara, huko alikuwa na lengo la kupelekwa katika jengo la Zamani la Mjerumani.
Inadaiwa ili kufanikisha lengo alienda na gear ya kutaka Uganga (kwa mtu huyo) na akaingiza na hiyo ya kutaka apelekwe hapo mahali kwenye hiyo nyumba waliyokuwa wanakaa wajerumani akidai kuna mali nyingi zimefichwa hapo, lakini aliyemtaka kumpeleka alimgomea akidai hajui lolote na kwamba naye ndio kwanza anayasikia toka kwake.
Labda walioko huko watujuze zaidi....
Mkuu Mzee Mwanakijiji, hata wewe?!.Nauliza tu maana kama ni kweli kilichompeleka ndicho basi tena...