Ridhiwani kaenda Ukerewe?

Ridhiwani kaenda Ukerewe?

ila wakerewe nao huwa wanadaia kutambulika ktk technologia za Tanga,Sumbawanga, rufiji, Bwagamoyo,pangani.
 
Hawa jamaa si walikuwa na mkutano
attachment.php

Mkuu we paparazzi mkali, umedaka timu nzima hadi Ritz wa jf!
 
uchawi ni laana, tena mbaya sana.wazee wetu kama wasingeangalia vitu kwa jicho la uchawi, wangefanya mangi sana, na kuondoka kwa wajerumani kungewaachia utajiri mkubwa sana.

Nasikitika sana kwa hilo, ni aibu kubwa sana ukienda mikoa ya singida, kigoma, lindi hadi mtwara, kondoa hadi maeneo ya kigoma, vijana wadogo wanashindana uchawi.Bado wasomi wao wanakuja na umbea kuwa wanabaguliwa wakati nguvu kazi haina fikra mbadala, na imeishia ktk uchawi.Wakati watu wanachimba madini kisayansi kw akujua miamba, hawa ndugu zetu wanatambika na kuanza chimba.

Naomba msinione mimi mkabila, ktk kusoma hitoria ya Ukristu ktk Mkoa wa kilimanjaro kupitia wamissionary wa kijerumani.Walikuwata mazingira fulani ambayo yalifanya Ukristu ukue haraka,ingawa walipata shida sana kumfanya mwafrika mkistu kamili kwa muda wote.Bado waafrika walibaki kuwa na dini mbili ya asili na Ukristu na hilo ni wazi hadi leo kwa africa nzima.Ila hilo halikufanikiwa ktk jamii nyingine, kwa vile wachaga walikuwa na tamaduni za mungu moja Iruwa na social structure fulani ambayo ni well organised.

Sasa hawa wenzetu hawakuwa hivyo ndio maana ni wepesi sana kutawalika,ni wepesi sana kukimbizana na vitu visivyo na maana.Inawezekana dogo kwa vile haya anayasikia tuu kwa wato walioishi maeneo ya namna hiyo basi akaamua nunua hiyo habari vyema, au hata kafuata uchawi tuu.habri za watu kukalia mamba kama vitu huko ktk visiwa vya ukerewe inaweza kuwa ni habari nzuri sana kwake.Kw aujumla ni aibu kwa malengo yote.Kwani kama msomi angetakiwa kuja na mitizamo ya kisomi, hata kama shule yake ilikwenda ki prince prince ilimadi alihudhuria.

Watanzania tunapenda uchawi, ni rahisi sana mtu ukamueleza shida yako akarukia hangaika ndugu yangu, mimi sijui nilihangaika unaona mambo yangu?we zubaa tuu, utateseka bila kikomo.Na mara moja akakuunganishia sijui jamaa yake nani huku akimwomba kabisa kuw andugu yake ana shida na anahitaji msaada kama wake.mara nyingine watanzania wanaish na waganga ili wawape huduma hapo kwa hapo na huku akimsaidia kudaka wateja ktk circle ya marafiki au co workers.
 
Maana anayo yeye, hapa siyo jukwaa la Methali ndugu si kila mtu ambaye yupo currently na habari za Tanzania au anajuwa Movement za Ridhiwani. Narudia tena this is poor thread.

Sihitaji mtu mwingine yeyote kufikiri kwa niaba yangu, kama yeye Mwanakijiji anavyotimiza wajibu wake wa kuikosoa na kuishauri Serikali na mimi hapa namkosoa kwamba hii thread hakuna la kuchangia unless wewe unajuwa kila step ya Ridhiwani.
nakuunga mkono, mbaya zaidi mtu anayejadiliwa ni mbwiga tu, tutamfilisi kila alichoiba wakati ukifika.
 
Wacheni mambo ya udaku. Hii ni mambo ya mujinga tu.....Kama ya minister wenyu Mulugo

Mambo ya udaku waachie Watanzania. Hutaweza.

BTW huwa hamleti tourists Ukerewe?

Si umeona picha nilizoweka hapo juu.

Loadz of tourist attractions there.
 
Idimi nakubaliana na wewe hawa wazungu wakati wanaondoka kuna mahara walificha vitu vya dhamani no wonder Riz kapata mchongo
Ukitaka hakiki ilo ukifuatilia kila mahara kwenye tetesi ya vitu vya dhamani ardhini kuna either kanisa au jengo mahara apo mfano Just near the Iron ore mines kule Liganga kuna kanisa,Makete wana ile hospital ni ya hali ya juu na ukarabati kila leo
 
Idimi nakubaliana na wewe hawa wazungu wakati wanaondoka kuna mahara walificha vitu vya dhamani no wonder Riz kapata mchongo
Ukitaka hakiki ilo ukifuatilia kila mahara kwenye tetesi ya vitu vya dhamani ardhini kuna either kanisa au jengo mahara apo mfano Just near the Iron ore mines kule Liganga kuna kanisa,Makete wana ile hospital ni ya hali ya juu na ukarabati kila leo

dogo alikurupuka, kwani hizo habari mbona zipo kila siku.Alipaswa fanya tafiti n akujihakikihsia nakujua ni madini ya aina gani.Sasa kama alipew amchongo basi asingekwenda tena ulizia.hao waliompa mchongo wangeandaa kila kitu akifika ni kukagua tuu.
 
Ukitaka kujua stori za namna hii mtafute jamaa mmoja Mchungaji Mwasumbi alikuwa Tunduma zamani au Mzee Mwaisaka alikuwa RAS Ruvuma hawa watakupa data za uhakika na za kutosha
 
Kintiku Mwaisaka yupi maana wako wengi wenye majina hayo ila uyu RAS first name yake pls
 
Nilichosikia ama kinachosemwa ni kuwa Riz alienda Ukerewe katika kisiwa Kidogo cha Ukara, huko alikuwa na lengo la kupelekwa katika jengo la Zamani la Mjerumani.

Inadaiwa ili kufanikisha lengo alienda na gear ya kutaka Uganga (kwa mtu huyo) na akaingiza na hiyo ya kutaka apelekwe hapo mahali kwenye hiyo nyumba waliyokuwa wanakaa wajerumani akidai kuna mali nyingi zimefichwa hapo, lakini aliyemtaka kumpeleka alimgomea akidai hajui lolote na kwamba naye ndio kwanza anayasikia toka kwake.

Labda walioko huko watujuze zaidi....

Kumbe kuna utajiri umechimbiwa sehemu, watu akiingia serikali wanachukua nyeti na kwenda kuufukua!!!!
hii sasa ni lala salama, ubaya ni kwamba hakuna siri tena
 
Nicholous umenikumbusha kitu kuna bwawa Kule Rungwe wanaliita Kesiba nasikia Mgerumani aliziki vitu vyake mle na wananchi wanapigwa bit eti kuna mizimu
shenzi kumbe kuna vitu vya maana ngoja siku nitajitoa mhanga nidive na kuona ivyo vitu maana siku izi watu wanavua na kuoga unlike zamani
 
Duu, hii nilikuwa sijaiona maana akina Rejao na genge lake wametulia wakishangilia Bunduki za Kinana zikitangazwa kabla ya kwenda Mikumi kufanya kazi ya kupunguza tembo duniani.
Hawa jamaa si walikuwa na mkutano
attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Iliulizwa kama Ridhiwani alienda UKEREWE; lakini iliishia hewani na haikujibiwa kama kweli alienda na alienda kufanya nini
 
mwanakijiji! unakoelekea siko.tafadhali rudi kwa huku!

wewe mimacho kwani lazima ku comment kila siku hata kama hujui? au ndio unajazia siku ili ukienda lumumba nawe uonekane ulitetea chama??
 
Hii habari iliandikwa na Absalomu Kibanda
Hivi kuna mwandishi mwingine atakayethubutu kutia pua yake kule?
Kama yupo anyoshe mkono


Hofu ya Al Qaeda Ukerewe

*Wananchi wakihusisha chuo na ugaidi
*Mbunge ataharuki, aandaa hoja binafsi
*Mkuu wa Mkoa, DC wakwepa kunena


HOFU ya kuwapo kwa magaidi wa mtandao wa Al- Qaeda, imetanda katika Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, baada ya kuvuja kwa taarifa za kuanzishwa kwa chuo kimoja cha kidini kinachohofiwa kutoa mafunzo yenye mwelekeo wa kigaidi visiwani humo.

Taarifa hizo zimeeleza kuwa chuo hicho kinajulikana kwa jina la Markaz, Aljazeera na kimeanzishwa kwa ufadhili wa raia wa kigeni ambao ni waumini wa dini ya Kiislamu.


Mbunge huyo alisema hofu zaidi kuhusu chuo hicho ni kuwapo kwa taarifa zinazodai kwamba, baadhi ya wanachuo ambao wamewahi kupata mafunzo chuoni wanatajwa kuwa wanachama wa makundi ya kigaidi ya Al Qaeda na Al-Shabab.

“Ni kweli tuna wasiwasi na hatuoni kazi ya umma kinachojihusisha nacho. Niliwahi kumuuliza Diwani wa Kata ya Nansio, Sheikh Ramadhani Mazige (CCM) kuhusu uhalali wa kuwapo kwa chuo hicho kwa sababu alikuwa akisimamia ujenzi wake na nikashauri juu ya umuhimu wa kubadili aina ya mafunzo yanayofundishwa chuoni hapo na jibu lake lilikuwa wenye chuo hawataki.

 
huyu mtoto anatamaa sana, katika biashara ya unga yumo, madini yumo, albino yumo, mpaka kwa waganga kuroga yumo, ni malezi ya baba yake, ole magamba wang'oke, wote jela.
 
Back
Top Bottom