Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 53,246
- 50,468
Kwani kwenda huko ni vibaya?
Nauliza tu maana kama ni kweli kilichompeleka ndicho basi tena........
JF ni kiboko!!Hawa jamaa si walikuwa na mkutano
Nilichosikia ama kinachosemwa ni kuwa Riz alienda Ukerewe katika kisiwa Kidogo cha Ukara, huko alikuwa na lengo la kupelekwa katika jengo la Zamani la Mjerumani.
Inadaiwa ili kufanikisha lengo alienda na gear ya kutaka Uganga (kwa mtu huyo) na akaingiza na hiyo ya kutaka apelekwe hapo mahali kwenye hiyo nyumba waliyokuwa wanakaa wajerumani akidai kuna mali nyingi zimefichwa hapo, lakini aliyemtaka kumpeleka alimgomea akidai hajui lolote na kwamba naye ndio kwanza anayasikia toka kwake. Labda walioko huko watujuze zaidi....
Nilichosikia ama kinachosemwa ni kuwa Riz alienda Ukerewe katika kisiwa Kidogo cha Ukara, huko alikuwa na lengo la kupelekwa katika jengo la Zamani la Mjerumani.
Inadaiwa ili kufanikisha lengo alienda na gear ya kutaka Uganga (kwa mtu huyo) na akaingiza na hiyo ya kutaka apelekwe hapo mahali kwenye hiyo nyumba waliyokuwa wanakaa wajerumani akidai kuna mali nyingi zimefichwa hapo, lakini aliyemtaka kumpeleka alimgomea akidai hajui lolote na kwamba naye ndio kwanza anayasikia toka kwake.
Labda walioko huko watujuze zaidi....

Tena Ridhiwani mwenyewe ni kiongozi wa kitaifa wa CCM( MNEC). Au Ukerewe sio Tanzania?Kwani kuna tatizo lolote Ridhiwani kwenda ukerewe? Wewe mbona upo Marekani.
oohooo.. nadhani hauko mbali sana na ukweli.. thanks.....