taffu69
JF-Expert Member
- Feb 26, 2007
- 2,094
- 541
Hii habari iliandikwa na Absalomu Kibanda
Hivi kuna mwandishi mwingine atakayethubutu kutia pua yake kule?
Kama yupo anyoshe mkono
Napita tu,
Hii habari iliandikwa na Absalomu Kibanda
Hivi kuna mwandishi mwingine atakayethubutu kutia pua yake kule?
Kama yupo anyoshe mkono
Mkuu EMT,unatufahamisha kuwa wewe ndio G Sengo?Nishafika huko na ushuhuda wangu huu hapa. lol.
![]()
Mkuu unapoambiwa kuwa hii nchi ni tajiri usidharau.
Tembelea nchi uuone utajiri wake.
![]()
Hapa ni pembezoni mwa himaya ya makumbusho ya watemi wa Ukerewe. Eneo zima halina mlinzi yoyote.
Wako katika taifa lenye "rasilimali za kumwagiruru mpaka kusaza".
Kama mizimu inaongoza bagamoyo yote wangekuwa wasomi na matajiri lakini ndio masikini wakubwa tz