ukhuty
JF-Expert Member
- Oct 9, 2016
- 16,851
- 41,924
Nafata calendar ya saudia kwa vile jn mekamilisha 30shaabanMwezi umeuonea wapi Ukhuty?
Nafata calendar ya saudia kwa vile jn mekamilisha 30shaabanMwezi umeuonea wapi Ukhuty?
basi sawa sie naona tutaanza keshoSaudia imetangaza halafu jan mim nilikamilisha shaaban30hivi leo ni ramadhan moj nyie si bado viongozi wenu wa bakwata hawajamitangazia so mnasubir muambiwe
Ramadhani sio ibada ya mtu mmoja ukhuty. Wewe uone mwezi wako halafu ufunge tofauti na wengine! HapanaSaudia imetangaza halafu jan mim nilikamilisha shaaban30hivi leo ni ramadhan moj nyie si bado viongozi wenu wa bakwata hawajamitangazia so mnasubir muambiwe
Kalenda tena! Kwani siku hizi hakuna cha kusubiri kuangali mwezi ukhuty ? Itabidi upate darsa duaraNafata calendar ya saudia kwa vile jn mekamilisha 30shaaban
Mie nina mwezi wangu sesten 😂😂😂Ramadhani sio ibada ya mtu mmoja ukhuty. Wewe uone mwezi wako halafu ufunge tofauti na wengine! Hapana
Unakosea banaMie nina mwezi wangu sesten 😂😂😂
Lkn mbon ni mara nyingi huwa tunakinzana kweny kufunga na kufungua pia kuna watu jana wamekamilisha 30shaaban kuna watu wanakamilisha leo 30inakuwaje sasa hapaKalenda tena! Kwani siku hizi hakuna cha kusubiri kuangali mwezi ukhuty ? Itabidi upate darsa duara
Usicheke sesten ina maana waislam wote duniani wanaanza kufunga kesho?Kabisa yaan yaani nipo dunia ya peke yangu mie sun hivyoo
Jielimishe zaidi kuhusu masuala ya mwezi. Sikiliza kwa umakini hoja za pande mbili zinazohitilafiana kuhusu muandamo wa mwezi utaelewa wapi wako sahihiLkn mbon ni mara nyingi huwa tunakinzana kweny kufunga na kufungua pia kuna watu jana wamekamilisha 30shaaban kuna watu wanakamilisha leo 30inakuwaje sasa hapa
Basi kama wwe itakuwa na ufahamu wa lolote kuhus hiyo basi ni vyema ukatupa maelimu kwa ushahid lkn wa hadith na aya lkn sio maneno matupuJielimishe zaidi kuhusu mauala ya mwezi. Sikiliza kwa umakunu hoja za pande mbili zinazohitilafiana kuhusu muandamo wa mwezi utaelewa wapi wako sahihi
Amiin Insha Allah.basi sawa sie naona tutaanza kesho
Allah atukabari wote
Ooooh! Nimekuelewa sasa ukhuty. Wewe utakua nje ya TanzaniaUsicheke sesten ina maana waislam wote duniani wanaanza kufunga kesho?
Inshallahbasi sawa sie naona tutaanza kesho
Allah atukabari wote
😘😘😘Insha Allah.
Hii khabar kubwa, shurti ukae kwenye darsaBasi kama wwe itakuwa na ufahamu wa lolote kuhus hiyo basi ni vyema ukatupa maelimu kwa ushahid lkn wa hadith na aya lkn sio maneno matupu
Mwezi wote huu tuutumie kwa uzuri wajemeni uzur huo ni katk kujifunza piaHii khabar kubwa, shurti ukae kwenye darsa