Ramadhan Kimbeiye
Senior Member
- Aug 28, 2013
- 114
- 50
...jina langu la kwanza linajitosheleza!
ASANTE MKUUWe umefanya nicheke zaid,karibu futru
...jina langu la kwanza linajitosheleza!
Upuuzi kwani ni tusi?Leo umeshinda njaa mkuu,hili jibu umetoa kabla ya kufuturukufuturu
Upuuzi kwani ni tusi?
MAANA YAKE.*
ALLAH MTUKUFU: TWAKUAOMBA UZIKUBALI FUNGA ZETU NA QIYAMU ZETU, PIA NA BAKI YA IBADA ZETU.*
Swali la kwanza: Unajihisi vipi leo ukiwa umefanikiwa kutimiza ndoto yako ya "Pazia la Taaluma" ndani ya nchi za Kiislamu? Akajibu:
Akamuuliza: Unakusudia nini unaposema umetumia muda mwingi? Akasema: Tumetumia miaka mingi hadi tukaweza kujiingiza katika nchi za magharibi, kisha katika nchi za Kiarabu,na tulikuwa tukijua kuwa mpango wetu utakuwa na mafanikio makubwa katika maendeleo ya Dola la Israel.
Akamuuliza: Kwa nini mulikua na uhakika wa kufanikisha fikra hii? Akasema: Kwa sababu tunajua Waislamu wa leo wako mbali na Dini yao, na wakati huo huo vijana wa Kiislamu wameanza kushikamana na Uislamu, na kama hali itaendelea hivyo,wataimaliza dola yetu.
Akamuuliza: Kwa nini mkasisitiza "Pazia la taaluma" ndiyo njia ya kuwafika Waislamu? Akasema: Kwa sababu tunataka wawe mbali na Dini yao.
Akamuuliza: Muna mipango gani ya kuuhujumu Uislamu baada ya "Pazia la taaluma"? Akasema kwa ushindani na ubaya, tunapanga kuwapiga vita (vya kifikra) wanawake wa Kiislamu!!
Kwa nini wanawake wa Kiislamu siyo wanaume? Akajibu: Kwa sababu tunajua mwanamke akipotoka,umma mzima utapotoka nyuma yake.
Akamuuliza tena: Unaelezaje vita yenu dhidi ya mwanamke wa Kiislamu? Akasema: Sisi tunakazania kumpiga vita Muislamu mwanamke na kumharibu kiakili, kifikra na kimwili kuliko kutengeneza vifaru na ndege za kivita!! Na tunasaidiwa sana na wao ktk kujishughulisha kwao na vifaa kama Blackberry na mambo mengine kama hayo na hiyo ni sehemu ya mpango wetu.
Akaulizwa: Je, munao mkono katika mpango wa taaluma ambao unatekelezwa sasa Lebanon? Akajibu: Hakika, sisi tunawachangia kila siku pesa nyingi na uko chini ya usimamizi wetu endelevu!!
TUAMRISHANE
MEMA
Hivi nduguzo ni Waislam tu?Asalaam Aleykum ndugu zangu wote katika imani,
Kuelekea mfungo mtukufu wa mwezi wa Ramadhan, waislamu wote nawaomba tukutane humu ili tuelimishane mawili matatu kuhusu mwezi huu.
Lengo kuu ni kuweza kufahamu yale yote aliyotufunza kipenzi chetu mtume Muhammad S.A.W kuhusu mwezi huu.
Vitu gani tukifanya vitaharibu swaumu zetu, vitu gani tukifanya vitaongeza thawabu zinazopatikana katika kufunga, ipi hukumu kwa wale wasiofunga na yapi malipo anayopewa mja ambaye anafunga swaumu kikamilifu
Pia tuweze kujifunza neema zinazopatikana kwenye usiku wa lailatul qadr, usiku ambao umebarikiwa kuliko siku elfu moja.
Kwa haya machache napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa muumba wa mbingu na ardhi ambaye si mwingine bali ni Allah S.W. na kipenzi chake, Mtume Muhammad S.A.W.
Karibuni.
Wewe ni nafuu kuliko wale wabwabwajaji koko![]()
![]()
![]()
![]()
muumini wa kweli hufanya ibada bila kumbugudhi mtu wala kujionesha onesha hovyo kama ni mcha Mungu .
Hiyo ndo tabia yangu ukiniona utadhani ni mtu nisiyejua chochote kuhusu dini.
Ukiacha kula daku ndio utakuwa umefunga mfungo wa kweliAssalam aleykm warahmatullah wabatakatul! Naomba kujuzwa juu ya ulaj/ kutokula daku.Je nikiacha kula daku funga yangu itaswih?
Dini sio maoni ya mtu, wala logic, au nadhani, nafikiri ....la hasha dini inaongozwa na taratibu za mafundisho yaliyopo kwenye vitabu. Kitabu cha Allah na sunna yaani hadith....Suala la kula daku ni sunna na kuna fadhla kubwa sana kwa mtu kulala kisha kuamka na kula daku lake. Na wala si kama unavyodhani au unavyofikiri kuwa kula daku ni kubadili masaa ya kula. Jambo lingine nikuonezee ni kwamba funga sio kuacha kula na kunywa tu Bali ni kuacha au kujizuia kula kunywa na matamanio ya halali tangu kuchomoza kwa jua mpaka kuchwa kwake. Ndani ya usiku Yale yote ya mchana ya halali unaweza kuyafanya. Hivyo basi umempotosha muulizaji juu ya suala alilouliza. Na tusijibu vitu tusivyokua na ilmu navyo. Wallahu aalamUkiacha kula daku ndio utakuwa umefunga mfungo wa kweli
Ukiamka kula daku utakuwa umebadilisha masaa ya kula tu na sio kufunga huko.
Pia jitahid ufunge ule mfungo sita (6) na usijikweze kuwa umefunga na wala usijioneshe kuwa mnyonge mnyonge na kusema eti "swaumu kali" ili tu watu wajue kuwa umefunga.
Funga kimya kimya ukimwomba Mungu wako huku ukijiepusha na madhambi ya dunia hii.
Na huo ndio mfungo wa kweli....zingine mbwembwe.
Msijibu wewe na nani?Dini sio maoni ya mtu, wala logic, au nadhani, nafikiri ....la hasha dini inaongozwa na taratibu za mafundisho yaliyopo kwenye vitabu. Kitabu cha Allah na sunna yaani hadith....Suala la kula daku ni sunna na kuna fadhla kubwa sana kwa mtu kulala kisha kuamka na kula daku lake. Na wala si kama unavyodhani au unavyofikiri kuwa kula daku ni kubadili masaa ya kula. Jambo lingine nikuonezee ni kwamba funga sio kuacha kula na kunywa tu Bali ni kuacha au kujizuia kula kunywa na matamanio ya halali tangu kuchomoza kwa jua mpaka kuchwa kwake. Ndani ya usiku Yale yote ya mchana ya halali unaweza kuyafanya. Hivyo basi umempotosha muulizaji juu ya suala alilouliza. Na tusijibu vitu tusivyokua na ilmu navyo. Wallahu aalam
Swadakta mkuu tuchunge funga zetu kwa kuepuka kula vya haramu, riba, kamari ni mfano tu wa vingi vya haramu alivyotukataza Mungu sasa dunia inatulazimisha tuvione vya kawaidaHabari ndugu zangu tunakumbushana ukiwa unafunga epuka kumsema mtu yeyote kwa jambo ambalo mwenyew akilisikia litamkera, epuka kusema uongo, kutazama wanawake wanaopita inamisha macho yako baada ya mtazamo wa kwanza, husivae nguo ambayo ulinunua kwa pesa haramu yan pesa hiyo kama ulidhulmu au uliiba au ulipata kwa njia ambayo sio halali utakuwa huna funga, husile vitu ambavyo vimepatikana kwa njia ya haramu yan futari yake isiwe imepatikana kwa njia ambayo sio halali, kama kwa pesa ya kuuza pombe,guest,hotel au hata kupatikana kwa kuuza nguo za kike za uchi kwa wenye maduka......
Ndugu waislam binadamu tunapaswa kuish kwa njia ya haki kila pumz yetu.
Tumia muda wako mwingi kusoma Quran ikiwa ujui waweza mtaja mwenyezi mungu kwa wingi utapata dhawabu pia.......
Tumia ramadan hii kufanya toba na kujutia uloyatenda.....