Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 12,789
- 24,964
🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻Naam ndugu zangu katika imani tunaendelea kukumbushana juu ya dini yetu maridhawa ya Uislamu
Tumesoma au kukumbushana nguzo za Uislamu, tumesoma maana ya Shahada, Swala na Zaka
Endelea kunifuatilia ili tuzidi kukumbushana na kujifunza zaidi
Elimu kwa Muislamu ni jambo la kuazimia kulifanya