Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

View: https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg

#Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya kusema kuwa;

".....wameshindikana kwao, wameharibu amani ya nchi yao na hivyo wasije huku Tanzania kutuvuruga na kuvuruga amani yetu..." Rais Samia Suluhu Hassan

#Lakini Rais William Ruto akiwa so calm, carefully and diplomatically ktk matamshi yake anajibu kusema"

"...Taifa letu la Kenya ni taifa zuri sana, taifa la ajabu, taifa kuu hapa duniani. Hebu asitokee yeyote kuwaambia juu ya mambo hasi (negative things) kuhusu ninyi na taifa/nchi yenu..."; Rais William Ruto​

Kwangu mimi tofauti ya wananchi wa Kenya na Tanzania ni kujielewa na kufanya maamuzi,hii ndio tofauti kubwa sana ya mataifa haya.
 
Tulisema hapa JF, ile kauli ya Samia haikuwa kauli sahihi kuhusu wakenya, kidiplomasia ilikuwa ni kauli ya kulishambulia taifa nzima la Kenya. Hakupaswa kufanya vile. Mama yetu aliteleza.
Na uzuri amevuna alichopanda kwa mitusi ile sijui kama atakuja kuwachokoza tena manyang'au wale wamepinda kweli kweli.
 
Hiyo alikuwa hamjibu Samia bhana. Watu wanaokoteza okoteza tu vitu .
Inaonyesha huelewi.
Hata kama hiyo taarifa ya Ruto isingekuwa ni jibu la moja kwa moja kwa kauli ya CHURA KIZIWI; huoni kuwa ni jibu sahihi kabisa.
Unategemea Ruto awe na maneno yaliyo kinyume na hayo aliyosema mwanzo yakimjibu Chura Kiziwi?
 
Ruto angemuoa tu ili awe anamzaba vibao ili awaheshinu wakenya
 
Huyu Mama.alikosea sana kusema vile. Sijui kwanini anashindwa kuchagua maneno ya kutamka hadharani hata kama ni ya kuandikiwa kwenye hotuba.

Binafsi yale matamshi yalinishangaza sana
 
Baki kwenye point yangu. Kauli inayosemwa ni ya December haina uhusiano na matukio ya juzi. Hakuna sehemu nimesema amefurahia. Lazima atakuja kujibu maana akikaa kimya atawapa sababu Gen Z
Sawa, nabaki kwenye pointi yako.
Sasa nieleze, ni kipi ambacho Ruto atabadili katika hayo aliyo sema Decemba, ambayo yangeendana na kumjibu Samia.
Ruto atasema anakubaliana na aliyo sema Samia kuhusu kuharibika kwa Kenya?
 
Tulisema hapa JF, ile kauli ya Samia haikuwa kauli sahihi kuhusu wakenya, kidiplomasia ilikuwa ni kauli ya kulishambulia taifa nzima la Kenya. Hakupaswa kufanya vile. Mama yetu aliteleza.
huyo ni mama yako mwenyewe sio wote.
 
Sawa, nabaki kwenye pointi yako.
Sasa nieleze, ni kipi ambacho Ruto atabadili katika hayo aliyo sema Decemba, ambayo yangeendana na kumjibu Samia.
Ruto atasema anakubaliana na aliyo sema Samia kuhusu kuharibika kwa Kenya?
No president would be happy to be disrespected. We don’t know what he’ll say, but it’s not right to use old statements and pretend they are new. I was correcting the person who said that quote was a response to the recent event.

I trust my point has found its place, but should doubt linger, you're welcome to ask with grace.
 
Kiroho kimekuuma ona unavyokosea hata kuandika.😸
ni vizuri wakenya wakajikita na kujishughulisha na kilimo msimu unaelekea kwisha, watakosa chakula tena kwasabb ya uvivu na kushupalia vitu nonsense, halafu tena waanze kuandamana na masufuria kichwani kuomba unga ikulu ya kenya 🐒
 
I've no further questions on this. But I believe there's more to follow.
Further developments are expected, as continued silence from those nations could be interpreted as implicit endorsement of the remarks. Such a perception may have negative implications for their domestic constituencies. To preserve diplomatic standing and national dignity, they will likely issue a formal response.
 
View: https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg

View: https://youtu.be/LI58lCwODxQ?si=3O5x8UYnDDmWtSL7

#Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya kusema kuwa;

".....wameshindikana kwao, wameharibu amani ya nchi yao na hivyo wasije huku Tanzania kutuvuruga na kuvuruga amani yetu..." Rais Samia Suluhu Hassan

#Lakini Rais William Ruto akiwa so calm, carefully and diplomatically ktk matamshi yake anajibu kusema"

"...Taifa letu la Kenya ni taifa zuri sana, taifa la ajabu, taifa kuu hapa duniani. Hebu asitokee yeyote kuwaambia juu ya mambo hasi (negative things) kuhusu ninyi na taifa/nchi yenu..."; Rais William Ruto​

Imekaa vizuri; acha wapige spana huyu kenge jike muuaji.
 
1000_F_62186259_DrgdRY8ytrYau1mdO2OKYTaWHIqo8q9C.jpg

Asanteni Wakenya Mungu ibariki Afrika.

#FREE TUNDU LISSU ✌️
 
Kwa hiyo tusemeje, kwamba Ruto ameifurahia kauli ya Samia?

Sasa vuta subira, maana huyo Ruto naye kichwani hazimtoshi. Siku siyo nyingi utasikia akibwartuka; hata zaidi ya huyo Chura Kiziwi.
Mleta mada ametumia video ya zamani kupotosha watu.Kama Ruto amekasirishwa na matamshi ya Samia tunatakiwa kusubiri kauli yake na sio kutumia video za zamani kupotosha jamii.
Acheni UPUMBAVU wa kuleta na kutetea mambo ya uongo hapa jf.
 
Ningekujibu kwa staha katika hayo uliyo andika huko juu, na ungeelewa vizuri.
Sasa kwa kuwa umekuwa CHIZI kwa kuweka huo mstari wa mwisho, nakufahamisha kuwa achana na bangi nyingi zinazokuharibu kichwa chako.
Sasa subiri atakayosema Ruto, kwa sababu huyo chura kiziwi wenu hajui kupima uzito wa maneno anayoropoka.

Na kwa kuwa bangi zimekujaa kichwani, kiasi kwamba huwezi kutambua kuwa "uongo" hauishii humu JF. Huyo Chura kiziwi mwenyewe ndiye kibaba kizito cha uongo; au hujui?
 
Back
Top Bottom