Rais William Ruto (Kenya) Amjibu Rais Samia Suluhu Hassan (Tanzania) baada ya kutoa kauli ya kuwabagaza na kuwadharau Wakenya..

View: https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg

#Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya kusema kuwa;

".....wameshindikana kwao, wameharibu amani ya nchi yao na hivyo wasije huku Tanzania kutuvuruga na kuvuruga amani yetu..." Rais Samia Suluhu Hassan

#Lakini Rais William Ruto akiwa so calm, carefully and diplomatically ktk matamshi yake anajibu kusema"

"...Taifa letu la Kenya ni taifa zuri sana, taifa la ajabu, taifa kuu hapa duniani. Hebu asitokee yeyote kuwaambia juu ya mambo hasi (negative things) kuhusu ninyi na taifa/nchi yenu..."; Rais William Ruto​

Tumeyakanyaga
 
Tulisema hapa JF, ile kauli ya Samia haikuwa kauli sahihi kuhusu wakenya, kidiplomasia ilikuwa ni kauli ya kulishambulia taifa nzima la Kenya. Hakupaswa kufanya vile. Mama yetu aliteleza.
"Rais huwa hakosei"
- SSH, 2021
 
Mbona Ruto huwa sioni jina lake likianza na Dr.
Cheo cha kisiasa ni kikubwa kuliko cha kitaaluma, kwa sasa, yeye ni Rais wa Jamhuri ya Kenya, na cheo cha Rais huwa kinatangulia na kuondoa haja ya kutumia cheo cha Dr.

Kwa mfano, watu humuita Rais Ruto au Mhe. Rais badala ya Dkt. Ruto.
Pia wasomi sio malimbukeni wa sifa za kielimu, ukiona kamtu kana u dr wa heshima halafu anabadili kabisa jina linaanza na ka udr ka heshima, ni limbukeni.
 
Kwani wangewaacha waudhurie mahakamani na kuondoka kwani kungetokea madhara yeyote?
Hakuna kibaya kingetokea...

Inasemekana walikuwa wakila kisago huku wakilazimishwa kuimba wimbo wa "Mama Samia Suluhu Hassan mzuri, Mama Samia Suluhu Hassan mzuri🫣🫣🫣..."

Ikanikumbusha miaka ile ya Benjamin Mkapa na enzi za bendi ya muziki maarufu ya Twanga Pepeta na kaulimbiu yake ya "mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe" ambapo baadae kulizuka ujambazi wa utekaji magari mkubwa sana hususani mabasi ya abiria...

Jamaa (majambazi) ilikuwa yakiteka bus, yanawashusha abiria na kuwanyang'anya kila kitu wakati mwingine kuwavua nguo na kisha kuwapanga kwa mtindo wa waimba kwaya na kuwalazimisha kuimba wimbo wa "Mtaji wa masikini ni nguvu zake mwenyewe🤔"

That was very terrifying scenario
 
View: https://youtu.be/tarwA0cZbcI?si=Wizm2OyFYriZzJzg

#Kwa wachunguzi wa mambo, wanaona moja kwa moja kuwa kauli hiI ya Rais Ruto imemlenga kumjibu Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania baada ya kauli yake ya wiki hii iliyoonekana kuwalenga wakenya kusema kuwa;

".....wameshindikana kwao, wameharibu amani ya nchi yao na hivyo wasije huku Tanzania kutuvuruga na kuvuruga amani yetu..." Rais Samia Suluhu Hassan

#Lakini Rais William Ruto akiwa so calm, carefully and diplomatically ktk matamshi yake anajibu kusema"

"...Taifa letu la Kenya ni taifa zuri sana, taifa la ajabu, taifa kuu hapa duniani. Hebu asitokee yeyote kuwaambia juu ya mambo hasi (negative things) kuhusu ninyi na taifa/nchi yenu..."; Rais William Ruto​

Atatokea WA kuwaambia kama hawatakuwa na maadili. Kwanza wametuanza wenyewe. Sisi always tupo calm Kabisa. Hatuna issue nao. Hata wauane huwa hatupigi kelele. Juzi hapa wameandamana wakachoma jengo la bunge hakuna aliye wakemea. Kila mmoja aishi kwa mipaka yake. Mheshimiwa Rais samia kuwajibu no alarm kuwa hatuwezi vumilia chokochoko zao. Wakae kwa kutilia kama walikuwa wanatikisa kiberiti basi Wajue kimejaa. Fucken kabisa
 
waKenya hata waandamane na masufuria vichwani kudai ugali, Tanazania hatutavumilia ugaidi wao humu nchini.
waTarudishwa makwao bila kujali mayowe wala matusi yao 🐒
 
Wote hawa wawili ni mburula tupu!

Wanazidiana kwenye mambo ya ubovu tu, ambayo hayana manufaa yoyote kwa nchi zao.
 
waKenya hata waandamane na masufuria vichwani kudai ugali, Tanazania hatutavumilia ugaidi wao humu nchini.
waTarudishwa makwao bila kujali mayowe wala matusi yao 🐒
Kiroho kimekuuma ona unavyokosea hata kuandika.😸
 
Atatokea WA kuwaambia kama hawatakuwa na maadili. Kwanza wametuanza wenyewe. Sisi always tupo calm Kabisa. Hatuna issue nao. Hata wauane huwa hatupigi kelele. Juzi hapa wameandamana wakachoma jengo la bunge hakuna aliye wakemea. Kila mmoja aishi kwa mipaka yake. Mheshimiwa Rais samia kuwajibu no alarm kuwa hatuwezi vumilia chokochoko zao. Wakae kwa kutilia kama walikuwa wanatikisa kiberiti basi Wajue kimejaa. Fucken kabisa
Una ubavu WA kushinda na mkenya .chumvi Tu unayotumia inaitwa KEN salt .
 
Havina uhusiano. Hiyo kauli ni ya siku ya jamhuri December 12, 2024.
Imeunganishwa tu kwa dhumuni maalum.
Kwa hiyo tusemeje, kwamba Ruto ameifurahia kauli ya Samia?

Sasa vuta subira, maana huyo Ruto naye kichwani hazimtoshi. Siku siyo nyingi utasikia akibwartuka; hata zaidi ya huyo Chura Kiziwi.
 
Baki kwenye point yangu. Kauli inayosemwa ni ya December haina uhusiano na matukio ya juzi. Hakuna sehemu nimesema amefurahia. Lazima atakuja kujibu maana akikaa kimya atawapa sababu Gen Z
 
Tatizo la kupata elimu ya kuunga unga halafu halafu ukapata kengekewa ya kuwa mkuu wa kaya ndo hilo
 
Kwa hiyo tusemeje, kwamba Ruto ameifurahia kauli ya Samia?

Sasa vuta subira, maana huyo Ruto naye kichwani hazimtoshi. Siku siyo nyingi utasikia akibwartuka; hata zaidi ya huyo Chura Kiziwi.
Kuna mtu atakufa njaa
 
Back
Top Bottom