mjombakim
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 1,193
- 1,852
Sana sana
Sana sana
Ukute huna hata bukuNajiandaa kwenda bars kula nyama chomaa
Bashite atarudi kwenye chati..Mm Nina huzuni ila kuna watu Wana huzuni zaidi
Bashite
Musiba
Ushaur tu kwa atakayechukua kiti ana kaz ya kuliun ganisha taifa maana kuna mpasuko mkubwa Sana
Akae na vyama vya siasa vyote afanye majadiliano nao
RIP COMRADE
Unapigaje kwa mfano,,jpm kaacha mfumo mzuri wa control namba,,ukila hela,doto james akakupigia hesabu,umekwisha...Upigaji unarudi kwa spidi ya mwanga kudadeq. Wiki hizi watu watajipigia hadi tuombe poo. Mtanzania ni mtu hatari sana...
walikuwa busy kuiba ,kufinika ushahidi wa maovu yao na kutafuta uwezekano wa kumzuia Samia kuingia na ikishindikana kumlazimisha aweke makamu wa rais wanayemtaka wao ambaye atawalindaKwa nini walikuwa wanaficha taarifa za kuumwa kwake kwani kuumwa jambo la ajabu?!
Na huo ndio ubinadamu. binafsi naweza mchukia mtu hata kumuona staki Lkn nikisikia amekufa naumia mno. Asipokufa akapata majanga ya hapa na pale naona sawa tu yaendelee kumpata.Mie unafiki siutaki.. roho inauma balaa. Nilikua mpinzani kindaki ndaki ila nimelia jaman.. dah, nimeumiaaa
Mimi natafuta nafasi ya kuchimba kaburi lake,nataka nichembe futi 60.Jamaa alikuwa na roho mbaya sana. Nahisi wangekuwa hawalindi kaburi hilo watu wangefukua ili maiti iliwe na fisi.
Muda huu watu wako mahabusu kwa kusingiziwa tu mambo yasiyokuwa na msingi.
Kunyweni bia msahamu ubaya wa mtu huyu.
Kuleni bia hata za kukopa tu.
Tufurahi kwa mwenyezi mungu kwa kutuondolea dhahama.
Uhimidiwe mungu baba wa mbinguni
Heri wewe ambae si mnafikiJamaa alikuwa na roho mbaya sana. Nahisi wangekuwa hawalindi kaburi hilo watu wangefukua ili maiti iliwe na fisi.
Muda huu watu wako mahabusu kwa kusingiziwa tu mambo yasiyokuwa na msingi.
Kunyweni bia msahamu ubaya wa mtu huyu.
Kuleni bia hata za kukopa tu.
Tufurahi kwa mwenyezi mungu kwa kutuondolea dhahama.
Uhimidiwe mungu baba wa mbinguni
Huyo doto James naye aondoke tuUnapigaje kwa mfano,,jpm kaacha mfumo mzuri wa control namba,,ukila hela,doto james akakupigia hesabu,umekwisha...