Kumbukumbu ya kifo cha mpendwa wetu Hayati Rais John Magufuli

uwe hodari

JF-Expert Member
Dec 16, 2022
3,990
8,367
Rais wetu mzalendo Hayati John Magufuli tarehe 17.03.2024 siku ya Jumapili atatimiza miaka mitatu toka kulala kwake usingizi wa daima

Kupitia haiba yake ya

Uzalendo
Uchapakazi
Upendo
Uaminifu
Kujitoa
Uvumilivu
Msikivu
Ucheshi, upole na huruma kutoka kwake

Vijana mnaweza kujifunza kutoka kwa magufuli ktk uongozi wa kizazi cha leo na kesho

Ktk kipindi hiki ambapo uzalendo unaonekana ni ushamba ukifananisha na wanaofanya ufisadi vijana bado mnayo nafasi kumtumia magufuli km kinara wenu kuipeleka Tanzania ktk nchi ya asali na maziwa

Tunaiomba serkali imuenzi magufuli kwa dhati kukamilisha miradi yake bora aliyoiacha yenye manufaa kwa Taifa

Katika sala zetu tuendelee kumuombea mpendwa wetu aliyejitolea sadaka kwa ajili ya nchi yetu nzuri
 
Watu hata hawana habari na kumbukumbu yake, mwaka jana kulikua na watu 80 pekee!! Ndio sembuse mwaka huu.
 
Rais wetu mzalendo Hayati John Magufuli tarehe 17.03.2024 siku ya Jumapili atatimiza miaka mitatu toka kulala kwake usingizi wa daima

Kupitia haiba yake ya

Uzalendo
Uchapakazi
Upendo
Uaminifu
Kujitoa
Uvumilivu
Msikivu
Ucheshi, upole na huruma kutoka kwake

Vijana mnaweza kujifunza kutoka kwa magufuli ktk uongozi wa kizazi cha leo na kesho

Ktk kipindi hiki ambapo uzalendo unaonekana ni ushamba ukifananisha na wanaofanya ufisadi vijana bado mnayo nafasi kumtumia magufuli km kinara wenu kuipeleka Tanzania ktk nchi ya asali na maziwa

Tunaiomba serkali imuenzi magufuli kwa dhati kukamilisha miradi yake bora aliyoiacha yenye manufaa kwa Taifa

Katika sala zetu tuendelee kumuombea mpendwa wetu aliyejitolea sadaka kwa ajili ya nchi yetu nzuri
Mungu amrehemu
 
Ifike mahali sheria ziweke wazi; for how long taifa litaendelea kuadhimisha vifo vya viongozi. Ukomo uwepo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom