Status
Not open for further replies.
Mm Nina huzuni ila kuna watu Wana huzuni zaidi

Bashite
Musiba

Ushaur tu kwa atakayechukua kiti ana kaz ya kuliun ganisha taifa maana kuna mpasuko mkubwa Sana

Akae na vyama vya siasa vyote afanye majadiliano nao

RIP COMRADE
Bashite atarudi kwenye chati..
Sijui huyo mwingine..!
 
R.I.P baba. Kweli maisha ya mwanadamu hapa dunia ni ya kupita. Mungu tutie nguvu katika kipindi hiki kigumu tunachopitia Kama taifa.
 
Upigaji unarudi kwa spidi ya mwanga kudadeq. Wiki hizi watu watajipigia hadi tuombe poo. Mtanzania ni mtu hatari sana...
Unapigaje kwa mfano,,jpm kaacha mfumo mzuri wa control namba,,ukila hela,doto james akakupigia hesabu,umekwisha...
 
Poleni Watanzania kwa msiba huu mzito.

Hakika wengi wetu tumesikitika sana na kifo hiki cha Rais wetu.

Mungu ampumzishe mahala pema peponi.

Kwa tunaosoma lugha ya picha ya mtu, tulimuona Mama Samia akiwa katika huzuni kuu, yawezekana anaona ni mzigo mkubwa sasa anao katika mabega yake, ni kweli tunatakiwa tumuombee Rais pumziko la milele lakini vilevile kama watanzania wazalendo tusimsahau Mama yetu Mama Samia.

Ana kazi kubwa sana ya kwanza kuleta umoja ambao ulianza kufifia kwa kasi kubwa, ana kazi kubwa sana ya kurudisha ile imani kubwa ya wananchi kwa serikali yao. Ana kazi kubwa sana kwa kushirikiana na viongozi wa madhehebu mbalimbali kurudisha UPENDO miongoni mwa Watanzania kwa watanzania na serikali yao. Tunaomba kila mtu kwa nafasi yake amuombee Mama Yetu Mama Samia kwa kazi kubwa aliyonayo mbele yake.

Tumpe moyo, na ajue tupo nae bega kwa bega kwa kazi kubwa aliyonayo kuanzia hivi sasa. Hili ndilo la muhimu, itakua kazi bure kuanza kuwalaumu WANASIASA ambao walitudanganya afya ya Rais wetu, pengine wangesema ukweli tungefunga na kuomba kwa ajili yake, lakini yote tunasema asante Mungu. Pia ambaye ulikua ukiombea mabaya, jiulize sasa je una AMANI YA MOYO? Ushauri kwako/kwenu omba TOBA kwa Mola wako kwa dhati, samehe na kusahau. There is no good in celebrating one's death.

Hitimisho, tunashukuru Mungu bado anaendelea kuwaweka wazee wetu ambao taifa bado linawahitaji haswa wakati huu mgumu, wazee wetu Mzee Kikwete na Mzee Mwinyi, Mzee Warioba, na wazee wetu wengine ambao kimsingi bado tunawahitaji sana. Nadhani wakati huu ndio tunatakiwa tushikamane sana watanzania. Sina mengi. Mungu atusaidie.
 
Mie unafiki siutaki.. roho inauma balaa. Nilikua mpinzani kindaki ndaki ila nimelia jaman.. dah, nimeumiaaa
Na huo ndio ubinadamu. binafsi naweza mchukia mtu hata kumuona staki Lkn nikisikia amekufa naumia mno. Asipokufa akapata majanga ya hapa na pale naona sawa tu yaendelee kumpata.
Siwezi kabisa kuombea mtu afe

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
 
Uliipenda Tanzania kwa moyo wako wote. Safiri Salama.
1959 to 2021.
~Kenya

1616043700641.png
 
Pamoja na malalamiko mengi dhidi ya Magufuli
na mapungufu mengi ambayo baadhi ya watu wamekuwa wakisema dhidi yake.
Niseme kwa kifupi Magu alikuwa raisi mzuri sana!!
Hakuna raisi mtakuja kumkumbuka kama huyu ngoja siku ziende kidoogo......
Wizi,ujambazi wa kupora fedha mitaani, kwenye mabenki, ufisadi vilidhibitiwa kipindi chake.
 
Jamaa alikuwa na roho mbaya sana. Nahisi wangekuwa hawalindi kaburi hilo watu wangefukua ili maiti iliwe na fisi.

Muda huu watu wako mahabusu kwa kusingiziwa tu mambo yasiyokuwa na msingi.

Kunyweni bia msahamu ubaya wa mtu huyu.

Kuleni bia hata za kukopa tu.

Tufurahi kwa mwenyezi mungu kwa kutuondolea dhahama.

Uhimidiwe mungu baba wa mbinguni
Mimi natafuta nafasi ya kuchimba kaburi lake,nataka nichembe futi 60.
 
Jamaa alikuwa na roho mbaya sana. Nahisi wangekuwa hawalindi kaburi hilo watu wangefukua ili maiti iliwe na fisi.

Muda huu watu wako mahabusu kwa kusingiziwa tu mambo yasiyokuwa na msingi.

Kunyweni bia msahamu ubaya wa mtu huyu.

Kuleni bia hata za kukopa tu.

Tufurahi kwa mwenyezi mungu kwa kutuondolea dhahama.

Uhimidiwe mungu baba wa mbinguni
Heri wewe ambae si mnafiki
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom