Mkuu kasome sheria , DPP akitoka lazima apande kuwa Jaji. Hilo lilifanyika hata kwa Eliezer Feleshi, alitoleawa UDPP akapewa ujaji. Huwezi kumtoa tu.
Hizi stori tu, tuliambiwa CAG hawezi tolewa Ila Assad alitolewa
 
Waliomsema kwamba kauza nchi na Mwanae kashikwa China na drugs na akapanda ndege usiku wa manane kwenda China ni Chadema na siyo “sheitwani” kama unavyodhania, picha graphic ni hao hao chadema!

Makonda ndio alimtaja ridhiwani acha kukwepesha, mpaka Ridhwan akadai jambo hilo liliwaumiza kama familia.
 
Ya waziri mkuu ndio ingefutwa
Ceremonial mpaka atakapo ukwaa urais. Kwa sasa VP ni mdogo sasa kwa madaraka anasimamia Mazingira na Muungano basi. Na kufungua mabinanza, sherehe, semina, vikao. Hii nafasi ingefutwa tu.
 
Hakuna Rais asiye kuwa na madudu, kama JPM angeweka deals za JK ukumbini mbona nchi ingezizima. Kama anataka kusafisha serikali achukue hatua kama hachukui hatua na majizi yapo mule na anayateua kila kukicha basi nae ni jizi tarajiwa so aache unafiki.
kwani hujui hukumbuki jiwe kila siku alikuwa anampiga vijembe Jk au umesahau
 
Yule jamaa alikuwa ni wale jambazi anaiba, anabaka mbele ya watoto, anakata wenyeji mikono, anakula msosi wa watoto.
Wakat wa kuondoka anakunya sebulen na mwisho anachoma nyumba.
Huyu mama huyu!
Hata akionyesha mapungufu milion lakin hili la kuirudishia nchi oxygen limempa rehema.
best comment
 
Akimaliza awamu yake, awamu ya Saba watakuja kumuosha pia.
Ripoti za CAG hazifanyiwi kazi, uozo mwingine upo very open Hadi std 7 anauona na hakuna wakufanyia kazi.
Je awamu ya kwake IPO so clean and fresh?
Amekalia kufanya background check ilihali ushuzi aliojamba ameuacha unanuka.
kwahiyo akae kimya sababu na yeye atakuja kuoshwa ?
 
Uzuri ni kwama aliyekuwa DCI aliteuliwa na yeye Mama kuwa Jaji Kiongozi huku akiwa anayajua yote haya.Tuendelee kuchezeshwa ngoma na wanasiasa.
Heshima mbele
Angalizo, ni DPP (Mwendesha Mashtaka wa Serikali) na si DCI (Director of Criminal Investigation)
 
Kuna watu wanahoji kama hayo mambo ya Plea bargain wakati yanafanyika mbona Mama naye alikuwa sehemu ya Uongozi (VP).?

Wasichofahamu ni kuwa our late President alishasema mara kadhaa na kukiri hadharani kuwa Yeye hashauliwi. Na ukitaka kuharibu we mshauri.

Sasa huyo Madam President angeweza lini kumshauri mtu wa hivyo.

Wengine wanafanya kusahau hapa ile taarifa iliyovuja ya Madam Vice president alipotaka Kujiuzulu baada ya kushindwa kufanya kazi na Boss.

Ni ukweli uliowazi, timu zilizokuwa zinafanya Plea bargain zimepiga hela nyingi na kidogo zimeenda Serikalini na nyingine ziliingia kwenye mifuko yao
Usikute wewe ndio former VP mwenyewe
 
Sio busara kumu accuse mwendazake kana kwamba yy ndio alipeleka izo pesa..hakuna anayefahamu nani alipeleka .
 
Back
Top Bottom