dotto james

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Chato: Wananchi wafurahia jina la Dotto James Ngosha kukatwa. Colnell Magembe apigiwa chapuo

    Ndoshi, alena kishimbhe, alena thuja Kila kona wamefurahi kuanzia stendi ya zamani mpaka vijijini huko Bukamila Ilemela na kwingine kote. Alipokuwa katibu wizara ya Fedha alidharau sana watu Colnell Magembe huenda akawa Mbunge wa Chato. Source: Phone caller
  2. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Wananchi wamkataa Dotto James Ngosha. Wadai alipokuwa katibu wizara ya Fedha aliwasahau na kuwadharau leo anataka Ubunge wa nini?

    Nimeambiwa kwa njia simu kuwa leo alikuwa kwenye msiba wa mzee mmoja hapo Chato. Hana jipya zaidi ya kujtambulisha kuwa baba yake alikuwa mpishi kwenye kianda cha kuchambua pamaba na kikafunguliwa na mwalimu Nyererw miaka ya sitini. Lakini mbali na hilo tokea amalize shule ya sekondari Chato...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Dotto James aonekana hadharani

    Hatimaye Katibu Mkuu wa zamani wa Wizara ya fedha, Bwana Dotto James ameonekana hadharani baada ya kupotea kwa kipindi kirefu. Ameonekana huko Chato kwenye maadhimisho ya miaka 3 tangu kufariki kwa John Magufuli aliyekuwa Rais wa Tanzania. Huyu hapa
  4. Asphalt1961

    JamiiForums Tanzania Wanaotajwa kumrithi Chongolo Ukatibu Mkuu CCM

    Wamo Mabalozi, Wastaafu, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa na Vijana Chipukizi. Kufuatia Katibu Mkuu Daniel Chongolo kuachia ngazi, wimbi la kupata Mrithi limezidi kuongezeka Mtaani huko Dar es Salaam. Makada wanaotajwa kwa ukaribu kurithi mikoba hiyo ni pamoja na aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania...
  5. chiembe

    JamiiForums Tanzania Rais, tunamuomba Dotto James atembelee Kisutu

    Huyu mtu anatajwa katika Kila jambo la upigaji, ukiona unataka kumuachia Baraba, tupe Dotto James. Hii kisiasa itaonyesha Nia yako ya dhati ya kupambana na ufisadi, na wananchi watakuwa wamekuwa na Imani sana kisiasa kuhusu wewe.
  6. USSR

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nyuma kidogo pesa za plea bargaining nyingine uki-trace uliambiwa kuna akaunti China

    Yupo live Ikulu Rais anasema ofisi ya DCI ilikuwa ya wanyang'anyi wakikusanya pesa wanaiba ukifatilia wanakwambia ziko China kwenye account haieleweki. Kumbe tulipigwa USSR -- Rais Samia amesema haya... "Hapa nyuma kidogo, Tume ya Taifa ya Mashtaka kulikuwa kuna ngoma kubwa kidogo inachezwa...
Back
Top Bottom