Hayati Magufuli ilikuwa Lazima yamkute. Tsh bilioni 8.26 za washtakiwa alibeba Biswalo bila kuwepo na 'Plea bargaining’

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa mashitaka (DPP), Biswalo Mganga na maafisa wake walikiuka taratibu za mchakato wa kisheria wa makubaliano ya kukiri kosa (plea bargaining).

CAG amesema mchakato huo ulikuwa na matumizi ya nyaraka bandia, matumizi mabaya ya madaraka na watu kuchukuliwa fedha zao katika masuala ya kikodi ambayo si jinai. CAG amebainisha kuwa malipo Tsh bilioni 8.26 yalifanywa na washtakiwa bila ya kuwepo na 'Plea bargaining’.

"Hali hii inaonyesha uwepo wa ukiukwaji wa Kanuni namba 12 na 14 za Kanuni za Mwenendo wa Makosa ya Jinai (makubaliano ya kukiri kosa) za mwaka 2021, ambao unaleta shaka juu ya uwazi na uadilifu katika mchakato wa kukiri makosa." CAG Charles Kichere

MY TAKE:

Yaani tu anajinyima anatafuta hela anapeleka Benki halafu mtu mmoja wa Kanda ya ziwa anaenda Benki kuzichukua. Anajifanya kukushitaki ili apate uhalali wa kchukua account yote kabla hata hukumu haijasomwa.

Yafaa Biswalo Maganga aondolewe Ofisi za Umma kisa afungwe jiwe kubwa shingoni atumbukizwe Baharini. Magufuli alipokufa Biswalo alikuwa anatabasamu tu, alijua kabaki na Mzigo
p-13-768x512.jpg

Awamu ya tano imepeleka wapi haya Mabilioni? Ndo maana Biswalo na Magufuli walikuwa Marafiki sana. Wakamuita Polepole wakampa hela akaanza kuzitawanya kwa Wanasiasa wa Upinzani.
p-10-768x512.jpg

"...Mtu mmoja wa kanda ya Ziwa..."

Wewe mtu una matatizo mengi sana, huu ujinga wako wa kuhangaika na marehemu kila siku, sasa naona unaenda kutengeneza tatizo lingine la ukanda.

Nikushauri kitu kimoja, ukiwa unaimba haya mapambio yako ya kijinga ujiwekee mipaka, kujidai kwako mjanja kumsema vibaya marehemu kwa kumtafutia kila neno baya, mwishowe utavuna unachopanda.

And by the way, huyu Biswalo unayemlalamikia sasa hivi ni judge, sasa sijui kwanini uhangaike na marehemu wakati hata huyu aliyepo bado anamuona Biswalo anafaa, punguza ujinga kichwani.
 
F87A0094-2.jpg
 
View attachment 2580396
Awamu ya tano imepeleka wapi haya Mabilioni? Ndo maana Biswalo na Magufuli walikuwa Marafiki sana. Wakamuita Polepole wakampa hela akaanza kuzitawanya kwa Wanasiasa wa Upinzani.
View attachment 2580395
Duh...!.
P
 
Huyu bwana sio mjinga tu,bali ni MPUMBAVU. Makala zake zoote ni kuhusu kumkashifu jpm,ni mtu ambaye nadhani hata maadili yake ni ya kutilia mashaka.

Yaani yeye na jpm,yeye na kanda ya ziwa.huo ni upumbavu wa kiwango cha juu sana,hebu chunguza makala zake zoote ni kuhusu jpm na kanda ya ziwa,sio kuhusu ccm.hapo ndipo unajua kuwa huyu ni mpumbavu,hajui kama samia alikuwa ni makamu wa rais,majaliwa alikuwa ni waziri mkuu,na mpango waziri wa fedha.kwa hiyo kilichofanhika awamu ya tano,huwezi kukitenganisha na awamu ya sita.japo awamu ya tano ilikuwa ni bora zaidi kuliko huu ujinga unaofanyika hii awamu ya sita.
 
Hahahaaaa... Naona mnashindana kutukana. Basi jifunzeni kutukana matusi makubwa ili mtusadie kwenye tafiti kujua Malezi Wazazi wenu waliyo wapa hadi hapo Mlipo.

Kunyweni Maji wanangu🤣🤣🤣
 
Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amebaini kuwa aliyekuwa Mkurugenzi wa mashitaka (DPP), Biswalo Mganga na maafisa wake walikiuka taratibu za mchakato wa kisheria wa makubaliano ya kukiri kosa (plea bargaining).

CAG amesema mchakato huo ulikuwa na matumizi ya nyaraka bandia, matumizi mabaya ya madaraka na watu kuchukuliwa fedha zao katika masuala ya kikodi ambayo si jinai. CAG amebainisha kuwa malipo Tsh bilioni 8.26 yalifanywa na washtakiwa bila ya kuwepo na 'Plea bargaining’.

"Hali hii inaonyesha uwepo wa ukiukwaji wa Kanuni namba 12 na 14 za Kanuni za Mwenendo wa Makosa ya Jinai (makubaliano ya kukiri kosa) za mwaka 2021, ambao unaleta shaka juu ya uwazi na uadilifu katika mchakato wa kukiri makosa." CAG Charles Kichere

MY TAKE:

Yaani tu anajinyima anatafuta hela anapeleka Benki halafu mtu mmoja wa Kanda ya ziwa anaenda Benki kuzichukua. Anajifanya kukushitaki ili apate uhalali wa kchukua account yote kabla hata hukumu haijasomwa.

Yafaa Biswalo Maganga aondolewe Ofisi za Umma kisa afungwe jiwe kubwa shingoni atumbukizwe Baharini. Magufuli alipokufa Biswalo alikuwa anatabasamu tu, alijua kabaki na Mzigo
View attachment 2580396
Awamu ya tano imepeleka wapi haya Mabilioni? Ndo maana Biswalo na Magufuli walikuwa Marafiki sana. Wakamuita Polepole wakampa hela akaanza kuzitawanya kwa Wanasiasa wa Upinzani.
View attachment 2580395
Pigo kubwa kwa walinda legacy!!
 
Mjinga wewe, bado unahangaika na marehemu kutakasa report ya CAG, pathetic
 
H

Hizi Bilioni 170 watuhumiwa sio kwamba hawakulipa Bali zililipwa Kwa kina Biswalo na genge lake

Biswalo alikuwa Director wa Public Persecution, sio prosection
 
Back
Top Bottom