TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,265
- 27,923
Vipi kuhusu DP world, amegusa chochote?
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Yeye huko kwake ndiyo kunateketea kabisa watu wanarudisha kadi kwa kasi kama moto wa nyika. Na bado sukuma Gang hawajaanza kumtekenya wanamlia timing tu
Na la Kimisionari!Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀
Mama Kizi mkaziNimeshangaa Sana. Anaanza kuponda wengine kuwa hawakulelewa na wazazi Kama yeye. Ajifunze kucontrol emotions zake.
Ana taarifa za CDM zisizomuhusu wakati ameshindwa kuendesha bandari!Ana taarifa kuliko unavyofikiria.
Hata mafisiem wenzako wanakucheka
yeye c alifungiwa pampas na wiper wenzake ni visepe na magunzi lazima kuwe na tofautiNimeshangaa Sana. Anaanza kuponda wengine kuwa hawakulelewa na wazazi Kama yeye. Ajifunze kucontrol emotions zake.
Mpambano uendelee.🤔Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Angekuwa na taarifa asinge sain ule utopolo!Ana taarifa kuliko unavyofikiria.
Jinsi unavyoandika unaonesha ni wa kuhurumiwa tu.Angekuwa na taarifa asinge sain ule utopolo!
Hana ishu anaona aibu tu. Yeye anaona Chadema kufanya mikutano ni hisani yake na siyo matakwa ya kisheria.Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Noma sana!CHADEMA ilimshindwa Magufuli , naona na mama amekaribia kunawa mikono.
Jinsi unavyoandika unaonesha ni wa kuhurumiwa tu.Jinsi unavyoandika unaonesha ni wa kuhurumiwa tu.
Ni kondoo unayefata mchungaji aliyepotea. Jifikirie.
Noma sana!Nimeshangaa Sana. Anaanza kuponda wengine kuwa hawakulelewa na wazazi Kama yeye. Ajifunze kucontrol emotions zake.
TEC wazee wa dini ipi ??Ni kama TEC Wakosekane kwenye kikao cha viongozi wa dini. Hicho siyo kikao ni Tamasha
Courtesy; FaizaFoxyJinsi unavyoandika unaonesha ni wa kuhurumiwa tu.
Shule Ulienda kusomea ujinga
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Wewe Ajuza ni pepo moja ya mapepo walioingiwa wale nguruwe bahariniJinsi unavyoandika unaonesha ni wa kuhurumiwa tu.
Ni kondoo unayefata mchungaji aliyepotea. Jifikirie.
Wewe ni wale waliobaki nchi kavu, si ndiyo?Wewe Ajuza ni pepo moja ya mapepo walioingiwa wale nguruwe baharini