Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

Lazime CCM, Msajili wa Vyama pia watawala wakasirike maana mdau mkubwa CHADEMA kutotokea leo huku kuna wadau wa maendeleo kutoka balozi za ulaya wamefika ukumbini na lazima mabalozi watajiuliza sababu za chama kikuu cha upinzani CHADEMA kutotokea kuna kitu hakipo sawa.

MABALOZI WA ULAYA UKUMBINI
Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2023.
View attachment 2745843
Mabalozi kutoka nchi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia Kutathmini Utekelezaji wa Mapendekezo ya Kikosi Kazi na Hali ya Siasa nchini katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Septemba, 2023

Kumbe Mabosi wamekuja na wakakuta “msukule” Mkuu wa Chuma Ulete umekata kamba ….hata ingekua mimi ningepanik …. Ina maana dollars Haziji
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Mimi ni CCM Lia Lia,ila nimefurahishwa na CHADEMA kutokuhudhuria
Eti huko kwao kuna waka moto?? Sasa mbona hayahusiani?

Tuliwambia Bila Chadema hakuna tangible discusion hapo.

Mama mwenyewe anajua vikao bila vichwa vya Chadema ni sawa na vikao vya harusi tu.
Aahaaa
 
Asipozungumzia CDM atazungumzia chama gani tena, wengi wetu Lissu ndio rais aliyeko mioyoni, ukiniuliza mimi mbunge wangu ni Sugu, japo moyoni lakini ndio ukweli, hata Bi. Tulizana analijua hilo, hivyo msishangae Mh. Rais kuiongelea sana CDM, anajua kabisa anaweza kuongoza kwa utulivu ikiwa tu CDM watakuwa upande wake.
 
Chadema lazima watambue kwamba mchawi wao ni mbowe,amegeuza Hiko Chama kuwa ni chama Cha ukoo
Kwa iyo tukusaidieje, wewe unajiona ni mwanaccm ila unaambiwa ccm inawenyewe na wenyewe ndo hao daily kuamishwa kutoka wizara hii kwenda nyingine, kama vile ccm haina watu mbadala wenye uwezo
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Ana taarifa kuliko unavyofikiria.
 
CHADEMA kilikufa lini? Kingekufa mama asingefume Leo mpaka Kuna muda akawa anashindwa kuongea
Tatizo la Dkt Samia anajaribu kuongea na marehemu chadema kilichobaki ni ki ngo tu cha mbowe. Siku zote marehemu huwa haongei. Tunafurahi sana yamempata yake tuliyotabiri na kumshauri eti mpaka anaalikwa bavicha kiasi kwamba usalama wake siku tuliogopa sana. Mbowe ni gaidi
 
Eti huko kwao kuna waka moto?? Sasa mbona hayahusiani?

Tuliwambia Bila Chadema hakuna tangible discusion hapo.

Mama mwenyewe anajua vikao bila vichwa vya Chadema ni sawa na vikao vya harusi tu.
Yeye huko kwake ndiyo kunateketea kabisa watu wanarudisha kadi kwa kasi kama moto wa nyika. Na bado sukuma Gang hawajaanza kumtekenya wanamlia timing tu
 
Kwake kafukuza kina nduu gay,Palaa magamba, luu kuvi anadhani pakosawaaa??
Time ya uchaguzi iwekwe sawa tukutane kwenyekura!! Miradi tunaambiwa inakimbizwa ajabu haikamiliki mnaona watu mazezeta!!
 
Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
Yule Mama mswahili sana,anataka kuendesha nchi kama familia yake!
 
Leop ndiyo tumejua kuwa CHADEMA si chama cha siasa bali ni
  1. chama cha wachaga
  2. cha ca magaidi
  3. chama cha wavunja sheria kwa sababui eti tu wanawanasheria
  4. chama cha wa wafanya fujo
Kama unabisha- tueleze kwa nini hakikwenda kwenye mkutano wa vyma vya siasa
CDM hawana muda wa vikao vya kupotezeana muda visivyo na majibu ya kinachotakiwa. Hiyo mikutano fanyeni na hivyo vyama vinavyotengemea hisani ya CCM ili vijiendeshe.
 
Back
Top Bottom