Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Uko sahihi kabisa. Ilikuwa issue ya ku cross check usalama wake.
Mkuu kwa ishu ya vinywaji kama hiyo rais wa marekani Clinton alipokuja bongo pale alipoketi paliwekwa chupa ndogo ya maji ya kilimanjaro, lakini wajuba walikuja kuyachomoa na kumwekea kopo la cocacola. Kwa hiyo wasaidizi wake wangetumia hii tekniki ya wamarekani badala ya hii aliyotumia imekuwa kama ina mlolongo mrefu na inaweza kuzua hisia.​
 
Back
Top Bottom