Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

Salaam

Kitendo cha Kumnyeshwa Mwanaume Juice kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki

Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?

Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuuliza kiasi hiki?
"kwa hiyo wewe una uchungu sana kumzidi mwenye mke wake. Kwanza sisi watu wa pwani kufumaniwa ni heshima" - Marehemu Ukiwaona Ditpile wa Mzuzuri akimjibu mtangazaji aliyemwuliza, "nasikia umewahi kufumaniwa na mke wa mtu"
 
Salaam

Kitendo cha Kumnyeshwa Mwanaume Juice kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki

Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani?

Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu.
View attachment 2365501
Kiprotocal hii imekaaje?
View attachment 2365516
Najiuliza, Baba yetu Hafidh Ameir Hafidh amemfanyia baya gani rais wetu hadi alipize kwa kumuuliza kiasi hiki?
THIS IS VERY BAD INDEED!
 
Vile mme wake anamuangalia mkewe muda huo😂😂
20220916_013252.jpg
 
38 Reactions
Reply
Back
Top Bottom