Rare Sapphire
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 576
- 1,628
Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania.
Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake anaweza asiwe na ustahilivu huo akavaana na chawa wa kiongozi mwingine hivyo kuleta vurugu nchini
Akasema badala ya kushinda wakitukanana wabishane kwenye hoja kama vile kwenye miradi ambayo haijakamilika na kwa kufanya hivyo itachangia kuleta maendeleo na uwajibikaji.
Wadau, kwa kauli hiyo team 'ANAUPIGA MWINGI' sasa wametambulika rasmi?