Baada ya Siku 33 kutoka siku ambayo Waziri wa Mambo ha Ndani Patrobas Katambi kuzuia milutano ya vyama vya siasa, Jeshi la Polisi limesema kutokana na hali ya nchi kuwa shwari, vyama vya siasa vyenye nia ya kufanya mikutano ya hadhara viwasilishe taarifa kwa wakuu wa Polisi wa Wilaya.
Kumbuka...
Ni maoni yangu kuwa hawa wahuni waliojipachika madarakani inafaa wanapofanya mikutano yao ya hadhara kumalizana hapohapo, je wadau mnaonaje hilo pendekezo? Hapa nataka watu wenye sound mind pekee sio machawa.
Mchungaji wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Steven Kimondo, akiongea na waandishi wa habari jijini Mbeya jana, amehoji na kashangazwa na tangazo la kuzuia mikutano kwa vyama vya siasa wakati huo viongozi wa ngazi za juu wa serikali, akiwemo Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba...
Ujumbe ni kwa uongozi wa Chadema jadilini hili kwenye vikao, Hakuna uwezo wa Kilojistiki wa Kuzuia mikutano ya siasa ya Chadema, ni suala la kuamua na kutopokea katazo haramu.
Ninaleta swali la msingi kwa Chadema na wapenda mabadiliko "Je, kuna polisi wa kutosha kuzuia mikutano mingi kwa wakati...
Hii ikimaamisha,
viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa sheria. Hao ni pamoja na wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa, madiwani wabunge, Marais na...
Serikali ya Raisi Samia imefika mahali inafikiri kwamba inaweza kuamua jambo lote lile kufanyika hapa nchini, hata kama kufanya hivyo ni kupingana na katiba ya nchi. Serikali hii imefanya maamuzi mengi ya kukiuka katiba, kufikia hata kiwango cha kuua raia wasio na silaha kwa sababu tu...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo.
Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
Mikutano ya hadhara Kwa vyama vya siasa ni takwa la kikatiba sio hisani wala huruma
Waziri au kiongozi yeyote kuzuiq mikutano ya vyama vya siasa ni kuwa kinyume cha katiba ya nchi
Katambi anavunja katiba Kwa maslahi ya nani?
Hatuwezi kuwa na viongozi wanaopinga na kuvunja katiba,
Nadhani huu...
Baada ya kusikiliza hotuba za Goodbles Lema na Boniface Jacob walizozitoa mkoani Arusha kwenye mkutano mmoja wa hadhara hivi karibuni, napata mashaka kama watawala wataweza vumillia spana wanazopigwa na hawa makamanda.
Ninachokiona ni CCM na serikali yake kushindwa kuvumilia na kujibu hoja za...
Uwajibikaji wa kweli unahitaji mikutano ya mara kwa mara, kusikiliza maoni ya wananchi, na kutoa taarifa za maendeleo hata nje ya kipindi cha kampeni. Hii inasaidia uwajibikaji na ushirikiano.
Kuna wabunge wakishatangazwa tu wanahamia Dodoma au Dar. Hali hii inaacha pengo kubwa la mawasiliano...
Wananchi msihudhurie mikutano inayoandaliwa na waziri, mbunge,. DC, RC ama kiongozi yeyote wa serikali hii haramu.
Mnapohudhuria mnapeleka ujumbe kwamba:
1. Mnaitambua serikali hii haramu.
2. Mnawapongeza kwa kuuwa watanzania wenzetu siku ya MO29.
3. Mnawakatisha tamaa wale wanaoendelea...
Wingu zito la mgogoro ndani ya CHADEMA juu ya wanaounga mkono na wanaopinga Kampeni ya No Reforms na No Election limeendelea kutanda na sasa limefikia hatua mbaya zaidi, wameshindwa kuuficha mgogoro wao na sasa wameamua kuchapana makonde kwenye mikutano ya hadhara.
Chokochoko zilianza kwenye...
Wewe Si wa kusema Eneo la Mkutano wa CDM Lina wafanyabiashara, mara Kuna Wanachama hawakiungi mkono CDM, mara wapo wanao support na blaa blaa blaa za Hovyo hovyo !!.
Hayo hukuyajua wakati CCM wanafanya mikutano yao Kariakoo?? Mlishawahi wazuia CCM wasifanye mikutano hapo??.
Au CCM ikiwa na...
Binafsi Hawa jamaa ningewaona Wana akili timamu endapo nao Kwa wingi wao,waafanye mikutano ya hadhara ya kuwaelewesha Watanzania namna ambavyo wakiingia kwenye Uchaguzi ujao watashinda majimbo ya kutosha na kuepusha mauaji ya watu na wizi wa Kura hautotokea!
Tofauti na hapo nitaendelea kuwaona...
Kwa Huu Mkutano wa Iringa Mjini, kama Makapu yangepita zaidi ya Milioni 20 ingekusanywa papo papo.
Huu utaratibu wa kuchangia Kupitia Simu, Bank , ni mzuri sana, ila unahitaji Elimu , Muda, Upatikanaji wa mtandao n.k.
Mbaya zaidi wapo Wananchinwa kawaida ,Wana CCM wenyewe ambao wanaogopa...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), Murshid Nzege, amesema sasa ni wakati mwafaka kwa madiwani nchini kuhakikisha wanatoa taarifa kwa wananchi kuhusu maendeleo yaliyofanikishwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya mikutano ya hadhara kuanzia vitongojini, vijijini...
Wakuu,
Akizungumza hivi karibuni, Mwenyekiti wa CHAUMMA Hashim Rungwe amesema kuwa hajaweza kuzunguka na kufanya mikutano ya hadhara sehemu mbalimbali nchini Tanzania kwani chama hicho hakina fedha za kufanya mikutano hiyo.
Soma Pia: Pre GE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani...
USHAURI: (Mbowe & Lissu) na Wenje wajitoe kugombea uenyekiti na makamu uenyekiti mtawalia, ili kuinusuru CHADEMA, wagombee watu wengine kama akina Lema, Heche nk ambao hawana makundi ndani ya chama.
SI MNASEMA SO CALLED "MARIDHIANO"/PROCESS TO MARIDHIANO AS PUT BY NGURUMO HAYANA FAIDA, SASA
Maana mnamuona LISU ni mwamba usiopenyeka.
Sasa namuomba Rais Samia apige marufuku mikutano ya kisiasa huyo Mwamba anayeaminika ataleta
mageuzi akiwa Mwenyekiti aje aifungue/ akaidi aifanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.