Sasa hiyo Mikataba ameijuaje athari zake wakati lugha ya mabeberu haipandi??Na katika gesi alichelewa, akakuta maji yameishamwagika.
Halafu unakuta kuna mpumbavu anajisikia vibaya kisa magufuli haongei kiingereza fasaha, hapa ndio utajua kila binaadam ana kipaumbele chake.
Hawa ni ukoo wa panya banaaaWaliomshabikia Kikwete na mama Makinda siku Ile usiku, mswaada ulipo lazimishwa kupitishwa usiku wa manane ni pamoja na huyu anayelalamika leo. !!!
Ccm wote wanafki. Leo ndiyo wanajifanya wazalendo wa kuionea nchi huruma ?!.
Tatizo la Tz ni katiba. Imewafanya ma Rais mamiungu watu . Na ndiyo chanzo cha kuiuza nchi yetu kwa wanaitwa wawekezaji.
Unataka kusema wakati haya yanapitishwa yeye alikua kijijini kwao Chato??Mtoe magu ktka mambo ya kipuuzi kama hayo, labda kama umemjua baada ya kuwa rais 2015.
Huyu mtu mna chuki naye, lakini isiwe sababu ya kumpaka ubaya kwa gharama,
Sasa hiyo Mikataba ameijuaje athari zake wakati lugha ya mabeberu haipandi??
Unataka kusema wakati haya yanapitishwa yeye alikua kijijini kwao Chato??
MbagalarangitatuKwani wakati inapitishwa wewe ulikuwa wapi???
Kikwete anastahili kuadhibiwa kwa hili,Mzee mtuenzie kikwete heshima yake usimfananishe na vitu ya kijinga. Yafaa umuombe radhi
Sent from my Desire12 using JamiiForums mobile app
Kenya na katiba nzuri kina Ruto na wachina wanazidi kupiga pesa kila uchao,,MK254, Tatizo la Tanganyika ni katiba inayowafanya ma Rais kuwa mamiunguwatu !!. Hawahojiwi na yeyote juu ya actions zao wawapo mamlakani au hata wakishatoka madarakani. Na hao hao ndiyo uendelea kutupangia nani wa kutuongoza na si wa kutuongoza !!. Ma Rais wa Tz ni mamiunguwatu
Kama si hivyo muswaada wa Gas na mafuta isingelazimishwa kupitishwa ilimradi anayetoka atoke ameshasaini na kuwa Sheria . Wapinzani walijitahidi hata kutumia nguvu bungeni , lakini waliishia kuitiwa police kuwaondoa ili muswaada upite. Na ile ilikuwa ni amri toka juu. Natamani tuwe na katiba kama ya S Korea , Brazil , France n.k. ili hawa watu wakitoka madarakani wawajibike kwa matendo yao ya aibu. Lakini hii tuliyonayo inalinda viongozi dhidi ya wananchi
Basi siyo nzuri !!. Katiba nzuri ni ile inayowawajibisha viongozi wabadhirifu . Angalia Brazil , France, S Korea , S Africa nk. nk. Si hizi zilizowageuza viongozi mamiunguwatu.Kenya na katiba nzuri kina Ruto na wachina wanazidi kupiga pesa kila uchao,,
Trust me, katiba pekee sio suluhu.
Basi siyo nzuri !!. Katiba nzuri ni ile inayowawajibisha viongozi wabadhirifu . Angalia Brazil , France, S Korea , S Africa nk. nk. Si hizi zilizowageuza viongozi mamiunguwatu.
Nilikuwa off lakini naomba nikujibu hivi. Maisha ni haya tunayoishi leo. Huwezi kuniambia nisubiri miaka 1000 kupata haki na maisha mazuri ninayotaka leo. Africa haiwezi kuendelea kujificha kwenye kichaka cha uchanga kuhalalisha maovu ya viongozi wao kama haya yaliotokea Tz (Bagamoyo & Gas na mafuta) .kwanini unataka kujilinganisha na nchi ambazo zimekuwa nchi kwa miaka 1000's Hizo nchi hapo mwanzo mwanzo huko enzi za kale zilikuwa Kingdoms/ Hakuna democrasia...Sasa nchi za afrika ziki ruka stages fulani hadi kuwa democracy hapo ndipo shida inatokezea. Sababu mwafrika bado hajui democrasy ni nini..Anafikiria democracy aidha ni uhuru wa makabila kujitawala ama ni uhuru wa kudhalilisha nchi yako, kutukana na kukosea heshima..
uendelevu wa kuelewa democrasy ni kitu gani bado upo chini sana, yaani tunaelewa democracy kama vile wazungu waliewa miaka ya 1500's
Mkorinto huko ni kuogopa kivuli cha katiba ya wananchi. Najua Lumumba hampendi kuona hiki kitu.Na inaweza ikawa nzuri wa kuisimamia asiwepo,kama haifuatwi kwa mambo madogo haiwezi fuatwa kwa mambo makubwa.
Nilikuwa off lakini naomba nikujibu hivi. Maisha ni haya tunayoishi leo. Huwezi kuniambia nisubiri miaka 1000 kupata haki na maisha mazuri ninayotaka leo. Africa haiwezi kuendelea kujificha kwenye kichaka cha uchanga kuhalalisha maovu ya viongozi wao kama haya yaliotokea Tz (Bagamoyo & Gas na mafuta) .
Tumeamua kuiga ustaarabu wa maisha ya watu wa dunia ya 1 (western). Basi na tuige jumla siyo nusu nusu . Hatuuwezi kuendelea kuishi kijima ati tu mataifa yetu bado ni machanga !!!.
Kinachowasumbua viongozi wa ki Africa ni ubinafsi, utemi wa kujiona watawala badala ya viongozi. Kiongozi mzuri hufuata wananchi wanataka je. Lakini mtawala hufuata nafsi yake inatakaje.
Usiku mwema
Rais Akisema hatuhitaji kusikia upande wa pili,
Besides, Kikwete was not Different from Uhuru Kenyatta and William Ruto.
Mkuu Njinjo, no nilikuwa sijasoma makala hii, asante kuni tag, ngoja nisome.Pascal Mayalla umesoma habari hii
Kenya vs Tanzania: A tale of two railways - African Business
As Kenya and Tanzania compete to capture East Africa’s inland trade, rail links from their main ports are playing an increasingly important role.africanbusinessmagazine.com
Mw Nyerere aliwaambia kwamba kuna democrasia bila vyama vingi, democrasia na kingozi wa kudumu...mkabisha hoja zake, yeye uelewa wake wa democrasia ulikuwa miaka 2000 mbele..Leo enda germany, angela merkel amekuwa kiongozi miaka 20 bila mpinzani, China inaenda na speed ya ndege huku ikuwa na chama kimoja..Uingereza na Japan bado wana wafalme wa kudumu...Canada mfalme wao ni Queen of england..Nilikuwa off lakini naomba nikujibu hivi. Maisha ni haya tunayoishi leo. Huwezi kuniambia nisubiri miaka 1000 kupata haki na maisha mazuri ninayotaka leo. Africa haiwezi kuendelea kujificha kwenye kichaka cha uchanga kuhalalisha maovu ya viongozi wao kama haya yaliotokea Tz (Bagamoyo & Gas na mafuta) .
Tumeamua kuiga ustaarabu wa maisha ya watu wa dunia ya 1 (western). Basi na tuige jumla siyo nusu nusu . Hatuuwezi kuendelea kuishi kijima ati tu mataifa yetu bado ni machanga !!!.
Kinachowasumbua viongozi wa ki Africa ni ubinafsi, utemi wa kujiona watawala badala ya viongozi. Kiongozi mzuri hufuata wananchi wanataka je. Lakini mtawala hufuata nafsi yake inatakaje.
Usiku mwema
Mkuu, mimi siyo mwandishi zuri kama wewe endelea tu. Nilikutag ili ujaribu kusaidia wengine kwa kuweka bandiko kuonesha kuwa pamoja na mapungufu yake, Dunia nzima inaona jinsi anavyopigania nchi si tumbo lake. Nitakuletea na nyingine leoMkuu Njinjo, no nilikuwa sijasoma makala hii, asante kuni tag, ngoja nisome.
Thanks
P
Update, nimeisoma na nimeguswa, kwa ruhusa yako naomba kuitumia makala hii kama mbegu ya kupandia kwa kupandisha bandiko langu fulani kuhusu SGR.
P
A reason I told you Katiba pekee sio Suluhu, It should begin with Leadership, kusimama kwenye haki sio lele mama kama unavyodhani. katiba are just pages my friend.Basi siyo nzuri !!. Katiba nzuri ni ile inayowawajibisha viongozi wabadhirifu . Angalia Brazil , France, S Korea , S Africa nk. nk. Si hizi zilizowageuza viongozi mamiunguwatu.