Rais Kagame anailenga Tanzania katika ujumbe huu?

View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0

General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.

Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.

Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.

Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"

Povu Ruksa, Karibu Sana......

Kwa nini huwa anatishia wakati wa akina Kikwete na Samia tu? Hajawahi kuropoka wakati wa Mkapa na JPM, jiulizeni.
 
Hii sasa ni dharau, hivi kagame anaweza kuvuka mpaka na kuja kupigana na tanzania? Hebu aambiwe ukweli tanzania si congo na asijaribu kuvuka mpaka hata sentimeta moja. SADC haikutaka kuichakaza rwanda afahamu hilo
Samahani mkuu 'LOTH HEMA', kwa maana haya maneno nayasema kwa maumivu moyoni makubwa.
Kiuhakika, sitaona tofauti endao Kagame akivuka maka na kuingia haa kwetu; kumtofautisha na Samia Suluhu Hassan na GENGE lake kuwa watawala wa nchi yetu. Sioni tofauti yoyote kati yao! katika maslahi ya nchi hii.
 
Afrika mashariki na kati HAKUNA nchi yenye uwezo wa kupigana na.Tanzania, hakuna
Umekwisha igana ha o na kuwamaliza wote!
Hii mi asho ya mama imewakolea kwelikwelii; hata hamuoni aibu kabisa kufanya ulaghai katika kila jambo!
 
Sema nini, wadau woote mpaka sasa ukisoma comments utaona wanaijua zaid Rwanda kuliko Tz. Yan wanajua mpaka bajet, vifaa vya kisasa, nidhamu ya wanajeshi wao yan vitu kibao ila hawajui kitu kuhusu JW. Na simply kwakua hawajui, wanaishia ku conclude Bongo hawana hivyo vitu 😂😂😂.
Kwenye hili nawapongeza sana JW na Tz kwa ujumla.
Maana kama hata wana JF wanaijua namna hii Rwanda, no wonder hata hawa wanajeshi wetu "dhaifu" watakua wanaijua zaid Rwanda.
No wonder Rwanda wanapiga piga kelele pia badala ya KUTUCHAPA kama ambavyo walituchapa😂.
No wonder Rwanda na PK anajisifia alivyoteka hao askari wa Sadc akawaacha wapite kurud ma kwao badala ya kujisifu kuwa Aliwatandika.
 
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0

General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.

Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.

Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.

Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"

Povu Ruksa, Karibu Sana......

Bora Kagame ainyakue Tanzania ili na sisi wadanganyike tupate maendeleo ya kweli.
Hii tabia ya kusifia sifia mtu kinafiki kwa kila kitu, hata cha uongo, inatufanya tusipige hatua.
 
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0

General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.

Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.

Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.

Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"

Povu Ruksa, Karibu Sana......

Mhhhh! Rwanda yenyewe si ksma Wilaya ya Kwimba tu😅😅😅😅
 
Rwanda nchi ya kiboya sana, na haina uwezo wa kupambana na tz hata kwa dakika 5 tumewazid kila.idara katika medani vifaa vya kisasa
Idadi ya military personnel

Hakuna kitu hakuna kitu wanaweza fanya akitaka ajaribu aisiwe kama usa kuingea ongea
Siku hizi kuna drone hizo military personnel na manguvu sio kivile
 
Nchi za Africa ni nchi za kijinga Sana including their leaders

Yaani wao hauwezi kuwakuta , wanaongea kuhusu.

-Technology
-Manufacturing industries
-Trade
-kufanya Exportation.
.

Wenzetu US ,Russia hata wakiingia vita , those are developed countries

Sasa nchi masikini Kama Rwanda, Uganda, Tanzania , N.k zimefika wapi hadi waanze kufikiria Kuuana na Vita

PK is bullshit man
 
Sio issue kabisa hata kwenye drone, ukiwa na central command ukawaweka wachina 10 wanatosha kabisa kuipa joto Rwanda
Wewe utakuwa ni mdogo wake Kafulila, mkimshauri mama aanze kubinafsisha jeshi letu!
Na huyo mama asivyo kuwa na akili, hata hawezi kuona tofauti ya Bandari ya DP World na kufanay PPP ya Jeshi la wananchi!
Nyinyi mtakuwa mmelogwa au shetani kawakamata sawasawa.
 
Ongezea kagame amesema kuna watu wanapenda kwenda kujifanya kujenga Congo wakati nchi zao ni za ajabu , Wana rasilimali lakini wananuka rushwa na ufisadi kila sehemu
 
Natamani Mkuu wa majeshi ajibu
Kwa bahati mbaya hataweza, kwa sababu yuko saiti; kule vijana wanako tengeneza kokoto ,

Tunao mbeza Kagame , kama ilivyo kawaida yetu.ni kama sisi wenyewe hatuna akili timamu; yeye anatumia vigezo vilivyo wazi; kwa juzi juzi kututia aibu hujo DRC; sisi tunauza soga tu, na miasho!
 
Huyo ashazoeleka kuropoka tangu enzi za JAKAYA.
Ila nadhani anajua mziki wa Tanzania ukoje.
Endelea kuamini hivyo. Jeshi la Tanzania halijawahi kupata misuko suko miaka mingi sana hivyo naamini hata mbinu mpya za kwenye field hawana.
Yapo majeshi daily yapo field mojawapo ni hilo la Rwanda. Hivi unaweza kukaa tu bila mazoezi na michezo kadhaa then ukaingia kwenye mechi kubwa na kushinda? Jibu unalo.
 
Kinchi kama Rwanda siyo kakupigana nako Tanzania ikifunga mipaka yake,Warundi na FDLR wakapewa tafu ataomba pooooo mapema sana mnamkuza mno huyu fododido.
Hapa mkuu umenena Tanzania kama Ina Inteligensia nzuri....watoe msaada Kwa jeshi la Burundi FDRl Kisha wapige wakitokea huko iwe kama Base

Maana tambo ZA Kagame zimekuwa nyingi

Maana hata Israel ilikuwa Ina sapoti Syria (rebels) kilichotokea Asad alisalimu Amri Na kukimbia
Hadi Leo Rwanda Burundi Wana uhasama Wa Kidumu, Congo Na Rwanda Wana uhasama Wa Kidumu

Kagame Kwa Sasa Hana Rafiki ndani YA East Africa na alichobakiza Ni jeuri Na maneno YA kejeri

Kutumia vikundi vya waasi Rwanda inaweza kusambaratishw bila JW kuingia

Kazi kwenu intelligence YA Jeshi
 
View: https://youtu.be/wUu2W2Mk3k0

General Paul Kagame amezungumzia mgogoro wake na Congo. Moja ya vitu alivyovisema ni kwamba wale wote ambao wanaamini kwamba wanaweza kuitishia Kigali wakiwa mbali anao uwezo wa kuwafuata hukohuko makwao.

Akaendelea kusema kwamba, wale waliokuwa wanaiunga mkono serikali ya Congo, Rwanda iliwasamehe na kuwaacha wapite nchini Rwanda na kurudi makwao. Katika watu ambao waliruhusiwa kupita Rwanda ni pamoja na askari wa JWTZ ambao kuna video inaonesha wanasachiwa ili kurudi nyumbani.

Paul Kagame amesema, kama wale wanajeshi wangethubutu kutunisha misuli bila kusalimu amri basi wangeangamizwa wote. Tena kama kuna wengine wataendelea kufikiria kwamba wataitishia Rwanda basi watafuatwa hukohuko makwao.

Maneno ya Dikteta Paul Kagame yameanzia dakika ya 14 ya hii video niliyoambatanisha hapa. Ni ujumbe wa vitisho kwa mataifa ya SADC, ikiwemo Tanzania, Malawi na Afrika Kusini.

Kuna msemo husema hivi, "Usipokuwa makini, hata mbwa atakucheka"

Povu Ruksa, Karibu Sana......

Anajua na ana maanisha anachokiongea. Ameshapandikisha watu wake wa kutosha ndani ya serikali na CCM.
Rwanda Intelligence Agency ambayo ni Directorate of External Intelligence chini National Intelligence and Security Agency wanafanya kazi kubwa na nzuri sana kwa nchi yao. Ndiyo wachora ramani wakubwa ndani TITH na THITHIEM. Wanaitumia vizuri sana UAE kuhakikisha Tanganyika haibaki, kwa kifupi Tanganyika imepakatwa. Amani kati ya Rwanda na Congo ndiyo mwanzo wa kuanza kubomolewa kwa Tanganyika.

Wakati wenzetu waki invest kwenye Intellugence and Technology nchini mwao and abroad, Tanzania kwenye fursa na balozi zao nje ya nchi wamehaza makada na watoto na marafiki wa makada
 
Back
Top Bottom