100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 8,791
- 30,985
Kutumia drones sio suala la pesa tu pekee, kutengeneza hao wataalamu wa kuziendesha ni gharama na inachukua muda..Drone ni hela zako tu, ukiingia hapo China na bilioni 100 unazichukua za kutosha. So Rwanda kuzimiliki sio kwamba Tanzania ni dhaifu
hizo drones ziahitaji pia wataalamu wa kuzifanyia service..
Vita ya drones ina technics zake, ina ugumu wake na utaalamu..
Mfano Russia walianza kutumia jammers, hizo jammers ni magari yamebeba antenna kubwa very powerful, ni gari kama hilux, hilo gari likisimama mahala hilo eneo karibu 30KM/40KM au pengine zaidi mawasiliano hakuna, drone ikiingia hio zone ujue umeipoteza... na hayo magari si moja..
Ukraine walichofanya walianza kurusha drones wanazifunga fiber optics cable, drone inaruka lakini ina wire mwembamba sana, inaruka kilomita za kutosha, hii inasaidia drone kuwa resistant na electronic warfare systems... hizi drones zimetumika sana kulipua magari ya kirusi yenye jammers...
Vita za drones ni sehemu nyingine pana, inabidi mnakuwa full package, wawepo vijana wanajua masuala ya electronic warfare systems, hizi vita ni za kitaalamu zaidi....
Rwanda wanawekeza huko sana huko na wanatoa vijana wao wakasome.... silaha kama huna utaalamu nayo utapigwa tu...