Jamani siyo mm nimeleta tuu mada ili iwasaidie na wengine humu coz naangaliaga sana lesbian sex sasa huwa najiuliza haina madhara kweli?????
ua not serious Miss trinity!!by the way kwa nini unapendelea kuangalia sana?inaonekana huna kazi ya kufanya!!wakati wadada wenzako wanahangaika kutafuta mitaji na kujiunga na VICOBA etiii wewe unaangalia lesbian sex for what?na zinakutoaje??acha ujinga!!fanya kazi it is better utumie huwa muda kusoma neno la Mungu!!!!!!!tena umeniudhi sana na ua statement that "naangaliaga sana lesbiana sex"" unaona sifaaaa?????????????kesho na kesho kutwa hapa unakuja ohhhhh mme wangu hanifikishii... sijui nini ... pumb....vu!!!!!
 
Calm down Usiku!!
Unaweza tu kumshauri kwa maneno mazuri na akaelewa.
 
Last edited by a moderator:
Inaweza kukuletea addiction, ikawa muda wote watamani ubaki pekee ufanye huo mchezo. Waweza shindwa kuanza au kudumu ktk mahusiano.

Acha, ukiweza ukishindwa nenda kwa maombi maana kwa wakristu kuna evil spirit behind every addiction. So kufight mwenyewe huwa ni ngumu.
 
ua not serious Miss trinity!!by the way kwa nini unapendelea kuangalia sana?inaonekana huna kazi ya kufanya!!wakati wadada wenzako wanahangaika kutafuta mitaji na kujiunga na VICOBA etiii wewe unaangalia lesbian sex for what?na zinakutoaje??acha ujinga!!fanya kazi it is better utumie huwa muda kusoma neno la Mungu!!!!!!!tena umeniudhi sana na ua statement that "naangaliaga sana lesbiana sex"" unaona sifaaaa?????????????kesho na kesho kutwa hapa unakuja ohhhhh mme wangu hanifikishii... sijui nini ... pumb....vu!!!!!

Unataka kumsaidia au
Kumtukana!? Wabongo bwana akijua kitu na akifikiri anajua ni shida sana,,,, huna Hana ya kumkashfu, mweleze faida na hasara, na mwisho mpe ushauri cha kufanya , zaidi ya hapo wewe unaonekana ni zaidi ya tatizo alilonalo...period

Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
 
Miss trinity soma kwa makini haya yaliyoandikwa hapa chini na Kaunga kwa kuwa amegusia upande wa madhara ya kisaikolojia...

Ila kwa kuongezea unaweza kupata reproductive tract infections (maambukizi kwenye njia za viungo vya uzazi) au gynecological diseases.

Mara nyingi mwanamke anayeandamwa na infections au magonjwa ya sehemu za siri huwa hatarini kupata ugumba.

Pia punyeto kwa mwanamke kama ikifanywa kwa muda mrefu itakusababishia kuwa na kilema cha kukosa kabisa orgasms.(maelezo yake ni magumu kuyaweka hapa kitaalam).

Inaweza kukuletea addiction, ikawa muda wote watamani ubaki pekee ufanye huo mchezo. Waweza shindwa kuanza au kudumu ktk mahusiano.

Acha, ukiweza ukishindwa nenda kwa maombi maana kwa wakristu kuna evil spirit behind every addiction. So kufight mwenyewe huwa ni ngumu.
 
Last edited by a moderator:
Ina madharara
1. Dhambi mbele za mungu
2. Hutaweza kuridhishwa na mwanaume
3. Kuacha ni ngumu kama mvuta sigara
4. Unaweza kuja kuwa lesbian
 
saikolojia yako imepokea uo mchezo na kuona kua ni maisha ya kawaida,kuwacha inawezekana kama kweli unania,jichunguze hobby zako ni nini na unaweza kufanya ili iwe replacement kwa ilo janga,nini unapenda ambacho huenda kikakufanya uchukue mda mwingi kukifanya ili ucpate uo muda wa kufanya ilo jambo.
au pia unaweza ukajishughulisha na mazoezi asubuhi na jioni au nyakati 1 wapo ili mradi uchoshe mwili na akili
kuondoa mawazo machafu ya kupelekea ilo janga.
Hakika ukichoka kimwili na akili hutopata hamasa la kulitenda,
Acha kuangalia vitu vya anasa ya ngono kama picha video,story za ngono na mengineo,ambayo kwa kiasi kikubwa huchangia ilo tukio.epuka vikundi au kampan ya watu wenye lugha za kuhamasisha mazungumzo ya ngono kama vijiweni na sehemu nyinginezo.
punyeto ni hatari kwa afya yako,na pia ni swala lisilokubalika kiimani katika dini ze2,ushauri zaidi Pm.
 
mpaka sasa nina 28yrs....tatizo ni kwamba anapokuwepo wife huwa napunguza kasi mpaka 1 kwa siku na zilizobak anabeba wife.....sasa najiuliza kwa nini najitesa....nakosa majibu..

Hahahahaahahaha! Aiseeeee nimecheka sana...Zilizobaki anabeba wife...
 
Unahitaji msaada wa kisaikolojia maana kuna kipindi kabla ya hujaoa aidha ukiwa shule ulipenda uwe na mwenza ila mazingira yakakubana.Ukapata njia mbadala na umeadopt na unahitaji upate mbinu za kubadili tabia,na mtumie mkeo acha mapenzi ya kiganjani mana ngozi ngumu hiyo inakomaza uume na utampa maumivu mkeo,Bumija Phd,university of Dar es Salaam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom