fabianmalaba
JF-Expert Member
- Feb 21, 2017
- 280
- 183
Mkuu hizo nguvu nakushauri ungezielekeza kwenye kilimo..


kilimo pia nafanya,nina shamba la matikiti maeneo ya mji mwema kigamboni,namwagilizia masaa 6 hadi 7 kwa kubeba na ndoo,siko kizembe kama unavyodhan

