Kama matumizi ya gesi ni nafuu kuliko mafuta kwanini vituo haviongezwi kwenye mikoa mingine?

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
388
773
Juzi nilikuwa Dar na mara nyingi nilikuwa natumia usafiri wa bolt. Asilimia 90 ya magari ya bolt niliyokuwa natumia yanatumia gesi kwa ajili ya uendeshaji.

Nilibahatika kumuuliza dereva mmoja juu ya matumizi ya gesi na akanieleza kuwa akijaza gesi ya Tshs. 14,000 anaitumia kwa kilomita 200.

Ieleweke kuwa mfumo wa ujazaji wa gesi kwenye magari upo kwa Dar peke yake. Kama mfumo huu una gharama nafuu je, ni kwanini mfumo huu usienee kwenye miji mingine kama Mwanza, Mbeya, Arusha, Dodoma, Moshi n.k.?
 
Back
Top Bottom