Sio msikitini au kanisani sio kwenye mitandao ya kijamii au kwenye jamii zetu mwanamke kuwa single mother inaonekana kama laana, thamani imeshuka zaidi hasa pale jamii inapotambua kuwa mwanamke yule anaishi na watoto lakini baba yao au baba zao hawajulikani au hawapo, wazazi tujitahidi sana kutoa usia kwa watoto wetu wa kike ajira zimekuwa ngumu lakini na ndoa zimekuwa ngumu kupatikana..
 
Habari

Kuna baadhi ya single mothers ambao hawajaolewa Ila wapo na mahusiano na wanaume .

Hawa single mothers unakuta ana-rent Chumba kimoja na ndani ya chumba chake kimoja anakaa na watoto .

Ambao wameshaingia Balehe stage (Puberty stage ) Ila wanawaleta hao wanaume katika hivyo Vyumba na kuwaambia watoto wawapishe .

Mtoto wa 8--15 anakuwa anajua kabisa kipi hasa kinaendelea umo ndani .

After one or two hours anakuona unabadilisha mashuka na kutia katika beseni .


So this is psychological torture .

Ana way umasikini ni Mbaya sana ila kukosa maarifa ya utambuzi unakuwa gizani.
 
Kwasabab unapesa fanya haya kumdhibiti
1. Mpeleke mtoto shule ya ada kuanzia milioni 8
2. Mpe mtoto maisha ya kifahari kupita maelezo
3. Hakikisha single mama huyo hamiliki hata laki 5 licha ya ww kuwa na pesa mingi
4. Usiruhusu awe na biashara hata ndogo kiasi gani yani awe mama WA nyumbani
5. Hakikisha anapendeza lkn kamwe usimpe hela ya kufanya manunuzi yake binafsi inayozd Lak 3
6. Hakikisha anakua tegemezi Kwa kila jambo, asiondoke na hata mia ya kwenda kula raha na huyu baba mtoto wake

Ukifanya hayo ataishi kama digidigi akizingua unakata huduma zote mtoto arud kayumba apambane na maisha magumu.

Hakuna mwanamke anaependa kuporomoka kutoka juu kurudi chini kisa mwanaume KAPUKU

Hii ndo njia pekee duniani ilobak ya kumzibit single mama na hili utumie hii njia lazma uwe tajiri.

Makapuku wezangu kamwe usitamani, usifikilie kuwa na mahusiano na single mama, mshahara wako wa ajira Yako ya halmashaur au ajira yeyote ya serikal haitoshi kumdhibiti single mama, single mama ni special Kwa matajiri tu

Dharau zako Kwa huu ushauri majibu utapata ukipigwa tukio kanyumba kapesa za mkopo na kagera kasikudanganye achana na single mama
 
Ila JF Raha sana
Kutwa post za single mother humu na mtaani single mother wanaongoza kuolewa
 
Your browser is not able to display this video.

Mwanamke umeachana na Mumeo / Mwanaume wako na kuondoka na Wanao halafu una Mabwana wasiohesabika ambao wote unawapa muda wa Kuwahudumia Watoto wako (Wanao) halafu ukiwa mbele za Watu unajisifia kabisa kuwa Wewe ni Single Mother bila hata ya Aibu.
 
Hongereni
 
Kusema ukweli duniani hakuna binadamu anayepumua amabye hana shida yoyote.....

Lakini hawa mama, dada na wadogo zetu single mothers wamezidi....

Kama umewahi kutana na single maza hana baggage tupe experience
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…