Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 46,121
- 114,158
Kwel kaka ni Ufala kumpenda mwanamke, Bora kutomb na kutembea sio kumpendaUnaacha kupenda bia unampenda mwanamke are you stupid..?
Sana kakaWewe na Azizi ki tofauti yenu ni vipaji tu.
😄😄😄Muhimu ni umeumia mkuu wanawake sikuhizi hawacheki na wowote 😃😃Sasa hivi ni mwendo wa kuviziana si ndio?
Baby niko Bar na rafiki zangu kumbe niko site naangalia ujenzi,Hati ya kiwanja iko kwa Mama Bonyokwa huko 😂😂
Ww unajua mwanaume mjinga huyuuu
Uwaridi jeusiJina la nyimbo kaka.
Shida sio kumpenda mwanamke, ila upumbavu ni kumpenda single mother😀 hawafai.Ktk Maisha yangu najutia sana kukutana na Binti Fulani single Mathers ana Watoto watatu.(Watoto wote Baba Mmoja)
Nilitokea kumpenda siku tu ya kwanza kumuona ilikua mwaka Jana mwezi Wa 3.
yaani nilimpenda yule single mather mpaka nikatamani kumuoa.
Jambo la kwanza ilinibidi ni nunue Kiwanja bila kumwambia nikajenga Vyumba Vitatu kuanzia mwezi 8 Mwaka 2024 kufika mwezi Wa kwanza mwaka 2025 Nyumba imekamilika ila kauli na Maelewano na huyo Mwanamke ni mabovu sana, anajiona mzuri yeye Kila Kitu Yuko sahihi, mda wote mtu wa kunitoa kasoro tu
Kwa kua nampenda Kila ninalolifanya kwake baya, kufikia Mwenzi wa kwanza nikaanza utaratibu wakumpotezea, ile nyumba nikakabizi madalali waipangishe nichukue Kodi Maisha yaendelee.
kiuhalisia naichukia sana kumpenda mtu ni miongoni mwa upumbavu ni Kumpenda mwanamke.
Waacheni kwanza Leo sikuyao ya furaha 😄Shida sio kumpenda mwanamke, ila upumbavu ni kumpenda single mother😀 hawafai.
Kuna Mzee kanipa Darasa nimemuelewa. Kaniambia potezea kijana maumivi ya mapenzi yatapoa ipite hata Miaka siku ukikutana nae kwenye 18 Akijaa chapa ilale huyo malaya kama malaya wengine tuMpe hiyo nyumba ndio atakuheshimu.
😁Kweli siku yao leo, mbukinabe kauziwa mbuzi kwenye gunia live bila chenga!Waacheni kwanza Leo sikuyao ya furaha 😄
Tena Bonge la kunia la chenga mi langu nimelishitukia mapema.😁Kweli siku yao leo, mbukinabe kauziwa mbuzi kwenye gunia live bila chenga!
😄😄😄Muhimu ni umeumia mkuu wanawake sikuhizi hawacheki na wowote 😃😃
Nakutania bhana usije ukalia Bure😂😂
Kauziwa gunia ambalo halina mbuzi😁Kweli siku yao leo, mbukinabe kauziwa mbuzi kwenye gunia live bila chenga!
🤣🤣🤣🤣😁Kweli siku yao leo, mbukinabe kauziwa mbuzi kwenye gunia live bila chenga!
Gunia ndani Lina paka shume aka jibwa la BaaaKauziwa gunia ambalo halina mbuzi